Lissu ajifunze kwa Trump. Pamoja na tofauti za kisiasa na Biden, hajamnyooshea kidole


Wewe kwenye eneo hilo naona huna uelewa. Mimi binafsi naifahamu na nimeiona MDA kati ya Barrick na Serikali ya Tanzania. Hakukuwahi kuwepo MDA kati ya Serikali na Acacia.

Kwenye dispute resolution, hakukuwepo kipengere chochote cha kuzuia export ya concentrates. MDA, kadiri ya mkataba ilikuwa juu ya sheria za nchi. Kwenye MDA imetamkwa kuwa in case of conflict between MDA and law of the Land, MDA shall prevail.
Kwenye dispute, kulikuwa na hatua 3 tu: 1) amicable resolution between the main parties. 2) Kama ni masuala ya kodi, anatafutwa neutral party. Kama ni ukiukaji wa mkataba, upande uliathirika unapeleka kwenye international arbitration.

Alichokisema Lisu kilikuwa sahihi. Ndiyo maana timu ya majadiliano upande wa Tanzania, baada ya kulijua hilo, ikabidi wawe wapole na kuwa kwenye weak side wakati wa majadiliano ya kutengeneza Mkataba mpya. Mkataba wa sasa umetubana zaidi kuliko wa mwanzo. Hatuna mamlaka ya kuzuia export hata kukiwa na dispute, kukiwa na mgogoro, lazima solution ioatikane ndani ya siku 30. Ikishindikana ndani ya siku 30, mahakama ya biashara ya Singapore itatarifiwa, na yenyewe kuingilia kati. Uamuzi utakaotolewa na mahakama hiyo hautakatiwa rufaa mahali popote.
 
Rafiki umejibu vyema watu wengine huingiza story ili kupoteza ukweli.
 
Mpuuzi kati ya Lisu na Magufuri ni nani?
 
Wanasiasa wa bongo wanawaza tu kuhongwa kilichomponza tundu Lissu akalambwa Blancons na Mboye kwa ushirikiano na Accacia na yeye kwa sababu ni lopolopo akajiunga kufanya ulopo logo lijinga Sana lile jamaa lijifunze siasa za wazungu
Mpumbavu sana wewe na kama siyo mpumbavu basi ni mwehu.
 
Unaona eh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…