Pre GE2025 Lissu aendelea kupanga safu yake kwa ustadi mkubwa. Anaumaliza uchaguzi mapema sana

Pre GE2025 Lissu aendelea kupanga safu yake kwa ustadi mkubwa. Anaumaliza uchaguzi mapema sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lissu ni Kiongozi Machachari sana,anafaa kuwa Mwenyekiti wetu wa CHADEMA. Namuombea Mungu ashinde nafasi hiyo ili tuwanyooshe hawa maCCM.🫡✌️

Kingine ninachompendea ni Mchukia Rushwa.
 
View attachment 3175513

Lissu hapoi wala haboi, ameendelea kuipanga safu yake na jana usiku nyumbani kwake alikuwa na kikao kizito na wajumbe wa mkutano mkuu kutoka mikoa ya kanda ya ziwa ambao hawakutokea kwenye press yake kwa sababu ambazo zipo kapuni.

Awa ni wale wanaingia kama wapiga kura kwenye uchaguzi wa nafasi ya mwenyekiti wa chama.

Mpaka sasa hali ni mbaya kwa Mbowe ni kama uchaguzi ameshaumaliza Lissu.

Kama ambavyo chama kimekuwa kikidai haki ya kulinda kura kwenye chaguzi mbalimbali basi kambi ya Lissu nao wamejiapiza kulinda kura zao.
Nasimama Na wakili msomi, Tundu Lissu SIMBA DUME
 
Ila inaonekana kuna CCM behind the scene kwenye hii movement ya lisu
CCM haiwezi kuwa upande wa Lissu, wanaogopa Lissu akiwa Mwenyekiti, falsafa ya CHADEMA kudeal na Serikali ccm itakuwa ya kiharakati wakati mbowe ni ile ya kidiplomasia zaidi.

Kwahiyo CCM watamuunga mkono Mbowe kwa rushwa ili Lissu aanguke kama walivyopenyeza pesa KKKT Bagonza akaanguka akashinda malasusa.

Mbowe ni Tishio kwa CCM akiwa kama alivyo,CCM wanatamani atoke, Mbowe angegombea bila Lissu Kugombea, hapo pia mbowe angepingwa na CCM ili atoke.

Sasa Ngoma imebalance UGALI MOTO, MBOGA MOTO.
 
Ila Mbowe bado hajasema km anagombea, kwa hiyo hatujaona mashindano bado nafikiri!
 
Taasisi inaweza kuamua vingibevyo kwa mustakabali wa chama, tumeyaona hayo yakifanyika CCM miaka nenda rudi - Kamati kuu na Baraza kuu ndiyo wenye jukumu hilo.

Tusubiri- kama inakuwa proved kwamba CDM itakuwa salama na itaimarika zaidi under Lissu - best wishes.
 
View attachment 3175513

Lissu hapoi wala haboi, ameendelea kuipanga safu yake na jana usiku nyumbani kwake alikuwa na kikao kizito na wajumbe wa mkutano mkuu kutoka mikoa ya kanda ya ziwa ambao hawakutokea kwenye press yake kwa sababu ambazo zipo kapuni.

Awa ni wale wanaingia kama wapiga kura kwenye uchaguzi wa nafasi ya mwenyekiti wa chama.

Mpaka sasa hali ni mbaya kwa Mbowe ni kama uchaguzi ameshaumaliza Lissu.

Kama ambavyo chama kimekuwa kikidai haki ya kulinda kura kwenye chaguzi mbalimbali basi kambi ya Lissu nao wamejiapiza kulinda kura zao.
Mbowe ameshakubali kumwachia Lisu kiti. Lisu anaziweza siasa ngumu
 
Upinzani wa Tanzania ni wa kipekee sana! Hapa ukiunganisha dot unaona kabisa kitakachoenda kutokea...Lissu, Msigwa, wote team moja etc. CCM itatawala miaka mingi sana ijayo. Hakuna wa kuikaribi CCM kwa sasa labda itokee huko baadaye sana waharibu wenyewe wajukuu zetu...

Acha unafiki. CCM inatawala kwasababu ya mfumo wetu ulivyo wa uchaguzi na vyombo vya Dola kuegemea CCM . Yani uchaguzi wa CHADEMA mnaongea maneno mengi mpaka mnamaliza
 
CCM haiwezi kuwa upande wa Lissu, wanaogopa Lissu akiwa Mwenyekiti, falsafa ya CHADEMA kudeal na Serikali ccm itakuwa ya kiharakati wakati mbowe ni ile ya kidiplomasia zaidi.

Kwahiyo CCM watamuunga mkono Mbowe kwa rushwa ili Lissu aanguke kama walivyopenyeza pesa KKKT Bagonza akaanguka akashinda malasusa.

Mbowe ni Tishio kwa CCM akiwa kama alivyo,CCM wanatamani atoke, Mbowe angegombea bila Lissu Kugombea, hapo pia mbowe angepingwa na CCM ili atoke.

Sasa Ngoma imebalance bUGALO MOTO, MBOGA MOTO

Bagonza akigombea lini Uaskofu Mkuu KKKT? Acha kudanganya.
 
Ccm wapo everywhere hata kwa Team Mbowe kuna maccm wakina Martin Masese, kazi ya ccm kwenye huu uchaguzi ni kuvuruga umoja ili chadema wapasuke vipande vipande.

Yani mnaitukuza CCM mpaka aibu. Mtu kutangaza kugombea nafasi Fulani, tayari CCM inahusika. Acheni unafiki. Mambo ya CHADEMA ni ya CHADEMA.
 
Kwanza walijua hawezi kushinda, pili walitaka kumpa tiba kisaikolojia kutokana na madhira aliyopata kwa kumuonyesha imani/trust ya chama kwake km njia ya kumrudisha kwenye hali yake ya kawaida..hata sasa Lissu hajapona sawa sawa kisaikolojia!

Punguza dharau na wivu. Lissu alichaguliwa kugombea Urais maana chama kilimwamini.
 
Bila mwamba Mbowe saa hizi Lissu angekuwa shimo la Tewa !!
Ashukuriwe Dr. Mpoki Ulisubisya ambaye akifanya kazi kubwa kuokoa maisha ya Lisu, mpk jiwe akachukia na kumtumbua.

Acha porojo zako wewe!
 
Back
Top Bottom