Lissu ajifunze kwa Trump. Pamoja na tofauti za kisiasa na Biden, hajamnyooshea kidole

Tundu Lissu aliposhambuliwa na blankons alitoka kifua mbele akailaani Sserikali akamlaani Hayati Magufuli bila kujua kuwa waliojifanya kuwa karibu naye ndio waliratibu hayo mashambulizi ya Blancons

lkn Trump kashambuliwa hajailaumu Serikali wala hajamlaumu Biden. Hili ni fundisho kwa Lissu na wanasiasa uchwara wengine.

Pia soma
Unaona measures walizochukua. Suspect wamejulikana... But kwake Lissu ni tofauti mpaka leo polisi hawajawahi hata kuwa na suspect japo tukio lilitokea katika mojawapo ya sehemu zinapaswa kuwa salama pale Dodoma.
 
Tundu Lissu aliposhambuliwa na blankons alitoka kifua mbele akailaani Sserikali akamlaani Hayati Magufuli bila kujua kuwa waliojifanya kuwa karibu naye ndio waliratibu hayo mashambulizi ya Blancons

lkn Trump kashambuliwa hajailaumu Serikali wala hajamlaumu Biden. Hili ni fundisho kwa Lissu na wanasiasa uchwara wengine.

Pia soma
Jombaa umefeli sana kufananisha issue ya Lisu na Trump. Nasisitiza tena umefeli sana.
 
Tundu Lissu aliposhambuliwa na blankons alitoka kifua mbele akailaani Sserikali akamlaani Hayati Magufuli bila kujua kuwa waliojifanya kuwa karibu naye ndio waliratibu hayo mashambulizi ya Blancons

lkn Trump kashambuliwa hajailaumu Serikali wala hajamlaumu Biden. Hili ni fundisho kwa Lissu na wanasiasa uchwara wengine.

Pia soma

Kweli wewe ni EMPTY SET aka ZERO BRAIN ,mazingira ya Lissu kupigwa risasi na Trump ni tofauti kabisa.

1. Lissu alishambuliwa kwenye eneo la serikali ambalo lina ulinzi muda wote lakini siku hiyo kulikuwa hakuna ulinzi hapo tunaconclude ni organized.

2. CCTV camera ziliondolewa kwenye moja ya jengo la mh flani baada ya WZ kusema hadharani kwamba CCTV camera imerekodi (Kupoteza ushaidi)

3. Hakuna hata mtu mmoja aliyeshikiliwa au hata kuhisiwa kwenye hilo shambulio na hakuna hata kesi iliyofunguliwa.(Jamhuri haina nia ya kufuatilia).

4. Siku ya tukio DAB alikuwa Dodoma.(Organizer)

5. Siku ya Tukio "JIWE" alisema "Walitrepu" simu zake(simu za lissu) akawa anamwambia MANYIKA leta document hii na akasisitiza hauwezi kuwa msaliti ukasurvive jeshini wanajua dawa ya msaliti ni nini ,baada ya saa kadhaa akashambiliwa risasi zaidi ya 38 na 16 zikampiga mwilini.

Ni mapema kwa Trump kuanza kusema kwamba Biden anahusika mpaka vyombo vya uchunguzi vikamilishe upelelezi wake japo shahidi alisema kwamba aliwaambia Feds kwamba kuna jamaa yupo kwenye jengo ana riffle ila hawakutulia maanani.
 
Tundu Lissu aliposhambuliwa na blankons alitoka kifua mbele akailaani Sserikali akamlaani Hayati Magufuli bila kujua kuwa waliojifanya kuwa karibu naye ndio waliratibu hayo mashambulizi ya Blancons

lkn Trump kashambuliwa hajailaumu Serikali wala hajamlaumu Biden. Hili ni fundisho kwa Lissu na wanasiasa uchwara wengine.

Pia soma
Unataka kufananisha mazingira ya kisiasa ya Marekani na huku nchi ya ulimwengu wa 3 ambayo viongozi wake hawajitambui?are u serious?
 
Haya mlilipwa bei gani kwa hayo makinikia mliyokua mkisema mmeibiwa?Haiingii akilini wezi kushughulika na wezi wengine never ever on earth!!! Tawala ndio mnaongoza nchi na rasilimali zipo chini yenu hivyo wizi wowote unaofanyika nyie ni sehemu ya huo uchafu absolutely kwakua ndik mna dhamana za kila kitu kuanzia ulinzi na utawala, haya kesi ngapi mmeshashitakiwa nakushindwa kwakutumia ubabe? Lissu alitakiwa asikilizwe na ushauri wake ufanyiwe kazi leo ukiulizwa manufaa ya zile professorial rubbish kwa Taifa unaweza kutueleza ni yapi na nchi imenufaika vipi? Acheni kuona watu wapuuzi people are now tired of your nonsense 😴
Post kama hizi ndio madhara ya sumu za Lissu alizowalisha bilind supporters wake.

Hakuna mkataba wa serikali yeyote on FDI usio na kipengele cha dispute resolution (arbitration)..

Kwa hivyo serikali ikiamua kufanya fujo Ina dispute arguments zake either za uhaslllisia au sensationalised wao wenyewe wanajua position yao yai kuwaita wabia mezani na jinsi ya kumalizana nao.

Sasa wakati watu wanafanya fujo zao unaambiwa tuache utaki kuelewa, somo kutwa kuwapinga hasa kwenda kinyume na national propaganda zao.

Ni ngumu kuelewa makosa ya Lissu kwa tafsiri ta usalama kwa wabongo. Iła kwenda kinyume na mtazamo wa serikali nchi nyingi duniani. Kwa watu kama yeye bad things happen to them kwa tabia yake.
 
Hadi uelewe tatizo kwanza inabidi ujue Lissu hajui contract law kabisa (huo ndio uhalisia) anakuja na hadithi zake za MIGA and nonsense (upuuzi ambao wafuasi mpaka leo wanadhani ni hoja) anaonywa acha huo upuuzi hataki, yeye kajikita kupotosha na kuna wapumbavu mpaka leo wanaamini alikuwa ana hoja watu ambao hawana abc za contract laws.
Kama hana hoja mbona tulishtakiwa na tumelipa damages? Tena kesi 4 tumeangushwa, moja kwa kubadili sheria ya madini na kuitumia retrospectively. Ndio yale yale Lissu alionya unabadili sheria kwa hati ya dharura unakimbizana wapi?

Wewe mjuaji kwanini hukwenda kwenye Arbitration hizo ukasaidia mawakili vilaza walioaibisha taifa kwenye live camera?
 
Tundu Lissu aliposhambuliwa na blankons alitoka kifua mbele akailaani Sserikali akamlaani Hayati Magufuli bila kujua kuwa waliojifanya kuwa karibu naye ndio waliratibu hayo mashambulizi ya Blancons

lkn Trump kashambuliwa hajailaumu Serikali wala hajamlaumu Biden. Hili ni fundisho kwa Lissu na wanasiasa uchwara wengine.

Pia soma
Nadhani shida zaidi ni pale tunapoambiwa tukio lilivyokuwa linaacha maswali mengi.
1. Kuzima cctv camera: nani anaweza kufanya hivyo?
2. Kutolewa walinzi wa eneo/makazi yao: nani angefanya hivyo?
3. Polisi kutolaani kitendo kile na kuweka juhudi za kuwasaka waliotenda lile tukio.

Disclaimer: Sina ushahidi na yote nilioandika hapo juu. Zote ni habari za kusikia na kusoma.
 
Tundu Lissu aliposhambuliwa na blankons alitoka kifua mbele akailaani Sserikali akamlaani Hayati Magufuli bila kujua kuwa waliojifanya kuwa karibu naye ndio waliratibu hayo mashambulizi ya Blancons

lkn Trump kashambuliwa hajailaumu Serikali wala hajamlaumu Biden. Hili ni fundisho kwa Lissu na wanasiasa uchwara wengine.

Pia soma
Kiufupi hawafanani hata kidogo na katiba za nchi mbili hazifanani. Nchi moja ina katiba ila nyingine inaongozwa kwa mihemko na utashi wa viongozi wa juu
 
Tundu Lissu aliposhambuliwa na blankons alitoka kifua mbele akailaani Sserikali akamlaani Hayati Magufuli bila kujua kuwa waliojifanya kuwa karibu naye ndio waliratibu hayo mashambulizi ya Blancons

lkn Trump kashambuliwa hajailaumu Serikali wala hajamlaumu Biden. Hili ni fundisho kwa Lissu na wanasiasa uchwara wengine.

Pia soma
Shetani mkubwa wewe! Kwa hiyo unahalalisha ushetani wa Magufuli!
 
Mazingira ya tukio. Hata wewe unajua mazingira yalikuwaje na kauli zilizotolewa siku hiyo asubuhi kabla ya shambulio. Hata ungekuwa ww ungefanyiwa ungeongea acha uchawa kwenye uhai wa mtu, au kwakuwa halijakukuta ww
 
Tundu Lissu aliposhambuliwa na blankons alitoka kifua mbele akailaani Sserikali akamlaani Hayati Magufuli bila kujua kuwa waliojifanya kuwa karibu naye ndio waliratibu hayo mashambulizi ya Blancons

lkn Trump kashambuliwa hajailaumu Serikali wala hajamlaumu Biden. Hili ni fundisho kwa Lissu na wanasiasa uchwara wengine.

Pia soma
Kabla ya shambulio la mh Lissu pale area D, mh Lissu aliwahi kutoa taarifa kwa vyombo vya ulinzi na ysalama kwamba kuna watu wanafatilia. Na alitaja kabisa na namba za gari zilizokuwa zikimfutilia.
Akaenda mbali kabisa na kutoa taarifa kwa vyombo vya habari. Alicokuwa akihofia kikatokea kweli. Sasa hapo ni nani wa kumlaumu?
Serekali ambayo ilipaswa kumpa ulinzi ilishindwa kufanya hivyo. Na hata baada ya tukio hauna uchunguzi wowote uliofanyika.

U dont need to have PhD holder kujua kuwa hili tukio lilipangwa na serekali ikitumia watu waovu wa aina ya bashite.
 
Kama hana hoja mbona tulishtakiwa na tumelipa damages? Tena kesi 4 tumeangushwa, moja kwa kubadili sheria ya madini na kuitumia retrospectively. Ndio yale yale Lissu alionya unabadili sheria kwa hati ya dharura unakimbizana wapi?

Wewe mjuaji kwanini hukwenda kwenye Arbitration hizo ukasaidia mawakili vilaza walioaibisha taifa kwenye live camera?
Kazi ya ku mislead ni nyepesi sana.

Uwezi kusema baada ya change of government. Raisi mpya kubadili mwanasheria mkuu.

Hatujui kama watu waliotakiwa ku review mikataba ndio wale wale.

Ufanyaji kazi ndio ule ule (for god sake) 90% washiriki wa kesi ya Indiana udhani hata wanajua contract.

Given the circumstances ya breach of terms za kuvunja mkataba serikali ilizotumia na defence lawyers waliopeleka saleh.

Mara kadhaa kuna mambo mengi wengine uwa tunasema kwa akili hizo huku kijijini kwetu utoboi. Shida ni kwamba inakuwa ngumu watu kuelewa msingi wa hoja kama washaaminishana msemaji ni mropokaji.

Trust me a majority ya wanasheria wa Tanzania ufahamu wao wa contract law ni hafifu; na Lissu hajui maswala ya contract law

Mengine hasa yanayofuata uwa yanatabirika.
 
Tundu Lissu aliposhambuliwa na blankons alitoka kifua mbele akailaani Sserikali akamlaani Hayati Magufuli bila kujua kuwa waliojifanya kuwa karibu naye ndio waliratibu hayo mashambulizi ya Blancons

lkn Trump kashambuliwa hajailaumu Serikali wala hajamlaumu Biden. Hili ni fundisho kwa Lissu na wanasiasa uchwara wengine.

Pia soma
HIVI aliyezuia Tundu Lisu Asiombeee Ili Apone nani??🎤
Tundu Lissu aliposhambuliwa na blankons alitoka kifua mbele akailaani Sserikali akamlaani Hayati Magufuli bila kujua kuwa waliojifanya kuwa karibu naye ndio waliratibu hayo mashambulizi ya Blancons

lkn Trump kashambuliwa hajailaumu Serikali wala hajamlaumu Biden. Hili ni fundisho kwa Lissu na wanasiasa uchwara wengine.

Pia soma
Siamini kama umeweza kuandika haya uliyo andika!😇🙄
MUNGU ANAKUONA bro!
 
Lissu alikuw na nasababu kutokn na hoja hiz
1:-alishambuliw ktk eneo makaz ya yanayolindwa na serikali
2:- siku anashambuliw mlinz hakuwepo
3:- kamera ziling'olewa
4:- vyombo vya usalama vilikuw pasive na hakun kilichoendelea
5:- hakuwajjbika kama biden
6:- serikal haikumpa haki ya matibabu
7:- mengine malzia wew
 
Tundu Lissu aliposhambuliwa na blankons alitoka kifua mbele akailaani Sserikali akamlaani Hayati Magufuli bila kujua kuwa waliojifanya kuwa karibu naye ndio waliratibu hayo mashambulizi ya Blancons

lkn Trump kashambuliwa hajailaumu Serikali wala hajamlaumu Biden. Hili ni fundisho kwa Lissu na wanasiasa uchwara wengine.

Pia soma
Wewe utakuwa yule kiumbe aliyefurushwa toka kule juu kwa Mkuu,umechukua umbo la binadamu.
 
Tundu Lissu aliposhambuliwa na blankons alitoka kifua mbele akailaani Sserikali akamlaani Hayati Magufuli bila kujua kuwa waliojifanya kuwa karibu naye ndio waliratibu hayo mashambulizi ya Blancons

lkn Trump kashambuliwa hajailaumu Serikali wala hajamlaumu Biden. Hili ni fundisho kwa Lissu na wanasiasa uchwara wengine.

Pia soma
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana!
 
Back
Top Bottom