magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Ushahidi ni Lissu kutopelekwa mahakamani kwa tuhuma alizotoa.Lissu aache siasa za kitoto aweke ushahidi wa kufikiwa na Abdul na kutaka kuhongwa, lakini pia apeleke TAKUKURU Ili wachukue hatua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushahidi ni Lissu kutopelekwa mahakamani kwa tuhuma alizotoa.Lissu aache siasa za kitoto aweke ushahidi wa kufikiwa na Abdul na kutaka kuhongwa, lakini pia apeleke TAKUKURU Ili wachukue hatua
Chukua k vant ndogo nalipa 😁🤣🤣🤣Nchi imechangamka hadi raha....
Tutafika mbali Sana tukishabikia majizi wauza nchi waliopania kutufanya watumwa ktk Tanganyika yetuTujadili hoja na mambo ya msingi kwenye taifa letu ,siasa za hivi hazitatufikisha popote .
Yapo ya kuombea,Ni kwel rabbon mtu wa yesu , tuliombee tu taifa letu kwa damu ya yesu tutashinda .🙏
Hayo majamaa hatupaswi tudili nayo kwa njia hii yaki mwijaku mwijaku.Tutafika mbali Sana tukishabikia majizi wauza nchi waliopania kutufanya watumwa ktk Tanganyika yetu
Wanpandisha midadi.....😁Chukua k vant ndogo nalipa 😁
Ni mtoto wa HangayaHuyo Abdul kwani ni nan mkuu?
Anapita kwenye nyayo za baba wa taifa mwl. NyerereLive kutoka viwanja vya stendi ya zamani Singida mjini, kipenzi cha watu na rais wa wananchi Tundu Antipas Lisu amefunguka na kusema alimtimua Abdul alipompelekea rushwa na kumwambia "shenzi kahonge wanaohongeka".
Hakika Lisu ni mwadilifu mno huyu mwamba. Anastahili kuwa rais 2025. Na njia iko wazi kwake.
ili asipige SpanaKisa cha yeye kuhongwa ni nini ??
Hata Mange Kimambi aliwakatalia kuchukua hela zao na Sasa hivi yupo Twitter (X) anashusha Spana kali kuliko za LissuKisa cha yeye kuhongwa ni nini ??
Nyoka hawezi kuuchukulia hatua Mkia wake.TAKUKURU Ili wachukue hatua
Nataka nijue kataja Abdul hafidh ? Kama hajataja ujue anawachota akili mkienda mahakamani anawaruka chapAnawalegeza kwanza, kawataja live Mother na Mtoto wao ndio wana haki ya kwenda kumshitaki halafu watakutana huko Mahakamani. Mama na Mtoto wanapigwa Spana kali sana
Lissu na Mbowe wake walikula ela za Lowassa na kudiriki kusema list of shame aliyosomwa mwembe yanga na Dk Slaa aliiandika Yeye ilikuwa siyo ya kweli,ulikuwa uongo mtupu,yote hayo ilikuwa kumsafisha Lowassa,tokea hapo Lissu nilimwona mwanasisa wa hovyo na Chadema yake.Ccm hatuipendi ila na upinzani wa hakina Lissu amna kitu wanayumba sana.Live kutoka viwanja vya stendi ya zamani Singida mjini, kipenzi cha watu na rais wa wananchi Tundu Antipas Lisu amefunguka na kusema alimtimua Abdul alipompelekea rushwa na kumwambia "shenzi kahonge wanaohongeka".
Hakika Lisu ni mwadilifu mno huyu mwamba. Anastahili kuwa rais 2025. Na njia iko wazi kwake.
Swearing does not make you seem ignorant as to "who Abdul is"!Who the hell is Abdul?
Kwani hadi sasa watu hawajui abdul anayezungumziwa ni nani? Yeye anafikisha ujumbe kwa watu, hatambulishi watu.Nataka nijue kataja Abdul hafidh ? Kama hajataja ujue anawachota akili mkienda mahakamani anawaruka chap