Hii hali ya leo nimekumbuka kipindi kile Mtwara tumetangaziwa kutakuwa na Tetemeko, yaani kwa kifupi tu leo Mji wote hakukuwa na movement ambazo tumezoea yaani mji na watu karibia wote walihamia viwanja vya Sabasaba.Hii ndio taarifa inayozunguka kwa sasa kila mahali, kwamba leo yule Rais mtarajiwa wa awamu ya 6 ambaye ameteuliwa na Mungu mwenyewe baada ya kuzuia kifo chake atakuwa Mtwara katika kinachoitwa Uzinduzi wa Kampeni za uchaguzi 2020 kanda ya kusini.
Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba Shughuli nyingi za kijamii zimesimama na maduka mengi yamefungwa ili kuwezesha kila mtu kuhudhuria Mkutano huo Mkubwa kupita yote iliyowahi kufanyika Mtwara, baadhi ya Makanisa yameamua kufupisha ibada na mengine yamefuta ibada ya mchana ili kuwezesha waumini kuhudhuria tukio hilo adimu.
View attachment 1560206
=========
View attachment 1560931View attachment 1560932View attachment 1560933View attachment 1560934View attachment 1560895
Watu wa Magomen, Nkanaled, Sokosela, Mdenga, Kiyangu na hata watu wa Naliendele walikuwepo Sabasaba. Kibaya zaidi watu wengi walitembea kwa miguu kwenda mkutanoni.