PendoLyimo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 969
- 1,055
Chama hiki ni cha ukabila na udini hivi kwani Ally Salim yuko wapi..?Mfukuzeni Msigwa kama hakubaliki ndani ya hiki chama cha wachagga
Tunamuona tu Kigaila na Mnyika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chama hiki ni cha ukabila na udini hivi kwani Ally Salim yuko wapi..?Mfukuzeni Msigwa kama hakubaliki ndani ya hiki chama cha wachagga
Na tutaona Mengi sanaWacha tuone upepo umeanza kutimua vumbi!
Mwalimu mkewe ni wale COVID 19Chama hiki ni cha ukabila na udini hivi kwani Ally Salim yuko wapi..?
Tunamuona tu Kigaila na Mnyika
Think twiceLisu Mbona hakujibu chap chap tuhuma Hadi afuatwe na jamii forums? Mbona kachukua muda mrefu mmmmmmmmm mwenye masikio haambiwi sikia
😀😀😀😂😂😂😂😂😂 unatoa tuhuma za kutuhuma chama chako na ushahidi huna hivi una akili kweli wewe hii ishu ya kunyimwa gari inakuumiza sana.
Kwa hiyo gari aliyoomba sio kutaka rushwa?Katika hili nimeanza kumuelewa Lissu amenyooka sana na katika hili atakuwa na maadui wengi ndani ya chama chake kuliko nje ya chama!
Mimi sio shabiki wa Lissu lakini kamwe awezi kuchukua rushwa!
hujui kitu wewe ni chawa pro.... mbowe ndo aliyempiga risasi akwilini? au Anzory Gwanda? hukumbuki maneno ya prof wa jalalani akiwa nje ya nchi hii nyakati zilw za chiziHizi mambo muulize Mbowe anajua vizuri, na moja ya kesi yake ilimfunga ni hizo
Kumbukumbu nzuri. Lakini, pamoja na hayo, kwa nini Mchungaji anachanganya akili? Sugu, anachanganya akili?Kumekucha 🐼🔥
Yawezekana Chadema tatizo ni Kubwa kuliko tunavyofikiri
Hasa nikikumbuka Polepole alivyomlipia faini Katibu mkuu wa Chadema by then Dr Mashinji
Na Shujaa akamlipia mchungaji Msigwa 😂
Sio Mtu wa kujipendekeza Lissu.Huyo ndio Lissu mwana siasa asiyekuwa na unafiki
Na ndio wanachokitafuta ili wabaki wachaga watupu. Chama kinakufa kwa kuendekeza ukanda na hi sumu imetapakaMfukuzeni Msigwa kama hakubaliki ndani ya hiki chama cha wachagga
This is nonsense. mtu kakuibia shati lako, unamdai akupe shati lako, kwa vile ni mbabe anakataa. Unafika wakati shetani wake anapata upako wa Mungu kidogo, anakupa shati lako. Unamshukuru kwa lipi? yeye ndiye akushukuru kwa wewe kukubali kumsamehe na kupokea shati lakoMnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni
Mlale Unono 😀😀
Huyu jamaa anaendekeza tamaa na sio kingine ikumbukwe alimsifia Sana mama samia kipindi kamrudisha nchini na kumpa fidia zote ni mshamba na sio mtu wa kumkaribishaTundu Lissu amejibu tuhuma zilitolewa dhidi yake kwamba anayoyasema kuhusu Rais Samia na mtoto wake Abdul kutoa pesa ili kuvuruga uchaguzi ndani ya CHADEMA.
Majibu hayo yamekuja baada ya member wa JamiiForums.com kuandika andiko likiwa na madai hayo
Pia soma: Inadaiwa hasira za Lissu zinatokana na kunyimwa gari na Rais Samia
Lissu amejibu baada ya kutafutwa na JamiiForums, ambapo amesema:
"Mimi sijawahi kuomba favour yoyote, narudia, yoyote, iwe ya gari au kitu kingine chochote kutoka kwa Rais Samia.
"Kitu pekee ambacho nimekidai kwake ni haki zangu za:
(a) Kupatiwa passport nyingine baada ya mwanzo kuibiwa;
(b) Kulipwa kiinua mgongo kwa muda niliofanya kazi ya Ubunge,
(c) Kulipwa stahiki za matibabu yangu baada ya shambulio la Sept 2017.
"Katika madai hayo, (a) na (b) yalitekelezwa kabla ya mimi kurudi nchini mapema mwaka jana, na nilisema hivyo hadharani. Madai ya fidia ya matibabu hayajalipwa hadi hivi sasa na nimesema hivyo hadharani mara nyingi.
"Tuhuma za rushwa hazina uhusiano wowote na kuvunjika kwa maridhiano. Mimi binafsi nimeanza kuzungumzia hadharani juu ya kukwama kwa maridhiano mapema kabisa ya mwaka jana.
"Nimezungumzia rushwa za Abduli na mama yake wiki mbili zilizopita. Wanaoamini kuna uhusiano wowote kati ya masuala haya hawajatumia vichwa vyao sawa sawa.
"Kuhusu ushahidi wa rushwa za Abduli na mama yake, ijapokuwa rushwa huwa haitolewi risiti, kuna ushahidi wa kutosha wa uwepo wa rushwa na mwenye macho haambiwi tazama!"
=====
Pia soma:
- Tundu Lissu atahadharisha uchaguzi ndani ya chama kuingiliwa na fedha za Rais Samia na mwanae Abdul