Uchaguzi 2020 Lissu adai kucheleweshwa KIA makusudi na TCAA

Uchaguzi 2020 Lissu adai kucheleweshwa KIA makusudi na TCAA

Leo si ndo Dday,hivi kweli mlidhani vitu vitaenda smoothly kama kawaida? ,Ilitakiwa tangu jana awepo dar,tena kwenye handaki futi 500 kwenda chini,ambako hata bunkerbuster haipenyi...
Uzuri kwa illusions hua uko vzr.
 
Kuna taarifa kuwa baada ya kucheleweshewa kibali cha anga akiwa Kilimanjaro Tundu Lisu ameamua kurusha choppa bila kibali kuwahi mikutano yake ya kufunga kampeni Dsm.

Ngoja tuone mamlaka husika ikiwemo NEC zitachukua hatua gani.

Maendeleo hayana vyama!
Wewe ni mpumbavu kweli, tangu lini NEC ikahusika na mambo ya usafiri wa anga?
 
Kama wataondoka KIA TCAA pilot atakua Tundu au?

Nawaza taratibu na sheria
Pilot atakua huyu hapa.
EkjOyBlX0AEyvSk.jpg
 
Chopa na Hali ya hewa Hapa Dar wapi na wapi!!

Asiseme amecheleweshwa, Bali ashukuru Kwa kitendo hicho
 
....and that is the WHOLE TRUTH NOTHING BUT THE TRUTH 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Pole sana Lissu! Nimeweka tetesi hapa ya kitu hiki wamefuta, sijui kama hii itakaa
Hii website ya jamiiforum imeshakuwa kama tawi la ccm kwasababu kuna watu huwa wanataka kuilinganisha na mitandao mizito ya kijamii kama facebook au twiter huwa nawacheka sanaaaaa
 
Ndiyo maana nchi za kiafrika kuendelea inachukua muda mrefu sana, ili tuendelee tunahitaji siasa safi, mambo haya ulaya hakuna.
 
Mnaomba kibali kama vile ni nyie tu ndio mulikuwa waombaji.. musubiri muda wenu. Mtapewa tu..

Kesho [emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169]
ccmchanel hi![emoji2772][emoji2772][emoji2772]
 
Back
Top Bottom