Kwa ccm ndio waliomchagua Mashinji kuwa katibu mkuu wa chadema?Hayo ni maoni yako. Mashinji alikuwa pandikizi la CCM hiyo sote tunajua. Na Msigwa ana undugu wa ndoa na Magufuli. No surprise there. Tatizo ndani ya Chadema is manufactured by the likes of you.
Mimi nilimpenda sana Lissu pale alipopambana hadi dada yake akateuliwa na cdm kuwa mbunge wa viti maalumHuyo ndio Lissu mwana siasa asiyekuwa na unafiki
Umeshapanic πΌπ₯Haihusiani kabisa yaani! hivi wewe una ubongo huu huu wa binadamu au umewekewa wa nguruwe? una uwezo wa chini sana !
Acha uongo, huyu alilipiwa akiwa mtu CCM 2020Kumekucha πΌπ₯
Yawezekana Chadema tatizo ni Kubwa kuliko tunavyofikiri
Hasa nikikumbuka Polepole alivyomlipia faini Katibu mkuu wa Chadema by then Dr Mashinji
Na Shujaa akamlipia mchungaji Msigwa π
Acha uongo, huyu alilipiwa akiwa mtu CCM 2020Kumekucha πΌπ₯
Yawezekana Chadema tatizo ni Kubwa kuliko tunavyofikiri
Hasa nikikumbuka Polepole alivyomlipia faini Katibu mkuu wa Chadema by then Dr Mashinji
Na Shujaa akamlipia mchungaji Msigwa π
Angemjibu nani sasa?Lisu Mbona hakujibu chap chap tuhuma Hadi afuatwe na jamii forums? Mbona kachukua muda mrefu mmmmmmmmm mwenye masikio haambiwi sikia
Lissu hawezi kuwa mjinga kama nyie UWTKwa hiyo hasira zako ndio umekuja kulimalizia huku...
Ni kweli uliomba gari na chadema wenzako ushahidi wanao na soon watakuvua nguo soo it better to be cool
Rostam siyo mpole?Huyu Abdul alivyo mpole Hivyo anajihusisha na rushwa?duh!noma sana
Alafu anakuja kusema kwamba ccm ndio wanaleta undugu kumbe ata yeye ana undugu lizimuMimi nilimpenda sana Lissu pale alipopambana hadi dada yake akateuliwa na cdm kuwa mbunge wa viti maalum
Alilipiwa tayari akiwa CCMHayo ni maoni yako. Mashinji alikuwa pandikizi la CCM hiyo sote tunajua. Na Msigwa ana undugu wa ndoa na Magufuli. No surprise there. Tatizo ndani ya Chadema is manufactured by the likes of you.
kile chama cha majambazi nao waendelee kuuza nchi kwa vipande vipandeMfukuzeni Msigwa kama hakubaliki ndani ya hiki chama cha wachagga
mimi siyo msukule wala mfu. naamini kwenye mawazo huru. kumuunga mkono mbowe siyo kosa kwa mujibu wa sheria za Tanzania. labda itamkwe vinginevyo. hakuna mt aliyekichukia chadema kama magufuli. labda kutokana na uchache wa kura alizopata 2015. Dar alipata 54000 tu. lakini leo yupo wapi na chadema kiko wapi? ukweli ni kwamba alifia kwenye bustani pale mzena.... hahahahaVizuri sana Mangi oko,kumbe bado uko kwa wale misukule wanamwamini Mzee Mbowe?
puppet mpaka ahakikishe Chadema imekua kama nccr mageuzi ndio aondoke Chadema πTundu Lissu amejibu tuhuma zilitolewa dhidi yake kwamba anayoyasema kuhusu Rais Samia na mtoto wake Abdul kutoa pesa ili kuvuruga uchaguzi ndani ya CHADEMA.
Majibu hayo yamekuja baada ya member wa JamiiForums.com kuandika andiko likiwa na madai hayo
Pia soma: Inadaiwa hasira za Lissu zinatokana na kunyimwa gari na Rais Samia
Lissu amejibu baada ya kutafutwa na JamiiForums, ambapo amesema:
"Mimi sijawahi kuomba favour yoyote, narudia, yoyote, iwe ya gari au kitu kingine chochote kutoka kwa Rais Samia.
"Kitu pekee ambacho nimekidai kwake ni haki zangu za:
(a) Kupatiwa passport nyingine baada ya mwanzo kuibiwa;
(b) Kulipwa kiinua mgongo kwa muda niliofanya kazi ya Ubunge,
(c) Kulipwa stahiki za matibabu yangu baada ya shambulio la Sept 2017.
"Katika madai hayo, (a) na (b) yalitekelezwa kabla ya mimi kurudi nchini mapema mwaka jana, na nilisema hivyo hadharani. Madai ya fidia ya matibabu hayajalipwa hadi hivi sasa na nimesema hivyo hadharani mara nyingi.
"Tuhuma za rushwa hazina uhusiano wowote na kuvunjika kwa maridhiano. Mimi binafsi nimeanza kuzungumzia hadharani juu ya kukwama kwa maridhiano mapema kabisa ya mwaka jana.
"Nimezungumzia rushwa za Abduli na mama yake wiki mbili zilizopita. Wanaoamini kuna uhusiano wowote kati ya masuala haya hawajatumia vichwa vyao sawa sawa.
"Kuhusu ushahidi wa rushwa za Abduli na mama yake, ijapokuwa rushwa huwa haitolewi risiti, kuna ushahidi wa kutosha wa uwepo wa rushwa na mwenye macho haambiwi tazama!"
=====
Pia soma:
- Tundu Lissu atahadharisha uchaguzi ndani ya chama kuingiliwa na fedha za Rais Samia na mwanae Abdul
Kwa hiyo wewe hutakaa ufe?ndio maana mnaitwa Nyumbu aiseemimi siyo msukule wala mfu. naamini kwenye mawazo huru. kumuunga mkono mbowe siyo kosa kwa mujibu wa sheria za Tanzania. labda itamkwe vinginevyo. hakuna mt aliyekichukia chadema kama magufuli. labda kutokana na uchache wa kura alizopata 2015. Dar alipata 54000 tu. lakini leo yupo wapi na chadema kiko wapi? ukweli ni kwamba alifia kwenye bustani pale mzena.... hahahaha
Huna namna Mangi,chadema haitakaa itawale na mzee mbowe hatakaa awe raisi wa JMTkile chama cha majambazi nao waendelee kuuza nchi kwa vipande vipande
kufa nitakufa ila kufa kwa muovu na kufa kwa muovu ni heri kwa wapenda haki wote.Kwa hiyo wewe hutakaa ufe?ndio maana mnaitwa Nyumbu aisee
Muulizeni Mzee Mbowe aisee na yule dereva ambae Lisu kamfichakufa nitakufa ila kufa kwa muovu na kufa kwa muovu ni heri kwa wapenda haki wote.
nani alimpiga risasi tundu lisu na akwilina akwilina?
yupo wapi a;phonso mawazo?
yupo wapi ben sanane?
yupo wapi Anzory Gwanda>
unadhani hawa wote hawakustahili KUISHI?
Hizi mambo muulize Mbowe anajua vizuri, na moja ya kesi yake ilimfunga ni hizokufa nitakufa ila kufa kwa muovu na kufa kwa muovu ni heri kwa wapenda haki wote.
nani alimpiga risasi tundu lisu na akwilina akwilina?
yupo wapi a;phonso mawazo?
yupo wapi ben sanane?
yupo wapi Anzory Gwanda>
unadhani hawa wote hawakustahili KUISHI?
Wacha tuone upepo umeanza kutimua vumbi!Kumekucha πΌπ₯
Yawezekana Chadema tatizo ni Kubwa kuliko tunavyofikiri
Hasa nikikumbuka Polepole alivyomlipia faini Katibu mkuu wa Chadema by then Dr Mashinji
Na Shujaa akamlipia mchungaji Msigwa π