Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasimama Na wakili msomi, Tundu Lissu SIMBA DUMEView attachment 3175513
Lissu hapoi wala haboi, ameendelea kuipanga safu yake na jana usiku nyumbani kwake alikuwa na kikao kizito na wajumbe wa mkutano mkuu kutoka mikoa ya kanda ya ziwa ambao hawakutokea kwenye press yake kwa sababu ambazo zipo kapuni.
Awa ni wale wanaingia kama wapiga kura kwenye uchaguzi wa nafasi ya mwenyekiti wa chama.
Mpaka sasa hali ni mbaya kwa Mbowe ni kama uchaguzi ameshaumaliza Lissu.
Kama ambavyo chama kimekuwa kikidai haki ya kulinda kura kwenye chaguzi mbalimbali basi kambi ya Lissu nao wamejiapiza kulinda kura zao.
CCM haiwezi kuwa upande wa Lissu, wanaogopa Lissu akiwa Mwenyekiti, falsafa ya CHADEMA kudeal na Serikali ccm itakuwa ya kiharakati wakati mbowe ni ile ya kidiplomasia zaidi.Ila inaonekana kuna CCM behind the scene kwenye hii movement ya lisu
Kumbe?Ndiyo alimpulizia pumzi ya uhai.The last time I checked,kwenye biblia kitabu cha Genesis sijaona jina Mbowe kuumba watu.Natania.
Bila mwamba Mbowe saa hizi Lissu angekuwa shimo la Tewa !!
Ila inaonekana kuna CCM behind the scene kwenye hii movement ya lisu
Umekosea kupiga mahesabu mkuu, huu ni upepo wa kidunia tu unavuma.Ila inaonekana kuna CCM behind the scene kwenye hii movement ya lisu
Mbowe ameshakubali kumwachia Lisu kiti. Lisu anaziweza siasa ngumuView attachment 3175513
Lissu hapoi wala haboi, ameendelea kuipanga safu yake na jana usiku nyumbani kwake alikuwa na kikao kizito na wajumbe wa mkutano mkuu kutoka mikoa ya kanda ya ziwa ambao hawakutokea kwenye press yake kwa sababu ambazo zipo kapuni.
Awa ni wale wanaingia kama wapiga kura kwenye uchaguzi wa nafasi ya mwenyekiti wa chama.
Mpaka sasa hali ni mbaya kwa Mbowe ni kama uchaguzi ameshaumaliza Lissu.
Kama ambavyo chama kimekuwa kikidai haki ya kulinda kura kwenye chaguzi mbalimbali basi kambi ya Lissu nao wamejiapiza kulinda kura zao.
Upinzani wa Tanzania ni wa kipekee sana! Hapa ukiunganisha dot unaona kabisa kitakachoenda kutokea...Lissu, Msigwa, wote team moja etc. CCM itatawala miaka mingi sana ijayo. Hakuna wa kuikaribi CCM kwa sasa labda itokee huko baadaye sana waharibu wenyewe wajukuu zetu...
CCM haiwezi kuwa upande wa Lissu, wanaogopa Lissu akiwa Mwenyekiti, falsafa ya CHADEMA kudeal na Serikali ccm itakuwa ya kiharakati wakati mbowe ni ile ya kidiplomasia zaidi.
Kwahiyo CCM watamuunga mkono Mbowe kwa rushwa ili Lissu aanguke kama walivyopenyeza pesa KKKT Bagonza akaanguka akashinda malasusa.
Mbowe ni Tishio kwa CCM akiwa kama alivyo,CCM wanatamani atoke, Mbowe angegombea bila Lissu Kugombea, hapo pia mbowe angepingwa na CCM ili atoke.
Sasa Ngoma imebalance bUGALO MOTO, MBOGA MOTO
Ccm wapo everywhere hata kwa Team Mbowe kuna maccm wakina Martin Masese, kazi ya ccm kwenye huu uchaguzi ni kuvuruga umoja ili chadema wapasuke vipande vipande.
Kwanza walijua hawezi kushinda, pili walitaka kumpa tiba kisaikolojia kutokana na madhira aliyopata kwa kumuonyesha imani/trust ya chama kwake km njia ya kumrudisha kwenye hali yake ya kawaida..hata sasa Lissu hajapona sawa sawa kisaikolojia!
Mwanachama wa ccm anongea haya bila aibuMbowe must GO ,tunahitaji taasisi na sio kikundi cha kikabila
Hapo Heche na Lema ndio wapo makini, huwakuti wanakishambulia Chama wakati ni Viongozi.
Martin na Boniyai sijuo kwa nn huwa nahisi ni vipenyo waleKinachonishangaza ni hao machawa kina Martin na Boniyai aisee hadi aibu nilikua najua ni watu wa maana kumbe ni takataka tu
Ashukuriwe Dr. Mpoki Ulisubisya ambaye akifanya kazi kubwa kuokoa maisha ya Lisu, mpk jiwe akachukia na kumtumbua.Bila mwamba Mbowe saa hizi Lissu angekuwa shimo la Tewa !!