Bro, unajuaje kuwa hiyo sio plan B, C ama D. Kurukia mambo usiyoweza kuyatolea ushahidi ni kujitia ujuaji. Hata hizo unazoziita plans B, C na D haziwezi kuwa wazi kila wakati!! Dar panaendeka kwa barabara na ndege, hakuna treni wala melikebu. Kama hakuna schedule passenger flights unadhani atumie barabara??
Unashindwa kujua kitu kimoja anayetaka kukuzuia usiruke anaweza hata kufuta scheduled flight kwa kisingizio technical!! Anaweza kutaka kuchukua chartered flight, nayo inahitaji kibali. Mzuiaje nae ana hizo plan B, C na D!!