Lissu aitwe aonywe ! Hatukatai kukemea masuala ya rushwa.Anapoongea nje ya vikao katika mikutano ya hadhara sasa anamnanga nani ? Chama ambacho yupo ? Au ? Hayo anayoongea yanastahili kuongelewa katika vikao vya chama ili kupata ufumbuzi.Sasa ufumbuzi watampa watu wa Ikungi ??? Dhamira yake nini ? Au kishakamata kimya kimya anakibomoa chama kwa sasa ? Mbowe kuwa na tahadhari na huyu mtu.CHADEMA ilipoanzishwa na mpaka sasa imepitia mambo mengi na kwa gharama kubwa ! Mwenyekiti usikubali cheap popularity anayoitaka Lissu anakiharibia chama.Mwambieni ukweli.Chama kitakuwepo hata bila yeye ! Kama vipi muwekeni kitimoto then Fukuza !
Ye nani ??? Kwanza ashukuru mungu bila CHADEMA sijui saa hizi angekuwa wapi !
Anajiona anajua kuliko mtu yoyote yule ! Kumbe sio !
Lissu acha ushamba wa Kisingida na Kinyaturu
Ye nani ??? Kwanza ashukuru mungu bila CHADEMA sijui saa hizi angekuwa wapi !
Anajiona anajua kuliko mtu yoyote yule ! Kumbe sio !
Lissu acha ushamba wa Kisingida na Kinyaturu