Pre GE2025 Lissu: Abdul aliniletea rushwa nyumbani kwangu nikamwambia "Shenzi, kahonge wanaohongeka"

Pre GE2025 Lissu: Abdul aliniletea rushwa nyumbani kwangu nikamwambia "Shenzi, kahonge wanaohongeka"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Live kutoka viwanja vya stendi ya zamani Singida mjini, kipenzi cha watu na rais wa wananchi Tundu Antipas Lisu amefunguka na kusema alimtimua Abdul alipompelekea rushwa na kumwambia "shenzi kahonge wanaohongeka".

Hakika Lisu ni mwadilifu mno huyu mwamba. Anastahili kuwa rais 2025. Na njia iko wazi kwake.
Peoples!!!! Poweeerr!!!!✌️✌️✌️SPANA ziendelee😄
 
Ila jamaa anajuaga kuwachota akili wajinga. Kwaakili ya kawaida tu anachosema hakiwezekani. Labda kama anamaanisha Abdul mwingine.

Kwa alichosema huwezi kujua ni Abdul yupi aliyepeleka rushwa, waropokaji wengine wajifunze kwa huyu jamaa anadanganya uongo ambao hauwezi kumtia hatiani.
Lisu anajua akitaja Abdul wako wengi na huwezi kumshtaki, akisema mama Abdul pia hajamtaza Samia so anacheza kwa akili sana, ndio maana ziara zake zote anatamka Abdul au mama Abdul
 
Back
Top Bottom