Uchaguzi 2020 Lissu aifuta CCM Mtwara, Ajenda ya korosho yawa kaa la moto kwa CCM mkoani humo

Kila la kheri Mr President
 
Makamanda huwezi kuona wakileta picha kama jana kule Mbeya
 
Hamna popote Lissu ataenda akose watu, MATAGA wacheni kuota, Lissu akitamka tu neno "korosho" kila mtu huko Mtwara atatoka nje kuja kumsikiliza, CCM mnajua ubaya mliowafanyia wale jamaa zetu, mtajuta.
Lissu ana nyota. Wanahangaika tu kushindana naye
 
Seli Nyekundu Za Damu buanaaa😂😂😂

Kwa Hiyo Comrade Tundu Lissu KATEULIWA na MUNGU Mwenyewe kuwa Rais eee?!!!

Umenikumbusha Jinsi Viongozi Wa DINI Walipotuambia JAKAYA KIKWETE chaguo la MUNGU😁😁

👉HAKUNA Mtimilifu Anayebisha kuwa Comrade Tundu Lissu amelindwa na MUNGU MWENYEZI dhidi ya wale WATESI.
👉Hakuna Mtimilifu Anayebisha kuwa Comrade Tundu Lissu AMELINDWA na MUNGU MWENYEZI toka pale Dodoma Hospitali,mpaka kule UBELGIJI.

Lakini Kuhusu Hili la kutumwa na MUNGU kuwa RAIS,umeliOVERRATE kihisia na WISHFUL THINKING😂😂😂😂😂.
Hivi Ulimtolea na kumchangia DAMU mh.Comrade Tundu Lissu ee?!!

Hayaa Banaa Seli Nyekundu Za Damu Zibebazo HEWA SAFI miilini mwetu.
 
Nasikiti
ka kampeni zimekosa watu kabisa it was a shameful act
 
Picha za mtwara nimeziona, ni kama Dodoma ofcourse hawafikii nusu ya mbeya, lakini kwa matarajio siyo mbaya wanawatosha ni wengi.
 
Huku mtwara kwetu hatuchagui watu wanaosema tukishindwa tutaingia barabarani, tunataka viongozi wapenda aman na si kutumwa kuja kuvuruga amani
Vp wale waliowapiga korosho zenu? Au wew ulilipwa nyuma ya pazia?
 
Update??
 
ufupishe ibada kisa kampeni
Acheni utani nyie na hao viongozi watakuwa hawapo serious.
Kuna wale wanaomwombea bwana yule,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Vp wako serious au wewe uko na maoni gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…