Pre GE2025 Lissu ajibu tuhuma za kunyimwa gari pamoja na fedha na Rais Samia, asema hajawahi kuomba 'favour' yoyote kutoka kwake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chadema ni chama kizuri sana ila CCM itawavuruga tu kisayansi wasipokuwa makini
 
Lisu Mbona hakujibu chap chap tuhuma Hadi afuatwe na jamii forums? Mbona kachukua muda mrefu mmmmmmmmm mwenye masikio haambiwi sikia
Ameona tuhuma zenyewe ni za kipumbavu ndiyo maana amezipotezea,kukaa kimya ni jibu mujarab kwa mtu mpuuzi kama aliyeleta huo uzushi.
 
Hayo ni maoni yako. Mashinji alikuwa pandikizi la CCM hiyo sote tunajua. Na Msigwa ana undugu wa ndoa na Magufuli. No surprise there. Tatizo ndani ya Chadema is manufactured by the likes of you.
Mashinji alilipiwa na CCM kwa vile alikuwa ameshaunga juhudi na alikuwa anavaa kijani wakati huo.
 
Hii nayo imebuma itabaki kuwa porojo tu na ramli chonganishi
 
Mam
Mama Abdul anataka wapi hela za kuhonga wapinzani
 
..post zinazomhusu huyu jamaa zimekuwa nyingi.

..sikujua kama Abduli ana vijana wengi kiasi hiki nyuma yake.
 
Mfukuzeni Msigwa kama hakubaliki ndani ya hiki chama cha wachagga
CHADEMA kiliitwa chama cha wachaga kabla hujazaliwa wewe siyo leo lakini tulishindwa ndiyo maana tukaamua kuiba uchaguzi 2019 na 2020.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…