Uchaguzi 2020 Lissu aifuta CCM Mtwara, Ajenda ya korosho yawa kaa la moto kwa CCM mkoani humo

Uchaguzi 2020 Lissu aifuta CCM Mtwara, Ajenda ya korosho yawa kaa la moto kwa CCM mkoani humo

Hapo patamu akajionee aibu yake kule.Nimetokea huko.Ajiandae aibu. Ya mwaka.Huko CUF na CCM ndio vijogoo. HUKO CHADEMA HAMNA CHENU
Huko Busega Magufuli amezomewa , amepanic na kuanza kuongea kisukuma , bado hatujaelewa kama alikuwa anawatukana au alikuwa anawabembeleza , tunaendelea kutafuta mkalimani
 
Hii ndio taarifa inayozunguka kwa sasa kila mahali , kwamba leo yule Rais Mtarajiwa wa awamu ya 6 ambaye ameteuliwa na Mungu mwenyewe baada ya kuzuia kifo chake atakuwa Mtwara katika kinachoitwa Uzinduzi wa Kampeni za uchaguzi 2020 kanda ya kusini

Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba Shughuli nyingi za kijamii zimesimama na maduka mengi yamefungwa ili kuwezesha kila mtu kuhudhuria Mkutano huo Mkubwa kupita yote iliyowahi kufanyika Mtwara , baadhi ya Makanisa yameamua kufupisha ibada na mengine yamefuta ibada ya mchana ili kuwezesha waumini kuhudhuria tukio hilo adimu .

View attachment 1560206
mtwara ipi?
 
Hapo patamu akajionee aibu yake kule.Nimetokea huko.Ajiandae aibu. Ya mwaka.Huko CUF na CCM ndio vijogoo. HUKO CHADEMA HAMNA CHENU
Hapo kwenye CUF (Lipumba) umepotea maboya rudi kasome tena ama kwa CCM pia kama haitatumia tena "majeshi na mamlaka" haina namna huko kusini zaidi ya kuaga majimbo...
 
Muanze kuedit kabisa picha za mafuriko ya Lowasa uchaguzi uliopita.kisha mzipost humu mseme za kusini kwenye kampeni za Lissu itawasaidia kificha aibu.

Low IQ comment. You don't know media. You only know toiletry propaganda.
 
Angalieni wapambe msije mkaingia kwenye makufuru! Ibada zifupishwe Kwa ajiri ya Nani eti?

Ilishindikana kwenye Corona sembuse vitu vya ajabu ajabu!!

Mungu ndiye aliyemuumba huyo na ndiye aliyemponya, kama anaakili timamamu hawezi kufurahishwa na upambe wa kijinga kiasi hiki na uandishi wa makufuru kama huu, Yeye mwenyewe anapaswa aingie Ibada na kuwasihi watumishi waendelee kumwomba Mungu
 
Back
Top Bottom