Kweli Tanzania bado tunayo safari tena ndefu sana, kama great thinker ni type hii!!!Lisu kupona kwake wahafidhina mnaumia sana hadi leo hamuwezi shindana na Mungu na msiishie kulinganisha kwenye complete make na footage basi tuone alivyoshambuliwa na hizo blackons na vyombo vya ulinzi pia vieleze kinagaubaga kilijiri nini siku ya tukio kwenye eneo lenye ulinzi mkali makazi ya viongo kama FBI walivyofanya
Issue ya Trump ukailinganishe na upuuzi wa serikali zetu kweli!! Lisu alipigwa risasi mahali penye ulinzi na wauwaji wakaondoka salama salimini kwa Trump muuaji alijibiwa palepale, Lile tukio la Lisu ni la aibu mnoo na ni moja ya matukio yaliyomshusha sana Magu, mtu umeshindwa kumuua eti unazuia hata haki zake za.msingi!! Mwisho wa ubaya ni aibu tu. Uhai ni mali ya Mungu mwenyewe, unafikiri Magu angejua ana siku chqche mbele yake,kuna mambo hasingefanya.
Leo mnaolia sana ni wanaccm zaidi kuliko wapinzani. Uliza kina Ndugai na Mpina watakuambia. Angelituachia angalau bunge imara Sasa kwake wakosoaji adhabu yao ni kifo. Marekani huwezi kulinganisha na huku Afrika hata kidogo. Kina Elon Musk wamejitokeza hadharani kulaani na kusema Wanasimama na Trump, huku tajiri gani asiyejipenda angesema anasimamq na Lisu!