Uchaguzi 2020 Lissu akishinda urais, nchi italipuka kwa shangwe isiyo ya kawaida

Mpaka 2025 ni Mkazi na mwenyeji wa chato. Mwaka huu hapo October watanzania tunamstaafisha rasmi
Wapinzani wa Tanzania ni sawa ni na viungo wachezeshaji ila wafungaji wanajulikana ni ccm na Magufuli wao
 
Tutakuaminije Sasa mkuu hao wanaohudhuria mikutano umejuaje kama hua hawapigi kura na wasio hudhuria umejuaje kama ndo wanaopiga haya mimi sihudhurii fiesta za sisem na kura sipigi

Yani unaongea utumbo mtupu
 
Sijapanda daraja mwaka wa 7 bora lisu ashinde wenda mambo yakanoga
 
Tutakuaminije Sasa mkuu hao wanaohudhuria mikutano umejuaje kama hua hawapigi kura na wasio hudhuria umejuaje kama ndo wanaopiga haya mimi sihudhurii fiesta za sisem na kura sipigi

Yani unaongea utumbo mtupu
Tatizo la wapinzani wa Tanzania ni mihemko
 
Jiwe kashafanya mikakati Jana na leo, ndio maana akasogeza mbele Kampeni za Iringa.

Kikao cha Jiwe na MaDed kimefanyika Dodoma Jana na Leo.

Wataiba kura na kuvuruga uchaguzi
Siku ya kufa nyani miti yote huteleza, wahenga (1947).
 
Unawajua watu wa kanda ya ziwa wewe muulize agustine Mrema mwaka 1995 natumaini hata shule ulikuwa bado hujaanza atakwambia kanda ya ziwa pakoje
Lete hizo Picha za mrema akiwa kanda ya ziwa!! Mnajaribu kutunga uongo kupunguza impact ya kimbunga cha Lissu ila wapiiiii!!! Mtumishi wa Mungu Mwingira keshaawaambia mnashindana na mshindiiiii
 
Waovu wakitawala nchi huugua.. Lkn wenye haki wakitawala nchi huinuka.....

Magufuli akitangazwa itakua msiba mkubwa sn kwa taifa kuliko hata kifo cha baba wa taifa
Jidanganye Magufuli mpaka 2025
 
Siku ya kufa nyani miti yote huteleza, wahenga (1947).
Mwambie asome Biblia yake vizuri. Hata Mfalme Sauli hakuacha kupambana na Mfalme Daudi pamoja na kujua Mungu kamteua Daudi kuwa Mfalme. Magufuli ata pambana sana na Lissu Ila hatomweza kamweeee!!
 
Unakariri tuu, mbona mikutano ya Mbatia au Lipumba hawajai? Je umefanya utafiti wowote kubaini kwamba wahudhuriaji wa mikutano si wapiga kura? Membe aliwahi sikika akimpa pole Maalim kule visiwani kwamba karibia miaka yote amekuwa alipigwa bao....
 
Kama ni Idadi ya Watu Mzee Hakauna MTU Anaengoza Kwa Kujaza watu Kama Magufuli kwenye Hizi Kampeni Hayupo. Je kama ni idadi Tu ndio mnaangalia Ndugu zetu Basis Mkubali Magufuli Atashinda kwa Asilimia zaidi ya 90%
 
Kwani saizi hao mabeberu hawajipimii, rejea viongozi wetu wastaafu wote wanamiliki rasilimali kwa uporaji au beberu sharti awe mzungu
 
Kwani saizi hao mabeberu hawajipimii, rejea viongozi wetu wastaafu wote wanamiliki rasilimali kwa uporaji au beberu sharti awe mzungu
TUKO NA JPM SASA WEWE UNALETA HABARI ZA ZAMANII. SISI TUNAJEMADARI KIBOKO YA MABEBERU AMBAO NYIE MUMEINGIA MIKATABA YA KIHUNI, ETI WAWASAIDIE KUSHINDA URAISI ETI NANYIE MUWAPE WAJIPIMIE RASILIMALI ZOTE ZA INCHI. Watanzania sio mazwazwaa, walishawashitukia mapemaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…