Pre GE2025 Lissu aendelea kupanga safu yake kwa ustadi mkubwa. Anaumaliza uchaguzi mapema sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,171
Reaction score
4,295
Your browser is not able to display this video.



Lissu hapoi wala haboi, ameendelea kuipanga safu yake na jana usiku nyumbani kwake alikuwa na kikao kizito na wajumbe wa mkutano mkuu kutoka mikoa ya kanda ya ziwa ambao hawakutokea kwenye press yake kwa sababu ambazo zipo kapuni.

Awa ni wale wanaingia kama wapiga kura kwenye uchaguzi wa nafasi ya mwenyekiti wa chama.

Mpaka sasa hali ni mbaya kwa Mbowe ni kama uchaguzi ameshaumaliza Lissu.

Kama ambavyo chama kimekuwa kikidai haki ya kulinda kura kwenye chaguzi mbalimbali basi kambi ya Lissu nao wamejiapiza kulinda kura zao.
 
Kumbe?Ndiyo alimpulizia pumzi ya uhai.The last time I checked,kwenye biblia kitabu cha Genesis sijaona jina Mbowe kuumba watu.Natania.
Wameshikwa pabaya na Lissu hoja zao haziwezi wasaidia.

Ikitokea jina limekatwa somewhere basi chama kile kitagawanywa pasu kwa pasu na hakuna ataekimbia chama yani mapambano ni mule mule.
 
Kinachonishangaza ni hao machawa kina Martin na Boniyai aisee hadi aibu nilikua najua ni watu wa maana kumbe ni takataka tu
Chawa namba moja yule kichaa wa Arusha Lema hatujamsikia akitoa povu aisee
 
Upinzani wa Tanzania ni wa kipekee sana! Hapa ukiunganisha dot unaona kabisa kitakachoenda kutokea...Lissu, Msigwa, wote team moja etc. CCM itatawala miaka mingi sana ijayo. Hakuna wa kuikaribi CCM kwa sasa labda itokee huko baadaye sana waharibu wenyewe wajukuu zetu...
 
Usimfananishe mtu anaetembea na risasi mwilini sababu ya CCM na vitu vya ajabu..uwe unafikiri kabla ya kuandika
 
Polisiccm ndio bado wapo ila chama ccm kilishakufa siku nyingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…