Uchaguzi 2020 Lissu adai kucheleweshwa KIA makusudi na TCAA

Uchaguzi 2020 Lissu adai kucheleweshwa KIA makusudi na TCAA

Kama kun local flights zingine za KIA-DAR wecheck nao aweze kufika alikokusudia.
 
Sasa Ataondokaje bila kibali akipata ajali au kuasabahisha ajali atamalaumu nani Asubiri dawa Imwingie. Hahaha Kwanza anakwenda Dar kufanya ninj wakati sio mpiga kura
 
Mnaomba kibali kama vile ni nyie tu ndio mulikuwa waombaji.. musubiri muda wenu. Mtapewa tu..

Kesho [emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169]
Mmmhhh ona hili Tope kichwan


Lumumba wengi wenu ni wakereketwa , sijaona mwanasiasa,

Yaan badili yakutoa Hoja , mnachangia mambo utadhan mmetumia makalio kuwaza.


Kwann msiwe na Hoja ambazo hata mtoto wa darasa lapili anaweza sikiliza??


Embu fikiria, hapo unamiaka zaidi ya 40 .... Alafu kichwan unamatope yanamna hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
CCM mnaona raha hapo si mngefuta vyama vya upinzani kama hamtaki ushindani tujue ni nchi ya kifalme tu
 
Naamini mna wataalamu wa hali ya hewa wa kuthibitisha kuwa huu siyo wakati salama kwa matumizi ya ndege ndogo kama CHOPA. Kuna ajali nyingi za ndege aina hiyo ambazo vyanzo vyake ni hali mbaya ya hewa.

Mkilazimisha na ikatokea ajali msiilaumu Serikali. Heri lawama kuliko fedheha wahenga walinena.
 
Hakika naikumbuka movie ya Dolph Lindgren, inaitwa Bridge of the Dragon , Adui Ni Gary Hiroyuki Tagawa, Tagawa ulikuwa ikiongoza kikosi kilichoenda kumsaka Dolph akiwa na mtutu wa bundiki na mwisho wa siku Dolph alikamatwa chini ya kiongozi jadiri Tagawa,
Lissu ongoza mpambano utashinda tu , wananchi tupo nyuma yako kusapoti.
 
Uhakika wa hili Jambo ukoje? Usipende kulaumu tu, huenda kuna mambo anapaswa kuyafanya kabla ya kuruhusiwa, amegoma anakuja kuomba Masada jamiii forum?
 
Sawa tunawasubiri, labda mtafika salama, who knows ?
mavih yako, kwani wewe Mungu hadi useme labda..who are you
hata mamlaka zinatumiwa na wakoloni ccm , yani mwaka huu lazima mjitie madole
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kama wataondoka KIA bila approval ya TCAA pilot atakua Tundu au?

Nawaza taratibu na sheria
 
Kuna taarifa kuwa baada ya kucheleweshewa kibali cha anga akiwa Kilimanjaro Tundu Lisu ameamua kurusha choppa bila kibali kuwahi mikutano yake ya kufunga kampeni Dsm.

Ngoja tuone mamlaka husika ikiwemo NEC zitachukua hatua gani.

Maendeleo hayana vyama!
Mnatafuta kumfuta kwenye wagombea. Hamju ya kesho... Idd Amin hakuamini kuwa anaweza kufurushwa. Time will tell!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom