Uchaguzi 2020 Lissu adai kucheleweshwa KIA makusudi na TCAA

Kwa kuaanza ku over see kila possibility ya kukwamisha huwezi kufanya kampaini, kumzuia lissu kutofika Dar kwenye mkutano huo wahamisho kwa vikwanzo vya TCAA ni faida kubwa kwake katika kampeini kuliko kuhudhuria hicho kikao
Leo si ndio Dday, hivi kweli mlidhani vitu vitaenda smoothly kama kawaida? Ilitakiwa tangu jana awepo Dar, tena kwenye handaki futi 500 kwenda chini, ambako hata bunkerbuster haipenyi...
 
Hawa mashetani wa kijani ccm ni majini wa hovyo haijawahi kutokea wanatujaza tu hasira but they have to know that the clock is ticking, dooms hours are at the door.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…