WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Hakika.Lissu haumbuki kwa lolote, siasa za america na tz wapi na wapi? Ni mbingu na ardhi achen kujifananisha na mataifa yaliyo juu wkt levels hizo hamjafika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika.Lissu haumbuki kwa lolote, siasa za america na tz wapi na wapi? Ni mbingu na ardhi achen kujifananisha na mataifa yaliyo juu wkt levels hizo hamjafika
Post kama hizi ndio madhara ya sumu za Lissu alizowalisha bilind supporters wake.
Hakuna mkataba wa serikali yeyote on FDI usio na kipengele cha dispute resolution (arbitration)..
Kwa hivyo serikali ikiamua kufanya fujo Ina dispute arguments zake either za uhaslllisia au sensationalised wao wenyewe wanajua position yao yai kuwaita wabia mezani na jinsi ya kumalizana nao.
Sasa wakati watu wanafanya fujo zao unaambiwa tuache utaki kuelewa, somo kutwa kuwapinga hasa kwenda kinyume na national propaganda zao.
Ni ngumu kuelewa makosa ya Lissu kwa tafsiri ta usalama kwa wabongo. Iła kwenda kinyume na mtazamo wa serikali nchi nyingi duniani. Kwa watu kama yeye bad things happen to them kwa tabia yake.
Hizo hela zimelipwa chini ya administration ipi?
Nipo kiongozi.Aaaaah....wewe mwamba upo aiseeeeee?...
Rafiki umejibu vyema watu wengine huingiza story ili kupoteza ukweli.Wewe ndio hujui kitu. Mambo basic tu yanakushinda. Mleta mada kaongelea kuhusu Trump kutokumnyooshea kidole Biden kwa kumpare na Lissu kumnyoshea kidole Magufuli. Ungejikita hapo, ila wewe unaleta stori sijui education system mara mambo ya contract law.
Wewe huwa unajifanya kujua mambo kumbe poyoyo tu, hakuna unachojua. Marekani wameshughulikia Jambo Hilo kwa haraka. Wamemuua muhusika mapema Sana na wameitoa taarifa zote zinazomuhusu mapema Sana.
Mpuuzi kati ya Lisu na Magufuri ni nani?Mimi tena poyoyo salaleh
Elewa kutofautisha when two contrary stories with vast motive differentiation but a familiar final decision are not the same.
Motives za dogo alieamua kumtungua Trump na Sababu za watu walioamua kumshambulia Lissu ni contrary.
Hakuna evidence ya motives za wote au hata tabia za binadamu kufanana kwenye kutupa lawama.
As far as uropokaji goes in line with demagogue politics (Magufuli and Trump are at opposite ends) what they said irritates different groups. Marekani ukiongea upuuzi unaweza wakera raia wenye silaha na Tanzania ni raia wasio na silaha na hawana tabia ya ku act.
Who would be responded to act most likely in US secret services/civilian; Tanzania ni security services.
Denial culture US wamejipanga kushinda Tanzania.
Mąkosa ya Lissu (being a national security) kwa marekani raia anaweza mshambulia kwa hasira, Iła kwa usalama wao wasingemuacha kwa ule upuuzi wake.
Believe me sijui sana siasa za US, hila kwa uingereza upuuzi aliokuwa anafanya Lissu kipindi cha Magufuli either serikali ilikuwa right or wrong wasingemshambulia kishamba vile. Ila bad things happen kwa watu wanaoingilia mambo ya serikali.
Mpumbavu sana wewe na kama siyo mpumbavu basi ni mwehu.Wanasiasa wa bongo wanawaza tu kuhongwa kilichomponza tundu Lissu akalambwa Blancons na Mboye kwa ushirikiano na Accacia na yeye kwa sababu ni lopolopo akajiunga kufanya ulopo logo lijinga Sana lile jamaa lijifunze siasa za wazungu
Unaona eh!*Serikali ya Biden imechubguza tukio n kumbaini mshambuliaji, serikali ya yule kichaa jiwe.......?
*Biden mwenyewe kalaani tukio na kamoigia simu Trump ya kumpa pole, jiwe......?
*Jiwe aliwakataza walitaka kumchangia damu na kumuombea Lisu, hata akamnyima stahiki zake kama mbunge. Biden.....?
Hivi umeandika upumbavu gani huu?
Nani kabadili wanasheria waliofanya hayo maamuzi ya kufuta mikataba na kuweka wake?Ya sasa. Maana ndio wakati ambao hukumu zimetoka.
😂 Kila wakijaribu kutafuta pa kujifichia wanakuta kichaka hakitoshi.Wafuasi wa mzilikande wanatafuta kila fursa kujustify ubaradhuli alioutenda
Yule jamaa alimiliki misukule😂 Kila wakijaribu kutafuta pa kujifichia wanakuta kichaka hakitoshi.