Uchaguzi 2020 Lissu aifuta CCM Mtwara, Ajenda ya korosho yawa kaa la moto kwa CCM mkoani humo

Uchaguzi 2020 Lissu aifuta CCM Mtwara, Ajenda ya korosho yawa kaa la moto kwa CCM mkoani humo

Hii hali ya leo nimekumbuka kipindi kile Mtwara tumetangaziwa kutakuwa na Tetemeko, yaani kwa kifupi tu leo Mji wote hakukuwa na movement ambazo tumezoea yaani mji na watu karibia wote walihamia viwanja vya Sabasaba.

Watu wa Magomen, Nkanaled, Sokosela, Mdenga, Kiyangu na hata watu wa Naliendele walikuwepo Sabasaba. Kibaya zaidi watu wengi walitembea kwa miguu kwenda mkutanoni.
Aise ina maana nilichoandika UTV siyo sahihi, maana nimeona ni level ya udiwani aloo
 
Hii ndio taarifa inayozunguka kwa sasa kila mahali, kwamba leo yule Rais mtarajiwa wa awamu ya 6 ambaye ameteuliwa na Mungu mwenyewe baada ya kuzuia kifo chake atakuwa Mtwara katika kinachoitwa Uzinduzi wa Kampeni za uchaguzi 2020 kanda ya kusini...
Too much exaggerated story, hivi Kuna mtanzania anakaa kabisa kumsiliza lisu? Kikubwa anachohubiri ni yale yale kuwa mwili wake umejaa alama za risasi basi hana anachoahidi kwa watz tusubiri sanduku la kura uone atakavyoangukia pua
 
Hapo patamu akajionee aibu yake kule. Nimetokea huko. Ajiandae aibu ya mwaka. Huko CUF na CCM ndio vijogoo. HUKO CHADEMA HAMNA CHENU
Kwani kwenda kusikiliza sera ndo kuwa mfuasi wa chama,hujui naweza kwenda mikutano yote na nikabaki na msimamo wangu.Maendeleo kwanza majaribio baadae
 
Ukijaza uwanja utaambiwa sio kigezo cha kupata kura nyingi

Watu wakiwa wachache haukubaliki na watu

Tushike lipi tuache lipi dadekii
 
Too much exaggerated story, hivi Kuna mtanzania anakaa kabisa kumsiliza lisu? Kikubwa anachohubiri ni yale yale kuwa mwili wake umejaa alama za risasi basi hana anachoahidi kwa watz tusubiri sanduku la kura uone atakavyoangukia pua
Bora kuangukia pua kuliko sehemu za siri
 
Too much exaggerated story, hivi Kuna mtanzania anakaa kabisa kumsiliza lisu? Kikubwa anachohubiri ni yale yale kuwa mwili wake umejaa alama za risasi basi hana anachoahidi kwa watz tusubiri sanduku la kura uone atakavyoangukia pua
Wanamsikiliza wasukuma mkuu usijali kwa hilo wtz hawamsikilizi😈😈😈😈
 
Too much exaggerated story, hivi Kuna mtanzania anakaa kabisa kumsiliza lisu? Kikubwa anachohubiri ni yale yale kuwa mwili wake umejaa alama za risasi basi hana anachoahidi kwa watz tusubiri sanduku la kura uone atakavyoangukia pua
Jifariji
 
Akiongea na wananchi wa Mtwara waliokusanyika maelfu kwa maelfu kumsikiliza, Lissu amekwenda huko na ujumbe dhidi ya unyanyasaji waliofanyiwa wananchi wa huko kwenye ishu ya gesi, korosho na Mauaji ya kutisha huko Mkuranga, Kilwa na Kibiti.

Lissu amemsiliba vilivyo Rais Magufuli kutokana na namna alivyolishughuikia siuala hilo kwa namna ambayo mkulima wa korosho alinyanyasika sana, huku kukiwa na uchukuaji wa korosho kinguvu hali iliyopelekea watu kuwa na maisha magumu ya umasikini hata kufikia hatua ya kukata tamaa kuendelea na kilimo.

Lissu amelinganisha hatua za serikali za CCM kupeleka jeshi kwa watu wa kusini kama kupelekewa vita na serikali yao wenyewe!

Pia Lissu akaelezea namna serikali ya CHADEMA itakavyokuwa tofauti kwenye kuendesha nchi, ambapo serikali yao italinda Uhuru, Haki na kuleta maendeleo.

Wakati huohuo ndugu Lissu akawaeleza wananchi wa Mtwara kuwa katika mikoa ya Kusini ya maeneo ya Mkuranga, Kilwa na Kibiti kulitokea mauaji ya kutisha, watu kupotea na wngine kuchukuliwa kutoka kwenye misikiti na kwenda kuteswa. akasema, aliyekuwa Mbunge wa Kilwa mheshimiwa Bwege alimueleza Lissu kuhusu unyama na ukatili wa kutisha waiofanyiwa watu wa maeneo hayo katika kipindi cha utawala huu wa awamu ya tano!. Lissu akasema, watu waliokotwa wamekufa katika mito na fukweni mwa bahari. Lissu akasema mambo hayo yanahitaji majibu na akasema kuwa serikali ya Chadema itatawala kwa haki

Kwa taarifa zaidi mtazame hapa Chini akiwa huko Mtwara

NEC wasanii sana, kuliko hata kina GIGY MONEY na BABA LEVO, sijui kama wamesha jisajili BASATA na wanatambulika kwenye bodi ya sanaa.

Maana uchaguzi huu hatukawii kufanyiwa usanii wa 4G, mara paap Lissu kapata kura 45%, CCM kura 51%, vyama vingine 1% (Ilimradi wananchi waoneshwe Lissu kapambana na Magufuli).
 
Akiongea na wananchi wa Mtwara waliokusanyika maelfu kwa maelfu kumsikiliza, Lissu amekwenda huko na ujumbe dhidi ya unyanyasaji waifanyiwa wananchi wa huko kwenye ishu ya gesi na korosho...
Leo kawagonga ccm kweli kweli huko Mtwara.

Zitto angeungana na Lissu kumuongezea nguvu kwa uwezo wa kujenga hoja wa Zitto hasa kwenye kunadi ilani tungepata landslide victory kwenye kanda ya kusini na victoria, nyasa, Serengeti, kaskazini na kati,

Kanda ya Magharibi tungegawana kura, kanda ya Mashariki tungemburuza.

Then tungesubiri matokeo tu.
 
Back
Top Bottom