Lissu ajifunze kwa Trump. Pamoja na tofauti za kisiasa na Biden, hajamnyooshea kidole

Kweli Tanzania bado tunayo safari tena ndefu sana, kama great thinker ni type hii!!!
Issue ya Trump ukailinganishe na upuuzi wa serikali zetu kweli!! Lisu alipigwa risasi mahali penye ulinzi na wauwaji wakaondoka salama salimini kwa Trump muuaji alijibiwa palepale, Lile tukio la Lisu ni la aibu mnoo na ni moja ya matukio yaliyomshusha sana Magu, mtu umeshindwa kumuua eti unazuia hata haki zake za.msingi!! Mwisho wa ubaya ni aibu tu. Uhai ni mali ya Mungu mwenyewe, unafikiri Magu angejua ana siku chqche mbele yake,kuna mambo hasingefanya.
Leo mnaolia sana ni wanaccm zaidi kuliko wapinzani. Uliza kina Ndugai na Mpina watakuambia. Angelituachia angalau bunge imara Sasa kwake wakosoaji adhabu yao ni kifo. Marekani huwezi kulinganisha na huku Afrika hata kidogo. Kina Elon Musk wamejitokeza hadharani kulaani na kusema Wanasimama na Trump, huku tajiri gani asiyejipenda angesema anasimamq na Lisu!
 
Sijui KILIO Gani unachotaka Lissu Alie zaidi ya kuipigañi Haqi??
Hata Lissu inawezekana Amelia Kwa Ajili ya Sativa!
 
Kwamba hatujui shambulio la Lisu ni maagizo ya magufuli ama? Ama unadhani hilo shambulio la Trump litafuta ukweli wa shambulio la Lisu?
 
Ushadi wa mazingira na mazingira tofauti ya jinsi matukio yenyewe yalivyotokea lkn pia jambo lile mzilikande aliamua kumrestisha Lissu,si unajua tena jamaa yenu alikua dikteta 😂😂😂
 
Kwamba hatujui shambulio la Lisu ni maagizo ya magufuli ama? Ama unadhani hilo shambulio la Trump litafuta ukweli wa shambulio la Lisu?
Wafuasi wa mzilikande wanatafuta kila fursa kujustify ubaradhuli alioutenda
 
We huna akili kabisa .. Unayafahamu maumivu ya risasi 38 wewe.
 

Kwa hiyo hata wewe ni mjinga mtupu, au siyo?

I completely don't understand you.

Umelaumu wote, baadaye umelaumu kwa ujumla na ukawasifu wazungu na mwisho umejilaumu hadi wewe mwenyewe!

Kwani tatizo lako ni nini hasa?

I thought kwa kuwa wewe sio mjinga kama walivyo wengi humu, basi nilidhani kuwa kama wewe Mayor Quimby una jambo au kitu unachokielewa, basi ungeweza tu ku - share na wenzako hapa ili kuonesha werevu wako na pia kuipitia werevu wako ungewezesha hawa unaowaita wajinga nao kuerevuka

Lakini everything is opposite..

Maana umealaumu wengi na kuwaita wajinga lakini mwisho wa siku ukaishia kujilaumu na kujiita mjinga wewe mwenyewe!!
 

Yaani unachokifanya hapa ni kama kufananisha mayai ya Kuku na Mayai ya Nyoka..... Kwa vile yote ni mayai basi yako sawa.
 
Unataka kusema lisu hata kama alipigwa lisasi 32 na magufuli ange yamaza tu au mi dijakuelewa. Yaani kunyamazia uhuni ndo ukomavu wa siasa.
 
serikali ya ccm ina memgi ya kujifunza kutokana n tukio hilo
 
Nonse
Nonsense
 
Kama vyombo vyetu vya usalama vingewashughulikia wahusika kwa haraka kama USA, naamini TL wala asingesema chochote.
 
Usllinganishe marekani na tabia zenu za kibashite bashite
 
Tukiwez kujenga na fkr bila kujegea au kuw upande fulan tufika mbali sana , naona hisia zilikupeleka peleka.
 

Attachments

  • Screenshot_2024-07-15-12-37-11-123_com.facebook.lite.jpg
    880.3 KB · Views: 1

Wewe ndiyo umeandika nosense kabisa.

Hivi mpaka sasa unajua nchi imelipa billions ngapi kwenye mikataba ya madini?
 
Un akili kama za Jiwe
 
kwani Lisu kazuia kuiba nini
wizi upo unaendelea
kinakuwasha nini sasa
 
Tukio la Lisu ni tofauti sana na la Trump na hata huduma baina ya Lisu na Trump ni tofauti kabisa.Aliyetaka kumwua Lisu ni Magufuri chini ya gaidi Mwigulu Nchemba na Job Ndugai lakini Trumph alishambuliwa na vibaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…