Uchaguzi 2020 Lissu aanza kutumia Chopa. Kutikisa Bagamoyo, Kibaha na Chalinze leo

Uchaguzi 2020 Lissu aanza kutumia Chopa. Kutikisa Bagamoyo, Kibaha na Chalinze leo

Matumizi Mabaya ya pesa. KUTOKA DAR HADI KIBAHA KWA GARI NI MWENDO WA DAKIKA 40 MTU ANATUMIA HELKOPTA USHAMBA.
Kiongozi anafanya Mikutano minne kwa siku moja,,, anaanzia Bagamayo, kisha Kibaha mjini, Mlandizi na Chalinze,,,kwa Gari hawezi kumaliza mikutano yote hiyo, kwa sababu ya foleni na umbali wa hivyo vituo,,, tunaomba sana ushirikiano wako kiongozi wangu,,,kwa pamoja tuikomboe nchi yetu,,,Madhila tuliyopitia yametosha.
 
Anaenda maonyesho ya kuonyesha helikopta sio kampemi chadema hawana watu huko
 
Lissu ndo Raisi mtarajiwa wa Tanzania ambaye anabeba maono ya kuivusha Tanzania. Jiwe anaweza kuwa ndo Raisi kwanza kuongoza kwa miaka mitano ajiandae kurudi kijijini kwake Chato huko alipojenga hekalu madikteta wengi wakipata madaraka huwa vitisho vingi sana kama ambavyo Jiwe anavyo tarehe 28-09-2020 tutamrudisha chato hii nchi si mali ya kikundi cha wahuni
Jiandae usije kuchanganyikiwa
 
Lisu anaenda kuisha kabisa subiri
 
Mtaendelea kuomba michango kwa wananchi?
Rais wa wananchi anaingizwa ikulu na wenye nchi ambao ni wananchi. Wananchi ndio waajiri wa rais,hivyo ni vyema kuwahusisha wenye nchi katika harakati za kumtoa mkoloni mweusi ili hao wananchi wawe sehemu ya serikali,hence maana halisi ya mwajiri na mwajiriwa.
 
Mademu zangu wote wamekubali kuniunga mkono kumpigia kura Tundu Lissu. Mm na wao kuminjijini Dar es salaam.
Wamekudanganya ili usijisikie vibaya [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wanaoamini kwamba atashinda urais ni wanachadema wa mitandaoni tu.
Hata nje ya mtandao wako kibao wanaoamini Lissu kuwa atashinda,wana CHADEMA wasiyo kuwa na chama chochote, wenye vyama tofautitofauti wakiongozwa na CCM wote wanaamini Lissu atashinda.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom