Uchaguzi 2020 Lissu aifuta CCM Mtwara, Ajenda ya korosho yawa kaa la moto kwa CCM mkoani humo

Hii hali ya leo nimekumbuka kipindi kile Mtwara tumetangaziwa kutakuwa na Tetemeko, yaani kwa kifupi tu leo Mji wote hakukuwa na movement ambazo tumezoea yaani mji na watu karibia wote walihamia viwanja vya Sabasaba.

Watu wa Magomen, Nkanaled, Sokosela, Mdenga, Kiyangu na hata watu wa Naliendele walikuwepo Sabasaba. Kibaya zaidi watu wengi walitembea kwa miguu kwenda mkutanoni.
 
Muanze kuedit kabisa picha za mafuriko ya Lowasa uchaguzi uliopita.kisha mzipost humu mseme za kusini kwenye kampeni za Lissu itawasaidia kificha aibu.

Zikieditiwa utajua tu na kuamini kama utapenda.
 
Subiri oktoba utapata jibu!
Lissu sio fala hawezi kuibiwa na kunyamaza, kitawaka tuu na sisi (especially Mimi Chakaza ) tutaunga mkono mapambano hayo ya kudai haki itendeke.
Sio mchezo, lazima mtu achakazwe akileta za kuleta.
 
Angalia Mapokezi ya Buzuruga Mwanza!!! Tena ya Drone siyo yenu ya kupiga migongo ya watu. Mtanyooka tu mwaka huu! Labda kama mnahamu na kipigo cha mbwa koko!!
View attachment 1560885
Hivi ile ya Buzuruga ni mapokezi au watu waliojitokeza barabarani kumuona Rais akipita? Mapokezi ni kama Yale ya Lissu Airport ambayo watu wanakupokea na kukusindikiza takribani Kilometa 7 kwa miguu

Buzuruga sio mapokezi maana watu wametoka majumbani kwao na kusogea barabarani kumtazama.
Ona hata hamasa na furaha hawana bali wanashangaa tuu
Haya na hii vipi?
Your browser is not able to display this video.
 
RC wa Mwanza amesitisha kufunguliwa kwa shule hapo kesho ili walimu na wanafunzi wahudhurie mkutano wa kampeni wa ccm , kwanini mnakusanya watu kwa njia haramu ?
Ha haha, habari nilizoletewa ni kuwa wanafunzi wameambiwa waende bila kuvaa uniform ili waonekane watu wa kawaida.
CCM hii ni laana kwenu kutumikisha watoto wetu kwenye upoloto wenu
 
Ha haha, habari nilizoletewa ni kuwa wanafunzi wameambiwa waende bila kuvaa uniform ili waonekane watu wa kawaida.
CCM hii ni laana kwenu kutumikisha watoto wetu kwenye upoloto wenu
MALALAMIKO FC teh teh teh!
 
Ha haha, habari nilizoletewa ni kuwa wanafunzi wameambiwa waende bila kuvaa uniform ili waonekane watu wa kawaida.
CCM hii ni laana kwenu kutumikisha watoto wetu kwenye upoloto wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…