Lissu aanza ziara kuaga "watu wake" ughaibuni, muda si mrefu anarudi

Lissu aanza ziara kuaga "watu wake" ughaibuni, muda si mrefu anarudi

Hii nayo ni Habari??? Aisee tuna safari ndefu sana ya maendeleo
 
Pia Lissu anayekuja ni Lissu aliyeishi ulaya, sio Lissu wa wakati ule, ni kawaida ya mataifa ya ulaya kupenyeza ajenda zao za kijasusi kwa wanasiasa wa afrika. Mbaya zaidi aliishi ubeleji, ambako ni kijiwe Cha majasusi dunia nzima. Lazima watakuwa wamemtengeneza kimaslahi yao, Hivyo basi, mienendo yake ya kisiasa iangaliwe iwapo haina maslahi kwa Taifa.
acha ujinga.
 
Aisee mkuu, binafsi hua naona CDM kama ni genge la wahuni, kila kitu kwao ni kibaya, nyakati za nyuma walicho wahi kushauri Serikali mambo mengi alikuja kuyafanya JPM, ule uthubutu wa kiutawala, kuzuia walafi wa wa fedha za wananchi na kuzuia mianya ya wapigaji ktk sekta nyingi za serikali, watu ambao tuliwahi kuwalalamikia na tulifunguliwa akili hizo na upinzani, lakini tena Kwa yale yote ya JPM wakageuka na kusema ni dikteta, muuaji na mambo kede kede, Kwa hivyo watu wengi ambao ambao wanamponda JPM ni walikua na maslahi yao ktk mambo mengi ambayo hayakua halali kwao, ndiyo maana wakati mwingine hawa wapinzani nawaona ni wahuni tu, sometimes kuwashabikia haina maana, CCM wana shida zao nyingi tu, hawa wapinzani Wana shida zao nyingi tu, wote ni wapigania tumbo
Wote wana shida zao yeah kama ulivyoainisha lakini mtu akiwa muuaji na akatawala kiimla(kidikteta) ukweli usisemwe?
What's your point kwenye hicho kipengele?
 
Lissu ameanza kuaga watu wake nadhani anajiandaa kurudi Tanzania, akipita bunge la ujerumani katika ziara hiyo, Ujerumani ndio walimuhifadhi na kumtafutia njia ya "kumkimbia mwendazake" kutoka ubalozini mpaka uwanja wa ndege. HAKIKA ANA FADHILA ya kulipa, hatujui fadhila gani.

Pia Lissu anayekuja ni Lissu aliyeishi ulaya, sio Lissu wa wakati ule, ni kawaida ya mataifa ya ulaya kupenyeza ajenda zao za kijasusi kwa wanasiasa wa afrika. Mbaya zaidi aliishi ubeleji, ambako ni kijiwe Cha majasusi dunia nzima. Lazima watakuwa wamemtengeneza kimaslahi yao, Hivyo basi, mienendo yake ya kisiasa iangaliwe iwapo haina maslahi kwa Taifa.

Tanganyika ilikuwa koloni la ujerumani, na ujerumani hawakuondoka kwa hiyari Tanganyika, na inasemwa waliacha Mali zao nyingi tu ila tu hawana namna, na wanatafuta namna makampuni yao yazifikie.
View attachment 2222320
Acha chuki na upotoshaji
 
Back
Top Bottom