Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
Wewe ni mbishi kama Kenge, mpaka utolewe damu masikioni ndio ukubali.
Ona majibu yako haya.
Mtaua watu kwa presha Ila hao wavuta Bangi sio wapiga kura alisikika jamaa mmoja kutoka lumumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni mbishi kama Kenge, mpaka utolewe damu masikioni ndio ukubali.
Ona majibu yako haya.
Kura za mezani je zipo? kama hazipo basi hakuna haja ya kulinda kuraKuna uwezekano mkubwa Lissu akamng'oa jiwe ofisini mwaka huu, kama naziona dalili.
Kila la kheri Mr PresidentHii ndio taarifa inayozunguka kwa sasa kila mahali, kwamba leo yule Rais mtarajiwa wa awamu ya 6 ambaye ameteuliwa na Mungu mwenyewe baada ya kuzuia kifo chake atakuwa Mtwara katika kinachoitwa Uzinduzi wa Kampeni za uchaguzi 2020 kanda ya kusini.
Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba Shughuli nyingi za kijamii zimesimama na maduka mengi yamefungwa ili kuwezesha kila mtu kuhudhuria Mkutano huo Mkubwa kupita yote iliyowahi kufanyika Mtwara, baadhi ya Makanisa yameamua kufupisha ibada na mengine yamefuta ibada ya mchana ili kuwezesha waumini kuhudhuria tukio hilo adimu.
View attachment 1560206
Lissu ana nyota. Wanahangaika tu kushindana nayeHamna popote Lissu ataenda akose watu, MATAGA wacheni kuota, Lissu akitamka tu neno "korosho" kila mtu huko Mtwara atatoka nje kuja kumsikiliza, CCM mnajua ubaya mliowafanyia wale jamaa zetu, mtajuta.
Uko obsessed na mikutano ya Chadema mpaka basi. Je, bado unaamini Chadema kimekufa au unajifusia hapo?Makamanda huwezi kuona wakileta picha kama jana kule Mbeya
Subiri oktoba utapata jibu!Uko obsessed na mikutano ya Chadema mpaka basi. Je, bado unaamini Chadema kimekufa au unajifusia hapo?
Hapo patamu akajionee aibu yake kule. Nimetokea huko. Ajiandae aibu ya mwaka. Huko CUF na CCM ndio vijogoo. HUKO CHADEMA HAMNA CHENU
ka kampeni zimekosa watu kabisa it was a shameful actHii ndio taarifa inayozunguka kwa sasa kila mahali, kwamba leo yule Rais mtarajiwa wa awamu ya 6 ambaye ameteuliwa na Mungu mwenyewe baada ya kuzuia kifo chake atakuwa Mtwara katika kinachoitwa Uzinduzi wa Kampeni za uchaguzi 2020 kanda ya kusini.
Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba Shughuli nyingi za kijamii zimesimama na maduka mengi yamefungwa ili kuwezesha kila mtu kuhudhuria Mkutano huo Mkubwa kupita yote iliyowahi kufanyika Mtwara, baadhi ya Makanisa yameamua kufupisha ibada na mengine yamefuta ibada ya mchana ili kuwezesha waumini kuhudhuria tukio hilo adimu.
View attachment 1560206
😂😂😂Kwa sasa tunapita kila kanda huko kwenye majimbo ndio utaona rangi yetu halisi
mzee weka akiba ya manenoKuna uwezekano mkubwa Lissu akamng'oa jiwe ofisini mwaka huu, kama naziona dalili.
Wewe wanakuachaga uwange wee, jioni aibu yako!UKAWA ndio uliwabeba 2015 leo mnaenda kuaibika mtwara
Wewe umeumia nini?Mnawezaje kwenda kuunga foleni ile hali mshindi anajulikana?
Vp wale waliowapiga korosho zenu? Au wew ulilipwa nyuma ya pazia?Huku mtwara kwetu hatuchagui watu wanaosema tukishindwa tutaingia barabarani, tunataka viongozi wapenda aman na si kutumwa kuja kuvuruga amani
Update??Hii ndio taarifa inayozunguka kwa sasa kila mahali, kwamba leo yule Rais mtarajiwa wa awamu ya 6 ambaye ameteuliwa na Mungu mwenyewe baada ya kuzuia kifo chake atakuwa Mtwara katika kinachoitwa Uzinduzi wa Kampeni za uchaguzi 2020 kanda ya kusini.
Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba Shughuli nyingi za kijamii zimesimama na maduka mengi yamefungwa ili kuwezesha kila mtu kuhudhuria Mkutano huo Mkubwa kupita yote iliyowahi kufanyika Mtwara, baadhi ya Makanisa yameamua kufupisha ibada na mengine yamefuta ibada ya mchana ili kuwezesha waumini kuhudhuria tukio hilo adimu.
View attachment 1560206
Kuna wale wanaomwombea bwana yule,ufupishe ibada kisa kampeni
Acheni utani nyie na hao viongozi watakuwa hawapo serious.