Pre GE2025 Lissu aendelea kupanga safu yake kwa ustadi mkubwa. Anaumaliza uchaguzi mapema sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama hii issue ni scripted basi aliyeandika story ametisha sana sana maana story imeanza na huwezi tabiri mbele itakuaje .Tutulie huku tunasubiri uzi wa "The dark ,,,".
 
View attachment 3175513

Lissu hapoi wala haboi, ameendelea kuipanga safu yake na jana usiku nyumbani kwake alikuwa na kikao kizito na wajumbe wa mkutano mkuu kutoka mikoa ya kanda ya ziwa ambao hawakutokea kwenye press yake kwa sababu ambazo zipo kapuni.

Awa ni wale wanaingia kama wapiga kura kwenye uchaguzi wa nafasi ya mwenyekiti wa chama.

Mpaka sasa hali ni mbaya kwa Mbowe ni kama uchaguzi ameshaumaliza Lissu.

Kama ambavyo chama kimekuwa kikidai haki ya kulinda kura kwenye chaguzi mbalimbali basi kambi ya Lissu nao wamejiapiza kulinda kura zao.
Hata Msigwa mlikuwa mnampba hivyo hivyo huku mkimponda Sugu ,kilichompata ndicho kitampata Lisu labda asigombee ,kikubwa asije kukimbia chama 😁😁
 
View attachment 3175513

Lissu hapoi wala haboi, ameendelea kuipanga safu yake na jana usiku nyumbani kwake alikuwa na kikao kizito na wajumbe wa mkutano mkuu kutoka mikoa ya kanda ya ziwa ambao hawakutokea kwenye press yake kwa sababu ambazo zipo kapuni.

Awa ni wale wanaingia kama wapiga kura kwenye uchaguzi wa nafasi ya mwenyekiti wa chama.

Mpaka sasa hali ni mbaya kwa Mbowe ni kama uchaguzi ameshaumaliza Lissu.

Kama ambavyo chama kimekuwa kikidai haki ya kulinda kura kwenye chaguzi mbalimbali basi kambi ya Lissu nao wamejiapiza kulinda kura zao.
Kumbe kweli Chadema hawana utaratibu bayana wa uchaguzi.Sasa kuwafungia wapiga kura nyumbani kwa mgombea siyo kiashiria kuwa kuna mambo yasiyofaa yanaweza kutendeka.
 
Siasa za Lissu ni confrotational haziwezi kudumu..na hivyo mtu anayeamini kwa mrengo huo asipopata wafuasi wanaofanana nae unakuwa ndio mwisho wa chochote anachofanya, kwa maana hiyo hawezi kuwa Mwenyekiti wa chama akafanikiwa sababu hao wafuasi wa kufanana nae sio tu CHADEMA hata kwa nchi nzima ni km hawapo, km wapo ni wachache sana..la pili kuwa Mwenyekiti wa chama cha siasa cha upinzani Tanzania si tu kujua kuongea na kuwa na elimu..inahitaji kujitoa sana kwa rasilimali zako mwenyewe pale inahitajika, mkionyesha hata chumba cha darasa moja tu alichojenga Lissu jimboni kwake wakati akiwa mbunge..niko tayari kufuta huu uzi..Lissu hana sifa ya kuchangia maendeleo kwa kutoa rasilimali toka mfukoni kwake, na kuwa Mwenyekiti wa chama upinzani ni kuwa MLEZI pia..hii sifa Lissu hana! Conclusion..pengine atafaa siku za usoni Mungu akimjalia afya! lkn si kwa sasa..!
kuna jambo jingine CHADEMA wanapaswa kufahamu na nadhani wanafahamu lkn wanachukulia poa..kuna kundi kubwa sana la vijana ndani ya chama ni mamluki..lengo lao ni kuleta fujo kuvuruga MAAMUZI..chama kijihadhari sana na maamuzi yanashinikizwa na vijana..lugha za jazba, ushabiki km wa ccm, matusi, kejeli na dharau na fujo zingine, mkiwafahamu watu hawa dawa ni kutojali sana wanachosema..bahati mbaya hawa ndio wanamsapoti Lissu agombee uenyekiti taifa, kwangu mimi bora kubaki 5 ndani ya chama kuliko kuwa na kundi la vijana 1,000 wa aina ya waliopo CHADEMA kwa sasa.
 
Kwa lugha nyingine unasema chama kilikosea kumsimamisha Lissu kuwa mgombea wa urais 2020?
 
Ccm wapo everywhere hata kwa Team Mbowe kuna maccm wakina Martin Masese, kazi ya ccm kwenye huu uchaguzi ni kuvuruga umoja ili chadema wapasuke vipande vipande.
Mkuu hivi unategemea CHADEMA itapasuka? Au kupasuka kwake kukoje? Waliondoka wabunge zaidi ya 20 chadema ila haikupasuka kipindi cha Magufuli.
Au wewe utaki watu wafanye uchaguzi ndani ya chama? Tulitegemea ccm waoneshe mfano wa kuwa na mchuano mkali ndani ya chama kwa nafasi kama wa mwenyekiti lakini ziiiiiiiii ila wengine wakifanya wao wanataka kuleta upotoshaji.
Hii inaonesha kwa namna gani ccm hawataki maendeleo ya kushindana kwa hoja.
 
Kwa lugha nyingine unasema chama kilikosea kumsimamisha Lissu kuwa mgombea wa urais 2020?
Kwanza walijua hawezi kushinda, pili walitaka kumpa tiba kisaikolojia kutokana na madhira aliyopata kwa kumuonyesha imani/trust ya chama kwake km njia ya kumrudisha kwenye hali yake ya kawaida..hata sasa Lissu hajapona sawa sawa kisaikolojia!
 
Upinzani wa Tanzania ni wa kipekee sana! Hapa ukiunganisha dot unaona kabisa kitakachoenda kutokea...Lissu, Msigwa, wote team moja etc. CCM itatawala miaka mingi sana ijayo. Hakuna wa kuikaribi CCM kwa sasa labda itokee huko baadaye sana waharibu wenyewe wajukuu zetu...
Amka mzee haya sio madesa ya kukariri, zama zinabadilika
 
Back
Top Bottom