Lissu ajifunze kwa Trump. Pamoja na tofauti za kisiasa na Biden, hajamnyooshea kidole

Lisu kupona kwake wahafidhina mnaumia sana hadi leo hamuwezi shindana na Mungu na msiishie kulinganisha kwenye complete make na footage basi tuone alivyoshambuliwa na hizo blackons na vyombo vya ulinzi pia vieleze kinagaubaga kilijiri nini siku ya tukio kwenye eneo lenye ulinzi mkali makazi ya viongo kama FBI walivyofanya
Kweli Tanzania bado tunayo safari tena ndefu sana, kama great thinker ni type hii!!!
Issue ya Trump ukailinganishe na upuuzi wa serikali zetu kweli!! Lisu alipigwa risasi mahali penye ulinzi na wauwaji wakaondoka salama salimini kwa Trump muuaji alijibiwa palepale, Lile tukio la Lisu ni la aibu mnoo na ni moja ya matukio yaliyomshusha sana Magu, mtu umeshindwa kumuua eti unazuia hata haki zake za.msingi!! Mwisho wa ubaya ni aibu tu. Uhai ni mali ya Mungu mwenyewe, unafikiri Magu angejua ana siku chqche mbele yake,kuna mambo hasingefanya.
Leo mnaolia sana ni wanaccm zaidi kuliko wapinzani. Uliza kina Ndugai na Mpina watakuambia. Angelituachia angalau bunge imara Sasa kwake wakosoaji adhabu yao ni kifo. Marekani huwezi kulinganisha na huku Afrika hata kidogo. Kina Elon Musk wamejitokeza hadharani kulaani na kusema Wanasimama na Trump, huku tajiri gani asiyejipenda angesema anasimamq na Lisu!
 
Tundu Lisu ashadharaulika, watu walipiga kelele na kumlilia sana alipopigwa risasi, ila yeye SATIVA alipotekwa, hajasikika, wakati wote wameundergo the same experience. katelekeza kabisa victim wenzie, amesahau kuwa hata sativa inawezekana alilia kwasababu yake siku ile dom.
Sijui KILIO Gani unachotaka Lissu Alie zaidi ya kuipigañi Haqi??
Hata Lissu inawezekana Amelia Kwa Ajili ya Sativa!
 
Tundu Lissu aliposhambuliwa na blankons alitoka kifua mbele akailaani Sserikali akamlaani Hayati Magufuli bila kujua kuwa waliojifanya kuwa karibu naye ndio waliratibu hayo mashambulizi ya Blancons

lkn Trump kashambuliwa hajailaumu Serikali wala hajamlaumu Biden. Hili ni fundisho kwa Lissu na wanasiasa uchwara wengine.

Pia soma
Kwamba hatujui shambulio la Lisu ni maagizo ya magufuli ama? Ama unadhani hilo shambulio la Trump litafuta ukweli wa shambulio la Lisu?
 
Ushadi wa mazingira na mazingira tofauti ya jinsi matukio yenyewe yalivyotokea lkn pia jambo lile mzilikande aliamua kumrestisha Lissu,si unajua tena jamaa yenu alikua dikteta 😂😂😂
 
Kwamba hatujui shambulio la Lisu ni maagizo ya magufuli ama? Ama unadhani hilo shambulio la Trump litafuta ukweli wa shambulio la Lisu?
Wafuasi wa mzilikande wanatafuta kila fursa kujustify ubaradhuli alioutenda
 
We huna akili kabisa .. Unayafahamu maumivu ya risasi 38 wewe.
 
Mambo serious na etiquette za siasa za democratic nations sio ya kujadiliwa na wapuuzi na kila poyoyo.

Baki na hadithi za Makonda, Magufuli, Bi Tozo and local contents nonsense; kuliko kuandika shallow theories za ujinga humu ndani.

Hivi tumefikiaje hapa mtu mjinga kama wewe kwa mazingira yetu ya ulezi wa hovyo (JF being responsible) tunafikia hatua hapa.

Siasa ni discipline chukulia hii mifano ya elementary contents za A level education. What you need to cover in UK politics at A level

View attachment 3042610

US politics at foundation level wanataka ujue mambo yafuatayo

View attachment 3042611

Mind you siasa ni devolved aspect ya philosophy, ambayo ina misingi ya sheria, morality, ethics, historical contents to name a few. Hadi watu kutumia hizo dhana kutengeneza katiba.

Ndugu siasa ni social science, sio habari rahisi kama za Bashiru kuropoka sisi wa jamaa au kelele za sisi mabepari hiyo ni social economic politics (the lower layer of politics).

Na mkasirke uhalisia ni kwamba more than 95% ya wachangiaji wa jukwaa la siasa hata hizo siasa zenyewe hawazijui (that’s just politics), let alone kubishana maswala mengine ya uchumi.

Sanasana kuna popular figures humu zinazo andika ujinga many of whom can’t even writefollowing academic structure in presenting their arguments, which in most cases are weak arguments. Mnaishia kupeana likes 100 kwa ujinga mtupu.

Halafu watu wanaweza tumia akili kweli kuandika sense jinsi ambavyo mambo yanavyofanyika kwa rules za duniani ukaonekana wewe ndio hovyo.

Hata sijui watu kama nyinyi mnachomoka vipi, believe me kama nchi hampo kwenye umaskini kwa bahati mbaya isipokuwa uwezo wa jamii ndio ulipo. .

Ain’t no body cares, kuna wasaa lazima tuambizane ukweli.

Hakuna siasa hapa kuna ujinga tu (blame it on Hennesey), ukiwasikiliza wazungu kwenye siasa salalee ni level nyingine unatoka na elimu sio sisi ujinga mtupu.

Kwa hiyo hata wewe ni mjinga mtupu, au siyo?

I completely don't understand you.

Umelaumu wote, baadaye umelaumu kwa ujumla na ukawasifu wazungu na mwisho umejilaumu hadi wewe mwenyewe!

Kwani tatizo lako ni nini hasa?

I thought kwa kuwa wewe sio mjinga kama walivyo wengi humu, basi nilidhani kuwa kama wewe Mayor Quimby una jambo au kitu unachokielewa, basi ungeweza tu ku - share na wenzako hapa ili kuonesha werevu wako na pia kuipitia werevu wako ungewezesha hawa unaowaita wajinga nao kuerevuka

Lakini everything is opposite..

Maana umealaumu wengi na kuwaita wajinga lakini mwisho wa siku ukaishia kujilaumu na kujiita mjinga wewe mwenyewe!!
 
Tundu Lissu aliposhambuliwa na blankons alitoka kifua mbele akailaani Sserikali akamlaani Hayati Magufuli bila kujua kuwa waliojifanya kuwa karibu naye ndio waliratibu hayo mashambulizi ya Blancons

lkn Trump kashambuliwa hajailaumu Serikali wala hajamlaumu Biden. Hili ni fundisho kwa Lissu na wanasiasa uchwara wengine.

Pia soma

Yaani unachokifanya hapa ni kama kufananisha mayai ya Kuku na Mayai ya Nyoka..... Kwa vile yote ni mayai basi yako sawa.
 
Tundu Lissu aliposhambuliwa na blankons alitoka kifua mbele akailaani Sserikali akamlaani Hayati Magufuli bila kujua kuwa waliojifanya kuwa karibu naye ndio waliratibu hayo mashambulizi ya Blancons

lkn Trump kashambuliwa hajailaumu Serikali wala hajamlaumu Biden. Hili ni fundisho kwa Lissu na wanasiasa uchwara wengine.

Pia soma
Unataka kusema lisu hata kama alipigwa lisasi 32 na magufuli ange yamaza tu au mi dijakuelewa. Yaani kunyamazia uhuni ndo ukomavu wa siasa.
 
Tundu Lissu aliposhambuliwa na blankons alitoka kifua mbele akailaani Sserikali akamlaani Hayati Magufuli bila kujua kuwa waliojifanya kuwa karibu naye ndio waliratibu hayo mashambulizi ya Blancons

lkn Trump kashambuliwa hajailaumu Serikali wala hajamlaumu Biden. Hili ni fundisho kwa Lissu na wanasiasa uchwara wengine.

Pia soma
serikali ya ccm ina memgi ya kujifunza kutokana n tukio hilo
 
Nonse
Tundu Lissu aliposhambuliwa na blankons alitoka kifua mbele akailaani Sserikali akamlaani Hayati Magufuli bila kujua kuwa waliojifanya kuwa karibu naye ndio waliratibu hayo mashambulizi ya Blancons

lkn Trump kashambuliwa hajailaumu Serikali wala hajamlaumu Biden. Hili ni fundisho kwa Lissu na wanasiasa uchwara wengine.

Pia soma
Nonsense
 
Kama vyombo vyetu vya usalama vingewashughulikia wahusika kwa haraka kama USA, naamini TL wala asingesema chochote.
 
Tundu Lissu aliposhambuliwa na blankons alitoka kifua mbele akailaani Sserikali akamlaani Hayati Magufuli bila kujua kuwa waliojifanya kuwa karibu naye ndio waliratibu hayo mashambulizi ya Blancons

lkn Trump kashambuliwa hajailaumu Serikali wala hajamlaumu Biden. Hili ni fundisho kwa Lissu na wanasiasa uchwara wengine.

Pia soma
Usllinganishe marekani na tabia zenu za kibashite bashite
 
Tundu Lissu aliposhambuliwa na blankons alitoka kifua mbele akailaani Sserikali akamlaani Hayati Magufuli bila kujua kuwa waliojifanya kuwa karibu naye ndio waliratibu hayo mashambulizi ya Blancons

lkn Trump kashambuliwa hajailaumu Serikali wala hajamlaumu Biden. Hili ni fundisho kwa Lissu na wanasiasa uchwara wengine.

Pia soma
Tukiwez kujenga na fkr bila kujegea au kuw upande fulan tufika mbali sana , naona hisia zilikupeleka peleka.
 
Attachments

  • Screenshot_2024-07-15-12-37-11-123_com.facebook.lite.jpg
    Screenshot_2024-07-15-12-37-11-123_com.facebook.lite.jpg
    880.3 KB · Views: 1
Kiongozi acha hoja za kitoto

Republic of Tanzania sio sawa na South Africa kupata uhuru baada ya Apartheid ilikuwa tuunde mahakama za kila mtu kuelezea Mąkosa yake na kusamehana.

Kiongozi free democractic nation ukichukua uongozi unakutana (going concerns) za warithi wako.

Bila ya kuelezea upuuzi wote aliorithi Magufuli na kujaribu kubadili (halafu anatokea) mtu katikati ya vita m wenzenu analeta hadithi za nchi itashitakiwa whatsoever with his persistent nonsense.

Hadi uelewe tatizo kwanza inabidi ujue Lissu hajui contract law kabisa (huo ndio uhalisia) anakuja na hadithi zake za MIGA and nonsense (upuuzi ambao wafuasi mpaka leo wanadhani ni hoja) anaonywa acha huo upuuzi hataki, yeye kajikita kupotosha na kuna wapumbavu mpaka leo wanaamini alikuwa ana hoja watu ambao hawana abc za contract laws.

Ni hivi Lissu alikuwa mchokozi kwa vyombo vya usalama wakati Magufuli anapambania kubadili, ufanisi wa mbinu zake ni swala lingine. Lakini nchi aikuhitaji mpotoshaji kipindi kile.

For that nitasema na nitarudia kusema japo siafiki shambulizi lake allikadhalika tabia zake zilikuwa azivumiliki.

Deductively Lissu wa sasa ni usalama wa hovyo tu ambao hawawezi muona he is compromised.

Ndio maana wengine tunaona bora tuyarukane MaCCM tułałe tuamke (zimwi uljjualo).

Wewe ndiyo umeandika nosense kabisa.

Hivi mpaka sasa unajua nchi imelipa billions ngapi kwenye mikataba ya madini?
 
Tundu Lissu aliposhambuliwa na blankons alitoka kifua mbele akailaani Sserikali akamlaani Hayati Magufuli bila kujua kuwa waliojifanya kuwa karibu naye ndio waliratibu hayo mashambulizi ya Blancons

lkn Trump kashambuliwa hajailaumu Serikali wala hajamlaumu Biden. Hili ni fundisho kwa Lissu na wanasiasa uchwara wengine.

Pia soma
Un akili kama za Jiwe
 
kwani Lisu kazuia kuiba nini
wizi upo unaendelea
kinakuwasha nini sasa
 
Tundu Lissu aliposhambuliwa na blankons alitoka kifua mbele akailaani Sserikali akamlaani Hayati Magufuli bila kujua kuwa waliojifanya kuwa karibu naye ndio waliratibu hayo mashambulizi ya Blancons

lkn Trump kashambuliwa hajailaumu Serikali wala hajamlaumu Biden. Hili ni fundisho kwa Lissu na wanasiasa uchwara wengine.

Pia soma
Tukio la Lisu ni tofauti sana na la Trump na hata huduma baina ya Lisu na Trump ni tofauti kabisa.Aliyetaka kumwua Lisu ni Magufuri chini ya gaidi Mwigulu Nchemba na Job Ndugai lakini Trumph alishambuliwa na vibaka.
 
Back
Top Bottom