Uchaguzi 2020 Lissu adai kucheleweshwa KIA makusudi na TCAA

Uchaguzi 2020 Lissu adai kucheleweshwa KIA makusudi na TCAA

Leo si ndo Dday,hivi kweli mlidhani vitu vitaenda smoothly kama kawaida? ,Ilitakiwa tangu jana awepo dar,tena kwenye handaki futi 500 kwenda chini,ambako hata bunkerbuster haipenyi...
Kabisa mkuu yani hii ni mistake kubwa sana wamefanya wanakuwa Kama hawaijui ccm vile
 
Mgombea wa chama haramu baada ya kuishiwa pesa za kusombea watu ameshindwa kufunga kampeni sasa ameamua kumzuia mwenzio asifunge kampeni, Kama alivyomzuia kwenda kusini baada ya kukosa majibu juu ya korosho zao akaogopa ya kagera , lakin haizuii kusulubiwa kesho.
 

Attachments

  • Screenshot_20201019_151325.jpg
    Screenshot_20201019_151325.jpg
    80.1 KB · Views: 1
Kwanini hamkuoversee hii possibility,,?,ndo maana nasemaga hamjawa tayari kuongoza,hii ilitakiwa muione kabla na muweke plan B,C,D

Bro, unajuaje kuwa hiyo sio plan B, C ama D. Kurukia mambo usiyoweza kuyatolea ushahidi ni kujitia ujuaji. Hata hizo unazoziita plans B, C na D haziwezi kuwa wazi kila wakati!! Dar panaendeka kwa barabara na ndege, hakuna treni wala melikebu. Kama hakuna schedule passenger flights unadhani atumie barabara??

Unashindwa kujua kitu kimoja anayetaka kukuzuia usiruke anaweza hata kufuta scheduled flight kwa kisingizio technical!! Anaweza kutaka kuchukua chartered flight, nayo inahitaji kibali. Mzuiaje nae ana hizo plan B, C na D!!
 
Kuna taarifa kuwa baada ya kucheleweshewa kibali cha anga akiwa Kilimanjaro Tundu Lisu ameamua kurusha choppa bila kibali kuwahi mikutano yake ya kufunga kampeni Dsm.

Ngoja tuone mamlaka husika ikiwemo NEC zitachukua hatua gani.

Maendeleo hayana vyama!
Kwani neki wanahuaika na vibli? Hataivyo hatujui waliomba leoleo ama wanatakiwa kuomba siku kadhaa kabla.

Afuate sheriatu vinginevyo angewahikuja dar siku mbili kabla mana anajua kabisa kwamba hawezi kupata anachotaka kirahisi katika kipindi hichi.

Ana weza kumponza rubani akilazimisha.

Kutumia manguvunguvu kilazimisha kuruka bila kibali cha mamlaka husika sio kitendo cha akili.
 
Nashindwa kuelewa kwa nini ccm wanashindwa kufahamu kwamba wanavyozidi kufanya matendo ya kugandamiza watu ndivyo wanavyoamsha hasira na chuki za watu. Nyie ccm msifikiri Lissu hana washabiki ambao wanaweza kuanzisha matendo ya kuharibu amani yoooote ambayo Tanzania imeijua miaka yote. Mnashindwa kuelewa kwamba vita vya wenyewe kwa wenyewe vinaanza hivi hivi. Mnadhani vyombo vya dola vinaweza kudhibiti mambo yote. SIO KWELI. Ukitokea uadui wa kuwindana wana ccm na wapinzani hakuna chombo chote cha dola kinachoweza kuondoa chuki iliyo mioyoni mwa watu. Msifikiri watu watakachoweza kufanya ni kuandamana tu. Wanaweza kuanza kufanyiana hujuma - kuchomeana nyumba kuharibiana mali n.k. Tafadhalini sana, sana, viongozi wa ccm, msiwasukume vijana wa upinzani wafike huko. Nchi haitakalika. Na hata vyeo vyenu mtakavyokuwa navyo mtaviona shubiri. Watendeeni tu HAKI wapinzani wenu. Kwa vile chama chenu kimeshafanya mambo mengi sana ya maendeleo, si mnapendwa sana? Mgombea wenu atashinda tu. Msiwaonee wapinzani. Inasemekana Maalim Seif kakamatwa, na wapo vijana ambao wamepigwa risasi kwenye hizo vurugu. Hivi ni vitendo vya kuchochea hasira za wapinzani. Ogopeni when someone says "enough is enough" !!
 
Mtindo huu wa kulia-lia unatuchosha! Hiyo si kazi yako? Niko huku Nkasi, nikusaidieje?
 
Utopolo mtu ana ngoja kibali cha nn Sasa chopa linatua popote awashe gia, wafanye watakavyo
nani atawaongoza sasa si watajikuta wako songea au msumbiji huko lazima wapewe coordinates kuwa wasafiri kwa msafa haya
 
✌✌✌✌✌✌✌ Piga Spana Lissu Piga Spana tunasubiri Amri yako.
 
Bro, unajuaje kuwa hiyo sio plan B, C ama D. Kurukia mambo usiyoweza kuyatolea ushahidi ni kujitia ujuaji. Hata hizo unazoziita plans B, C na D haziwezi kuwa wazi kila wakati!! Dar panaendeka kwa barabara na ndege, hakuna treni wala melikebu. Kama hakuna schedule passenger flights unadhani atumie barabara??

Unashindwa kujua kitu kimoja anayetaka kukuzuia usiruke anaweza hata kufuta scheduled flight kwa kisingizio technical!! Anaweza kutaka kuchukua chartered flight, nayo inahitaji kibali. Mzuiaje nae ana hizo plan B, C na D!!
Unakwenda kuchukua chartered plane kwa jina la lissu au chadema unategemea nini?,
Kama kuna uhitaji wa usafiri D-day minus one,sharti pawepo na alternative kadhaa zimekaa standbay to go on short notice,
Anaweza kwa mfano mtu unrelated akakodi flight kwa sababu unrelated na uchaguzi na huo usafiri ndo umsafirishe hata night,
Au anaweza kutumia gari unrelated akaondoka point A to point B,
Acheni kubania hela nyie
 
Hatuwezi kuishi kwenye nchi ya kipuuzi namna hii. Yaaani binadamu mwenzetu anaonewa kiasi hiki tena waziwazi na wala tusichukue hatua.

Walimpiga risasi wakitaka kumuua, akapona mauti ila wakamnyima matibabu, akapona kabis wakamvua ubunge na kukataa kumlipa hata kiinua mgongo kwa kipindi alichotumikia.

Sasa amegombea uraisi hawaachi figisu, mikoa ya kusini wamemzuia kufanya mikutano zaidi ya 10, na Mkoa wa Pwani pia, kisa magufuli ameshindwa kufanya kampeni kusini.

Sasa leo anakuja kufunga kampeni Dar wanamletea figisu tena kwa makusudi. Sasa tunasema imetosha!!!!

Kesho kwa hasira tunaenda kupiga kura nyingi kwa Lissu na tutalizilinda hakika kwa gharama ya damu zetu. Hata tukifa ila historia itatukumbuka.
Labda kwa gharama ya damu ya mama ako na baba ako kwa sisi wengine hatuna nafasi ya kumwaga damu...amani ni zaidi ya urais mnaoutaka mbwa nyie
 
Back
Top Bottom