Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tundu Antipas Lissu, Mgombea Urais kupitia CHADEMA anayeaminiwa na wengi kushinda Urais mwaka huu leo anaanza rasmi kuruka angani kwa kutumia Chopa maalum.
Baada ya mapumziko ya siku 2 mgombea huyo leo anatarajiwa kuingia mkoani Pwani kwa kishindo ambapo atafanya mikutano mikubwa ya kampeni katika miji ya Kibaha, Chalinze na Bagamoyo
Mara baada ya awamu ya kwanza kuzindua kampeni kwenye kanda zote 10 kwa sasa lengo kubwa ni kufanya mikutano mingi ya kukutana na wananchi kwa kila mkoa na kila Jimbo la Uchaguzi.
#Niyeye2020
Loliondo ama uwanja wa TAMKOKibaha au bagamoyo Kama kibaha are LOLIONDO TUMCHOMEE MBUZI MOJA KUBWA
Ni yeye wakala wa beberuNiyeye
Hapo umesema ukweli gani sasa?Kwani ukiwa ccm utakiwi kusema ukweli?
Kwahiyo hunywi chai eeh🤔? Hii pesa unayotumia kununua bando, kwanini usinunue sukari..?(jokes)Mngekuwa na nia ya dhati ya kuwasaidia Watanzania ingewasaidia sana, hivi mlipoingia madarakani sukari ilikua bei gani na sasa hivi ni bei gani?
Tukutane pale kwa kinabo liver road tuyajenge..Ni Yeye 2020Waoh karibu nyumbani Rais mtarajiwa.
😂😂😂Tukutane pale kwa kinabo liver road tuyajenge..Ni Yeye 2020
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daah kumbe Hadi warozi wanajua kujifariji.Waoh karibu nyumbani Rais mtarajiwa.
Waoh karibu nyumbani Rais mtarajiwa.
Kwa hiyo ile ndege mmeirudisha kwa wenyewe au nayo mtakuwa mnaitumia
Kauli kama hivi nizawale binadamu wanaotembea bila kuva nguo za ndaniWanaoamini kwamba atashinda urais ni wanachadema wa mitandaoni tu.
Mbowe kapunga mkono wananchi hawapungi wanaiangalia HELKOPTA tu
Hana ushamba huo anakula boda to boda. Kijiji to kijiji.Magufuli nae ataiga