Kiongozi anafanya Mikutano minne kwa siku moja,,, anaanzia Bagamayo, kisha Kibaha mjini, Mlandizi na Chalinze,,,kwa Gari hawezi kumaliza mikutano yote hiyo, kwa sababu ya foleni na umbali wa hivyo vituo,,, tunaomba sana ushirikiano wako kiongozi wangu,,,kwa pamoja tuikomboe nchi yetu,,,Madhila tuliyopitia yametosha.Matumizi Mabaya ya pesa. KUTOKA DAR HADI KIBAHA KWA GARI NI MWENDO WA DAKIKA 40 MTU ANATUMIA HELKOPTA USHAMBA.
MnajitekenyaMwendo wa jino Kwa jino Hadi tunachukua nchi October
Anawahanyesha ndiyo kinyiramba ama!Our hero, anawahanyesha wakoloni weusi watajaji wa majengo na mabarabara.
Hii huwa ni kawaida kwa chama kubwa kama CCM kutoa burudani kwa wananchi.Hata mzee wako anajua ndiyo maana anazunguka na wasanii.
Nyumbu akiwa kikosini [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Natamani ningeudhuria mkutano wake, ila majukumu ya kikazi yatanibana hapa kikosini.
Huyu hata awe rais ataturudisha nyuma sana TzMatumizi Mabaya ya pesa. KUTOKA DAR HADI KIBAHA KWA GARI NI MWENDO WA DAKIKA 40 MTU ANATUMIA HELKOPTA USHAMBA.
Uliona nyomi la kibandamaiti zenj?Anaenda maonyesho ya kuonyesha helikopta sio kampemi chadema hawana watu huko
Utafanyaje mkuu kuonyesha upo makini mfano ikitokea! [emoji23] [emoji23]Kwa chopa ni chini ya dk 10 huoni hizo 30minutes zilizookolewa
Ila tu tupo macho msije kufanya kama mlivyomfanyia Deo
Jiandae usije kuchanganyikiwaLissu ndo Raisi mtarajiwa wa Tanzania ambaye anabeba maono ya kuivusha Tanzania. Jiwe anaweza kuwa ndo Raisi kwanza kuongoza kwa miaka mitano ajiandae kurudi kijijini kwake Chato huko alipojenga hekalu madikteta wengi wakipata madaraka huwa vitisho vingi sana kama ambavyo Jiwe anavyo tarehe 28-09-2020 tutamrudisha chato hii nchi si mali ya kikundi cha wahuni
Lisu anaenda kuisha kabisa subiriLissu ndo Raisi mtarajiwa wa Tanzania ambaye anabeba maono ya kuivusha Tanzania. Jiwe anaweza kuwa ndo Raisi kwanza kuongoza kwa miaka mitano ajiandae kurudi kijijini kwake Chato huko alipojenga hekalu madikteta wengi wakipata madaraka huwa vitisho vingi sana kama ambavyo Jiwe anavyo tarehe 28-09-2020 tutamrudisha chato hii nchi si mali ya kikundi cha wahuni
Ile mliyo edit niliionaUliona nyomi la kibandamaiti zenj?
Kwa maana hiyo the rest unawajua au?yaani hii nchi ina walemavu wa akili ni wengiWanaoamini kwamba atashinda urais ni wanachadema wa mitandaoni tu.
Sasa sawa, Magu aendelee kupigishwa magoti majukwaani na wasanii.
Unazingua!....×Natamani ningeudhuria mkutano wake, ila majukumu ya kikazi yatanibana hapa kikosini.
Rais wa wananchi anaingizwa ikulu na wenye nchi ambao ni wananchi. Wananchi ndio waajiri wa rais,hivyo ni vyema kuwahusisha wenye nchi katika harakati za kumtoa mkoloni mweusi ili hao wananchi wawe sehemu ya serikali,hence maana halisi ya mwajiri na mwajiriwa.Mtaendelea kuomba michango kwa wananchi?
Kipimo cha maendeleo ni sukari nini!Mngekuwa na nia ya dhati ya kuwasaidia Watanzania ingewasaidia sana, hivi mlipoingia madarakani sukari ilikua bei gani na sasa hivi ni bei gani?
Wamekudanganya ili usijisikie vibaya [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mademu zangu wote wamekubali kuniunga mkono kumpigia kura Tundu Lissu. Mm na wao kuminjijini Dar es salaam.
Hata nje ya mtandao wako kibao wanaoamini Lissu kuwa atashinda,wana CHADEMA wasiyo kuwa na chama chochote, wenye vyama tofautitofauti wakiongozwa na CCM wote wanaamini Lissu atashinda.Wanaoamini kwamba atashinda urais ni wanachadema wa mitandaoni tu.
Mh chadema ipo sana tuMbona wanaCCM wanasema CHADEMA imeishiwa?