Patriot
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 5,705
- 4,703
Kwani hata rubani naye ni bwege?Wamepaa bila kibali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hata rubani naye ni bwege?Wamepaa bila kibali
See kumi na kumi na moja hakuna mvuaPwani na Dar SAA hii kuna mvua na upepo mkali
Tumeuzwa nakuambia. I used to trust this JF sio sasa hivi. Huyu max yupo tu kama pichajamii forum siku hizi sio wenzetu na wala hupaswi kuwaamini pale unapotaka kutoa habari yenye kuisema serikali....hufuta nyuzi nyingi sana....huwezi jua makubaliano ya melo na SIRIKALI ndio maana siku hizi hawamsumbui.....me nahisi huu mzigo unaweza kuwa hata umebinafsishwa kwa WAZEE WA VIPENYO hivyo wanatuchora tu.....hujuulizi kwann twita ,fb,ista hazifanyi kazi ila jamii forum tu....'?
Mimi niko Geita nimejiandaa vilivyo ni Molotov Cocktails na zingine tumegawana na Vijana wa ActWazalendo
Anza kuchukua hatua mkuu.Hatuwezi kuishi kwenye nchi ya kipuuzi namna hii. Yaaani binadamu mwenzetu anaonewa kiasi hiki tena waziwazi na wala tusichukue hatua.
In your dreamsKesho njano kijani
Inameremeta nchi nzima.. 💚💚💛💛💚💚
Hivi kwann hapendi kutii sheria bila shuruti
Unategemea nini, watu wanapewa kazi kindugu hakuna ueledi kabisa.
Mimi Niko Dar kuna mvua na upepo mkali sanaKuna tetesi kuwa Lissu amezuiliwa kuondoka KIA kuja Dar. Mwenye fununu atuhabarishe.
Mmmhhh ona hili Tope kichwan
Lumumba wengi wenu ni wakereketwa , sijaona mwanasiasa,
Yaan badili yakutoa Hoja , mnachangia mambo utadhan mmetumia makalio kuwaza.
Kwann msiwe na Hoja ambazo hata mtoto wa darasa lapili anaweza sikiliza??
Embu fikiria, hapo unamiaka zaidi ya 40 .... Alafu kichwan unamatope yanamna hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uongo members wa Jamii forums walioko Dar mashahidi SAA hii ni SAA Tisa sio.SAA kumi na moja haki ya hewa Dar mbayaSee kumi na kumi na moja hakuna mvua
Alikusaliti wewe n'a mama yakoShauri yao hatuna huruma na msaliti wa Nchi
Huko aliko lala usidhani alikuwa fofofo. Think broadly
Angalia Dar Weather todayUongo members wa Jamii forums walioko Dar mashahidi
Pascal MayallaANAANDIKA MH.TUNDU LISSU
-------
Waheshimiwa viongozi salaam. Mimi na timu yangu ya kampeni tuko Kilimanjaro International Airport tangu saa nne asubuhi. Tulikuja kuweka mafuta kwenye chopper yetu ili tuweze kwenda Dar kwa ajili ya mkutano wetu wa kufunga kampeni unaotakiwa kuanzia Kawe saa tisa mchana.
Hata hivyo tumeshindwa kuondoka KIA kwa sababu hatujapatiwa kibali cha kutua Dar na Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA).
Huu ndio umekuwa utamaduni wa TCAA katika kampeni hizi tangu tuanze kutumia chopper. Wanatumiwa na CCM ili kuhujumu kampeni zetu na ndivyo walivyofanya wiki iliyopita Lindi na Mtwara.
Sasa itatulazimu tuondoke KIA kuelekea Dar bila kibali cha TCAA; wafanye lolote wanalotaka kufanya. Mimi na wenzangu hatutakubali kunyanyaswa namna hii tena. Dar jiandaeni, tuko njiani tunakuja!
Ameshafika Dar na chopa imepita Kawe na kushangiliwa na umati wa watu!Lissu amesharuka yuko njiani