Uchaguzi 2020 Lissu akishinda urais, nchi italipuka kwa shangwe isiyo ya kawaida

Kama isingekuwa hivyo wala msingehangaika kusomba watu kwa malori!
 
Wa kwanza kwa risasi 32,Mungu kamponya ili kukuumbueni mliroga usiku Leo mchana kila mtu amewajua wachawi
Kibaraka anasema kumi na sita wewe mke wake unadouble 32 dah mnatia aibu ,hakuna kura za hura wapuuzi nyie.
 
Thus Mungu alimuokoa
 
Tuvumilie mkuu, kipindi cha JK tulilalamika sana juu ya maovu, ila sasa tunaenda kila mtanzania kuwa na uahueni wa maisha, so miundombinu ikiwa safi kila jambo litakaa sawa.
 
Unazani Kura zitapigwa na wakenya ?
 
Hawa jamaa wamemwagwa kwenye mitandao ya kijamii, kazi yao ni propaganda. Kuaminisha Lissu anakubalika kila pembe ya nchi hii. Fuatilia thread zinazoanzishwa humu asilimia kubwa zinaongelea mapokezi ya Lissu.
Mkuu nani kawamwaga ? Unadhani member wote ni kama wewe(Buku7 fc)?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Waovu wakitawala nchi huugua.. Lkn wenye haki wakitawala nchi huinuka.....

Magufuli akitangazwa itakua msiba mkubwa sn kwa taifa kuliko hata kifo cha baba wa taifa
Wakifa wahuni haina shidaa hata wafe mia ili kulinda amani ya watu milion 60
 
Mimi nitafanye sherehe ya kuchinja kuku watu wakunjue mioyoo maana sasa hakuna mwenye furaha wenye vyeo hadi watoto wadogo😠
 
Wanaccm ni wamejiajiri/kuajiriwa sio wanaojiita wapinzani/pingapinga wanakesha kucheza pool table na kulalamika vyuma vimebana
Mdugu jiandae kutafuta kazi nyingine, hii unayofanya humu inaenda kukoma, mark my words, sikukumbushi tena

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nitafurahi zaidi wakina polepole wakikamatwa na kutiwa ndani
 
CCM watavuna walichopanda.

Tutawaadhibu kupitia Sanduku la Kura.

Tunaiomba NEC isichezee Sanduku la Kura.

Sanduku la Kura ni vizuri likaheshimiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…