ZNM
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 1,219
- 1,280
Usimfokee hivyo mwenzio!Wapuuzi kama wewe ndo mnaamini hata kupora KOROSHO yalikuwa maamuzi halali
Hata kuita watengeneza ndege ikulu na kuagiza anazozitaka yy bila kufuata sheria za manunuzi wala kujua kapata % ngapi ni shujaa
Hata kuuza nyumba za umma kwa mahawala zake nao ni mzalendo?
Kutoongeza mishahara kwa watumishi wa umma ambayo ni takwa la kisheria huku alipata huku na huko akiwadhalilisha watumishi nao ni shujaa?
Punguani