Uchaguzi 2020 Lissu adai kucheleweshwa KIA makusudi na TCAA

Uchaguzi 2020 Lissu adai kucheleweshwa KIA makusudi na TCAA

Hapo ndio ujiulize ni Wapinzani au ni CCM wanaoweza kuharibu amani yetu?
 
Unakwenda kuchukua chartered plane kwa jina la lissu au chadema unategemea nini?,
Kama kuna uhitaji wa usafiri D-day minus one,sharti pawepo na alternative kadhaa zimekaa standbay to go on short notice,
Anaweza kwa mfano mtu unrelated akakodi flight kwa sababu unrelated na uchaguzi na huo usafiri ndo umsafirishe hata night,
Au anaweza kutumia gari unrelated akaondoka point A to point B,
Acheni kubania hela nyie

..You have good points.

..hata mimi sikutegemea Tundu Lissu aendelee na chopa baada ya kumaliza kampeni Same Kilimanjaro jana.

..angerudi Dsm kwa magari, ingemchukua masaa 6 mpaka 7 mwendo wa kawaida kuhakikisha anawahi kampeni za leo.

..I think this was a tactical mistake ukizingatia kuwa muenendo wa Tcaa unajulikana.

NB:

..pia jana wangeweza kuanza kampeni Handeni, halafu Same Mashariki, na kumalizia Same Magharibi. Hapo tayari wangekuwa wako barabara kuu ya kuelekea Dsm.
 

Attachments

  • Screenshot_20201019_151325.jpg
    Screenshot_20201019_151325.jpg
    80.1 KB · Views: 1
TCAA na nyie mmekubali kutumiwa na CCM? mbona mambo ya ajabu sana haya mnayafanya?
 
Inauma sana!!yna ccm nchi ka ya kwao peke yao!!MUNGU ATATENDA MIUJIZA KAMA SIO ZANZBAR BASI BARA..
 
Hii website ya jamiiforum imeshakuwa kama tawi la ccm kwasababu kuna watu huwa wanataka kuilinganisha na mitandao mizito ya kijamii kama facebook au twiter huwa nawacheka sanaaaaa
jamii forum siku hizi sio wenzetu na wala hupaswi kuwaamini pale unapotaka kutoa habari yenye kuisema serikali....hufuta nyuzi nyingi sana....huwezi jua makubaliano ya melo na SIRIKALI ndio maana siku hizi hawamsumbui.....me nahisi huu mzigo unaweza kuwa hata umebinafsishwa kwa WAZEE WA VIPENYO hivyo wanatuchora tu.....hujuulizi kwann twita ,fb,ista hazifanyi kazi ila jamii forum tu....'?
 
Hatuwezi kuishi kwenye nchi ya kipuuzi namna hii. Yaaani binadamu mwenzetu anaonewa kiasi hiki tena waziwazi na wala tusichukue hatua.

Walimpiga risasi wakitaka kumuua, akapona mauti ila wakamnyima matibabu, akapona kabis wakamvua ubunge na kukataa kumlipa hata kiinua mgongo kwa kipindi alichotumikia.

Sasa amegombea uraisi hawaachi figisu, mikoa ya kusini wamemzuia kufanya mikutano zaidi ya 10, na Mkoa wa Pwani pia, kisa magufuli ameshindwa kufanya kampeni kusini.

Sasa leo anakuja kufunga kampeni Dar wanamletea figisu tena kwa makusudi. Sasa tunasema imetosha!!!!

Kesho kwa hasira tunaenda kupiga kura nyingi kwa Lissu na tutalizilinda hakika kwa gharama ya damu zetu. Hata tukifa ila historia itatukumbuka.
Nyie watu mnasingizia jamaa yenu kapigwa risasi na mnaowadhania nyie. Hebu mleteni dereva wake aje atoe ushuhuda mbona kafichwa nje. Acheni kuwa na ufinyu wa fikra.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo Lisu akisema tutaruka kwa nguvu yeye rubani? Dar hewa imechafuka kuna mvua na upepo wa kufa MTU halafu mbona kuna wabunge Dar hajaenda wanakogimbea Dar mfano Suzan Lyimo mbona kawe anarudi Mara mbili wakati hajanadi mgombea ubunge wa ubungo na kinondoni?
 
Hatuwezi kuishi kwenye nchi ya kipuuzi namna hii. Yaaani binadamu mwenzetu anaonewa kiasi hiki tena waziwazi na wala tusichukue hatua.

Walimpiga risasi wakitaka kumuua, akapona mauti ila wakamnyima matibabu, akapona kabis wakamvua ubunge na kukataa kumlipa hata kiinua mgongo kwa kipindi alichotumikia.

Sasa amegombea uraisi hawaachi figisu, mikoa ya kusini wamemzuia kufanya mikutano zaidi ya 10, na Mkoa wa Pwani pia, kisa magufuli ameshindwa kufanya kampeni kusini.

Sasa leo anakuja kufunga kampeni Dar wanamletea figisu tena kwa makusudi. Sasa tunasema imetosha!!!!

Kesho kwa hasira tunaenda kupiga kura nyingi kwa Lissu na tutalizilinda hakika kwa gharama ya damu zetu. Hata tukifa ila historia itatukumbuka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu sasa si uende road mbona unatokwa povu tu humu?
 
nani atawaongoza sasa si watajikuta wako songea au msumbiji huko lazima wapewe coordinates kuwa wasafiri kwa msafa haya
Chopa sio sawa na ndege zingine bila v coordinate unafika popote tu kwa kutumia gps na visibility ya chini unaruka chinichini tu
 
ANAANDIKA MH.TUNDU LISSU

-------

Waheshimiwa viongozi salaam. Mimi na timu yangu ya kampeni tuko Kilimanjaro International Airport tangu saa nne asubuhi. Tulikuja kuweka mafuta kwenye chopper yetu ili tuweze kwenda Dar kwa ajili ya mkutano wetu wa kufunga kampeni unaotakiwa kuanzia Kawe saa tisa mchana.

Hata hivyo tumeshindwa kuondoka KIA kwa sababu hatujapatiwa kibali cha kutua Dar na Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA).

Huu ndio umekuwa utamaduni wa TCAA katika kampeni hizi tangu tuanze kutumia chopper. Wanatumiwa na CCM ili kuhujumu kampeni zetu na ndivyo walivyofanya wiki iliyopita Lindi na Mtwara.

Sasa itatulazimu tuondoke KIA kuelekea Dar bila kibali cha TCAA; wafanye lolote wanalotaka kufanya. Mimi na wenzangu hatutakubali kunyanyaswa namna hii tena. Dar jiandaeni, tuko njiani tunakuja!
Lissu naye unatia kichefuchefu! uondoke bila kibali unadhani hiyo ni Toyota yako? Chopa, Chopa ndo kitu gani! Ndege dhaifu kabisa hiyo inayoweza kuanguka bila sababu ndo unajidai kuondoka bila kibali? Ubwege huo!
Jilaumu kwa ratiba mbovu. Kama ulijua unafanyiziwa sabotage kwa nini upange ratiba ya aina hiyo? wewe hujui kuruka vikwazo!
 
Back
Top Bottom