Uchaguzi 2020 Lissu aifuta CCM Mtwara, Ajenda ya korosho yawa kaa la moto kwa CCM mkoani humo

Hapo patamu akajionee aibu yake kule.Nimetokea huko.Ajiandae aibu. Ya mwaka.Huko CUF na CCM ndio vijogoo. HUKO CHADEMA HAMNA CHENU
Huko Busega Magufuli amezomewa , amepanic na kuanza kuongea kisukuma , bado hatujaelewa kama alikuwa anawatukana au alikuwa anawabembeleza , tunaendelea kutafuta mkalimani
 
mtwara ipi?
 
Hapo patamu akajionee aibu yake kule.Nimetokea huko.Ajiandae aibu. Ya mwaka.Huko CUF na CCM ndio vijogoo. HUKO CHADEMA HAMNA CHENU
Hapo kwenye CUF (Lipumba) umepotea maboya rudi kasome tena ama kwa CCM pia kama haitatumia tena "majeshi na mamlaka" haina namna huko kusini zaidi ya kuaga majimbo...
 
Muanze kuedit kabisa picha za mafuriko ya Lowasa uchaguzi uliopita.kisha mzipost humu mseme za kusini kwenye kampeni za Lissu itawasaidia kificha aibu.

Low IQ comment. You don't know media. You only know toiletry propaganda.
 
Angalieni wapambe msije mkaingia kwenye makufuru! Ibada zifupishwe Kwa ajiri ya Nani eti?

Ilishindikana kwenye Corona sembuse vitu vya ajabu ajabu!!

Mungu ndiye aliyemuumba huyo na ndiye aliyemponya, kama anaakili timamamu hawezi kufurahishwa na upambe wa kijinga kiasi hiki na uandishi wa makufuru kama huu, Yeye mwenyewe anapaswa aingie Ibada na kuwasihi watumishi waendelee kumwomba Mungu
 
Mnawezaje kwenda kuunga foleni ile hali mshindi anajulikana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…