Lissu ajifunze kwa Trump. Pamoja na tofauti za kisiasa na Biden, hajamnyooshea kidole

Waambie ukweli Hawa mapimbi hawaelewi kitu chochote kabisa! Shwaini!
 
Trump ndio anatakiwa ajifunze kwa Lissu, maana Lissu ana uzoefu kuliko Trump
 
Hahitaji kumnyooshea tena kidole kwani alisha mwambia sana,matokeo ya zile kesi mchongo ni matokeo ya utawala dhaifu wa Biden,kumfanya mhanda wa msako wa uchawi(witch hunt)
 
Eti Sativa, kuna watu hamna akili kabisa.
 
Tofautisha siasa ya Marekani na Tanzania na Africa kwa ujumla.
 
Aliingilia usalama gani? Vipi wale walioruhusu makinikia yauzwe hadi nchi kuingia hasara ya matrilioni mbona hawakupigwa risasi? Vipi mnaodai waliuza bandari hawakuhatarisha usalama kwa wananchi kutoa bandari kwa mgeni? Mbona hawapigwi risasi?
Kiongozi acha hoja za kitoto

Republic of Tanzania sio sawa na South Africa kupata uhuru baada ya Apartheid ilikuwa tuunde mahakama za kila mtu kuelezea Mąkosa yake na kusamehana.

Kiongozi free democractic nation ukichukua uongozi unakutana (going concerns) za warithi wako.

Bila ya kuelezea upuuzi wote aliorithi Magufuli na kujaribu kubadili (halafu anatokea) mtu katikati ya vita m wenzenu analeta hadithi za nchi itashitakiwa whatsoever with his persistent nonsense.

Hadi uelewe tatizo kwanza inabidi ujue Lissu hajui contract law kabisa (huo ndio uhalisia) anakuja na hadithi zake za MIGA and nonsense (upuuzi ambao wafuasi mpaka leo wanadhani ni hoja) anaonywa acha huo upuuzi hataki, yeye kajikita kupotosha na kuna wapumbavu mpaka leo wanaamini alikuwa ana hoja watu ambao hawana abc za contract laws.

Ni hivi Lissu alikuwa mchokozi kwa vyombo vya usalama wakati Magufuli anapambania kubadili, ufanisi wa mbinu zake ni swala lingine. Lakini nchi aikuhitaji mpotoshaji kipindi kile.

For that nitasema na nitarudia kusema japo siafiki shambulizi lake allikadhalika tabia zake zilikuwa azivumiliki.

Deductively Lissu wa sasa ni usalama wa hovyo tu ambao hawawezi muona he is compromised.

Ndio maana wengine tunaona bora tuyarukane MaCCM tułałe tuamke (zimwi uljjualo).
 
Usilinganishe maumivu ya watu. Mdogo wangu alipata shida ya jino, akaenda hospitali, akaomba ang'olewe jino bila ya kutiwa dawa ya ganzi. Huwezi kusema mtu akiumwa jino ajifunze kutoka kwa huyu mdogo wangu. Kila mtu anapokea maumivu yake 'differently' na pia Kila mtu ana njia zake za ku'cope' na situation alitopitia. This is what I can say.
 
Hivi serekali ya Biden ime handle vipi tukio lile?. ......
 


Yaani muuwe watu halafu msinyooshewe kidole? Shetani kweli hana akili
 
Sasa kama ni waru wake wa karibu waliomshambulia kwanini serikali ilikataa katakata ufanyike uchunguzi huru?
 
Haya mlilipwa bei gani kwa hayo makinikia mliyokua mkisema mmeibiwa?Haiingii akilini wezi kushughulika na wezi wengine never ever on earth!!! Tawala ndio mnaongoza nchi na rasilimali zipo chini yenu hivyo wizi wowote unaofanyika nyie ni sehemu ya huo uchafu absolutely kwakua ndik mna dhamana za kila kitu kuanzia ulinzi na utawala, haya kesi ngapi mmeshashitakiwa nakushindwa kwakutumia ubabe? Lissu alitakiwa asikilizwe na ushauri wake ufanyiwe kazi leo ukiulizwa manufaa ya zile professorial rubbish kwa Taifa unaweza kutueleza ni yapi na nchi imenufaika vipi? Acheni kuona watu wapuuzi people are now tired of your nonsense 😴
 
Naam, ulinganifu wa matukio hayo mleta mada atakuwa fair kama ahusisha reactions za serekali na taasisi zake baada ya matukio hayo.
 
Wewe pepo mchafu tulia .
Siasa za USA sio sawa na za Bongo.
Huku waliotaka kumuua Lissu hata watoto wadogo wanawajua. Ni mahufuli na aliyekwenda kufanya ule ushenzi ni Makonda na vijana wahuni wa serikali. Kila kitu kiko wazi. Bado unaleta uchoko wako mak lio wewe
 
Lissu haumbuki kwa lolote, siasa za america na tz wapi na wapi? Ni mbingu na ardhi achen kujifananisha na mataifa yaliyo juu wkt levels hizo hamjafika
Na hatutofikia kamwe, jitu linalingalisha America na nchi yake mkuu wa nchi ni kama Mungu, mpaka Leo aliyemshambulia Tundu Lissu hajulikani tena alishambuliwa kwenye makaazi ya viongozi na wakazima na kung'oa camera zote, So sad...unajibishana nalo jitu kama hilo unapoteza muda mkuu
 
Naam, ulinganifu wa matukio hayo mleta mada atakuwa fair kama ahusisha reactions za serekali na taasisi zake baada ya matukio hayo.
Hapo I meant "usilinganishe matukio ya watu" - nikiwa na maana kwamba kila mtu anapokea mambo aliyopitia au anayopitia kwa namna yake tofauti na mwingine.
 
Kinachonipa furaha zaidi ni kwamba yule tahira shoga aliyetoa kibali Lissu auwawe ameshanyofolewa roho na Mungu baada ya sisi kumlilia Mungu atoe hukumu ya haki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…