Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
Havipo, ukweli Lissu ana mvuto sn kwenye siasa sababu anafundisha na kuelimisha, Mbowe naye ni wa moto haswa akianza huwa watu wana jamba, jamaa huwa wanasoma kwaza gaps za govu ndiyo wanatoka kwenye mikutanoWananzengo, siasa za Upinzani nchini huwa zinaendeshwa na matukio zaidi. Lakini kwa sasa hali ni mbaya zaidi. Ni kama vile upinzani wote uko mikononi mwa Tundu Lissu.
Mh. Lissu amechukua likizo kidogo basi kila kitu kimepoa, operations za CDM kimyaa, na hata mikutano ya hadhara na ile ya ndani inayofanywa na wengine ni kama haina mvuto.
Vile vyama vingine ndio kama vimeshakufa kabisa, wao hata siasa za matukio zimewashinda.
Kwa hali hii ya siasa za upinzani kuwa mikononi mwa Lissu peke yake na upinzani wote kungojea huruma za SSH na miujiza hiyo 2025 watafika kweli? CCM inaweza kuishia kujizolea ushindi wa kishindo kabisa.
Lissu arejee na kuendelea na 255. Ilianza kuwatoa nyoka pangoni.Havipo, ukweli Lissu ana mvuto sn kwenye siasa sababu anafundisha na kuelimisha, Mbowe naye ni wa moto haswa akianza huwa watu wana jamba, jamaa huwa wanasoma kwaza gaps za govu ndiyo wanatoka kwenye mikutano
Hapana jamaa anafanya timing nzuri sn, pana poa kama mwezi hivi then anawasha motoLissu arejee na kuendelea na 255. Ilianza kuwatoa nyoka pangoni.
Lisu mwenyewe amejiroga mwenyewe kwa kumsemea vibaya kipenzi cha watanzania walio wengi na kikwazo cha mafisadi si mwingine bali JPM-Magufuli!!Wananzengo, siasa za Upinzani nchini huwa zinaendeshwa na matukio zaidi. Lakini kwa sasa hali ni mbaya zaidi. Ni kama vile upinzani wote uko mikononi mwa Tundu Lissu.
Mh. Lissu amechukua likizo kidogo basi kila kitu kimepoa, operations za CDM kimyaa, na hata mikutano ya hadhara na ile ya ndani inayofanywa na wengine ni kama haina mvuto.
Vile vyama vingine ndio kama vimeshakufa kabisa, wao hata siasa za matukio zimewashinda.
Kwa hali hii ya siasa za upinzani kuwa mikononi mwa Lissu peke yake na upinzani wote kungojea huruma za SSH na miujiza hiyo 2025 watafika kweli? CCM inaweza kuishia kujizolea ushindi wa kishindo kabisa.
Kachukue buku 7 lumumbaWananzengo, siasa za Upinzani nchini huwa zinaendeshwa na matukio zaidi. Lakini kwa sasa hali ni mbaya zaidi. Ni kama vile upinzani wote uko mikononi mwa Tundu Lissu.
Mh. Lissu amechukua likizo kidogo basi kila kitu kimepoa, operations za CDM kimyaa, na hata mikutano ya hadhara na ile ya ndani inayofanywa na wengine ni kama haina mvuto.
Vile vyama vingine ndio kama vimeshakufa kabisa, wao hata siasa za matukio zimewashinda.
Kwa hali hii ya siasa za upinzani kuwa mikononi mwa Lissu peke yake na upinzani wote kungojea huruma za SSH na miujiza hiyo 2025 watafika kweli? CCM inaweza kuishia kujizolea ushindi wa kishindo kabisa.
pumbavuUpinzani ni matusi, so mropokaji akiondoka tu, hakuna wa kuropoka tena
Labda kipenzi cha ukoo wenu wa panyaLisu mwenyewe amejiroga mwenyewe kwa kumsemea vibaya kipenzi cha watanzania walio wengi na kikwazo cha mafisadi si mwingine bali JPM-Magufuli!!
Mimi ni mlipaji wa hizo buku 7 😂Kachukue buku 7 lumumba
Pale alikosea step, nadhani washauri wake watakuwa walimshauri. Wafuasi wa JPM ni kura za kutosha kubadilisha upepo wa siasa nchini.Lisu mwenyewe amejiroga mwenyewe kwa kumsemea vibaya kipenzi cha watanzania walio wengi na kikwazo cha mafisadi si mwingine bali JPM-Magufuli!!
Jaribu kuropoka na wewe kama utatrend kama lissu.Upinzani ni matusi, so mropokaji akiondoka tu, hakuna wa kuropoka tena
Tuna taratibu zetu kama ni kazi hizi maalum ni wote tunaingia kazini na kama ni likizo wote tunaenda kupumzikaWananzengo, siasa za Upinzani nchini huwa zinaendeshwa na matukio zaidi. Lakini kwa sasa hali ni mbaya zaidi. Ni kama vile upinzani wote uko mikononi mwa Tundu Lissu.
Mh. Lissu amechukua likizo kidogo basi kila kitu kimepoa, operations za CDM kimyaa, na hata mikutano ya hadhara na ile ya ndani inayofanywa na wengine ni kama haina mvuto.
Vile vyama vingine ndio kama vimeshakufa kabisa, wao hata siasa za matukio zimewashinda.
Kwa hali hii ya siasa za upinzani kuwa mikononi mwa Lissu peke yake na upinzani wote kungojea huruma za SSH na miujiza hiyo 2025 watafika kweli? CCM inaweza kuishia kujizolea ushindi wa kishindo kabisa.
Umetumwa na tundulissu? Nani kakwambia pamepoa au una maana matusi yamepungua? Kaenda likizo? Alikuaga? Ana kazi gani hadi "apewe" likizo? Nchi hutulia tindulissu a apokauka mdomo wa matusi ni kejeli.Wananzengo, siasa za upinzani nchini huwa zinaendeshwa na matukio zaidi, lakini kwa sasa hali ni mbaya zaidi. Ni kama vile upinzani wote uko mikononi mwa Tundu Lissu.
Mh. Lissu amechukua likizo kidogo basi kila kitu kimepoa, operations za CDM kimyaa, na hata mikutano ya hadhara na ile ya ndani inayofanywa na wengine ni kama haina mvuto.
Vile vyama vingine ndio kama vimeshakufa kabisa, wao hata siasa za matukio zimewashinda.
Kwa hali hii ya siasa za upinzani kuwa mikononi mwa Lissu peke yake na upinzani wote kungojea huruma za Samia na miujiza hiyo 2025 watafika kweli? CCM inaweza kuishia kujizolea ushindi wa kishindo kabisa.
Kuwa mkweli, Tundu akiwepo vyama vya upinzani huwa vinakuwa kimya namna hii??Umetumwa na tundulissu? Nani kakwambia pamepoa au una maana matusi yamepungua? Kaenda likizo? Alikuaga? Ana kazi gani hadi "apewe" likizo? Nchi hutulia tindulissu a apokauka mdomo wa matusi ni kejeli.
Hapo kwa Mbowe unajidanganya jamaa ana force fani.Havipo, ukweli Lissu ana mvuto sn kwenye siasa sababu anafundisha na kuelimisha, Mbowe naye ni wa moto haswa akianza huwa watu wana jamba, jamaa huwa wanasoma kwaza gaps za govu ndiyo wanatoka kwenye mikutano
Walijipa 2020 nini kimebadilika!?,tatizo la Tanzania ni watz wenyewe,tena tunakoelekea hao wapinzani wangefanya mambo yao binafsi kuliko kuwaamsha watz,mambo yatabadilika tukikitambua,"usiku utakapokwisha".Wananzengo, siasa za upinzani nchini huwa zinaendeshwa na matukio zaidi, lakini kwa sasa hali ni mbaya zaidi. Ni kama vile upinzani wote uko mikononi mwa Tundu Lissu.
Mh. Lissu amechukua likizo kidogo basi kila kitu kimepoa, operations za CDM kimyaa, na hata mikutano ya hadhara na ile ya ndani inayofanywa na wengine ni kama haina mvuto.
Vile vyama vingine ndio kama vimeshakufa kabisa, wao hata siasa za matukio zimewashinda.
Kwa hali hii ya siasa za upinzani kuwa mikononi mwa Lissu peke yake na upinzani wote kungojea huruma za Samia na miujiza hiyo 2025 watafika kweli? CCM inaweza kuishia kujizolea ushindi wa kishindo kabisa.
Basi sawaHapo kwa Mbowe unajidanganya jamaa ana force fani.