Pre GE2025 Lissu: Abdul aliniletea rushwa nyumbani kwangu nikamwambia "Shenzi, kahonge wanaohongeka"

Pre GE2025 Lissu: Abdul aliniletea rushwa nyumbani kwangu nikamwambia "Shenzi, kahonge wanaohongeka"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

G4N

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
4,283
Reaction score
9,925
Live kutoka viwanja vya stendi ya zamani Singida mjini, kipenzi cha watu na rais wa wananchi Tundu Antipas Lisu amefunguka na kusema alimtimua Abdul alipompelekea rushwa na kumwambia "shenzi kahonge wanaohongeka".

Hakika Lisu ni mwadilifu mno huyu mwamba. Anastahili kuwa rais 2025. Na njia iko wazi kwake.
 
Ila jamaa anajuaga kuwachota akili wajinga. Kwaakili ya kawaida tu anachosema hakiwezekani. Labda kama anamaanisha Abdul mwingine.

Kwa alichosema huwezi kujua ni Abdul yupi aliyepeleka rushwa, waropokaji wengine wajifunze kwa huyu jamaa anadanganya uongo ambao hauwezi kumtia hatiani.
 
Live kutoka viwanja vya stendi ya zamani Singida mjini, kipenzi cha watu na rais wa wananchi Tundu Antipas Lisu amefunguka na kusema alimtimua Abdul alipompelekea rushwa na kumwambia "shenzi kahonge wanaohongeka".

Hakika Lisu ni mwadilifu mno huyu mwamba. Anastahili kuwa rais 2025. Na njia iko wazi kwake.
Mbunge wa Mvumi Mh Lusinde aliwahi kusema ktk wanasiasa waadilifu na wenye uwezo mkubwa na weledi hawezi kuacha kumtaja Tundu Lissu hata kama wanatofautiana kimtazamo.

Alisema Tundu Lissu haho
 
Back
Top Bottom