Lissu alimshinda Mbowe kwa asilimia ndogo sana

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
21,490
Reaction score
38,302
Heshima sana wanajamvi.

Lissu alinshinda Mbowe kwa asilimia ndogo sana.

Lissu na team yake baada ya kukabidhiwa chama hawakutambua kundi la Mbowe bado lilikuwa na ushawishi mkubwa sana.

Matendo ya Lissu na kundi lake la wajinga hawakuona sababu za kuunganisha makundi ya walioshinda na walioshindwa.

Teuzi za Lissu Wajumbe wa Kamati kuu ni uthibitisho wa mwingine wa namna Lissu alivyoshindwa kupiga na kuchagiza karata zake vizuri.

Huwezi kuteua Wajumbe wa kamati wa upande wako tu.Ulitakiwa kuchanganya na wajumbe wa team iliyoshindwa ili kuleta mshikamano zaidi.

Ngongo kwasasa Arusha kwa Mromboo 🐐
 
1000005529.jpg
 
Timu iliyoshindwa mmefufuka tena. CHAUMMA imewashinda mpaka ndugu yenu CCM anatumia mahakama kuwasaidia. Mlidhani CHADEMA itanyong'onyea kumbe ndiyo inazidi kupendwa. Nyambafu!
 
Ni ngumu kumridhisha kila mtu. Huu mtifuano tunaouona sasa hivi, sidhani Kama unatokana na hizo sababu ulizozianisha peke yake.

Baada ya uchaguzi, kambi zote zilikutanishwa Bagamoyo ili kufanya reconciliation. Ila pamoja na hayo yote, bado hawakuridhika. Nadhani huu mpasuko hautokani na Lissu kushindwa, bali unatokana na Mbowe kushindwa. Ni Kama vile palikuwa na plan fulani endapo Mbowe angeshinda, sasa kushindwa kwake ndio kunaibua haya yote.

Kwa namna kina Heche walivyokuwa wanapaza sauti pindi Mbowe Yuko gerezani, leo hii Mbowe ameshindwa hata kutoa tamko lolote hata mtandaoni kuhusu kukamatwa kwa Lissu?

Huu ukimya wa Mbowe unamsukumo fulani nyuma yake, only time will tell.
 
Heshima sana wanajamvi.

Lissu alinshinda Mbowe kwa asilimia ndogo sana.

Lissu na team yake baada ya kukabidhiwa chama hawakutambua kundi la Mbowe bado lilikuwa na ushawishi mkubwa sana.

Matendo ya Lissu na kundi lake la wajinga hawakuona sababu za kuunganisha makundi ya walioshinda na walioshindwa.

Teuzi za Lissu Wajumbe wa Kamati kuu ni uthibitisho wa mwingine wa namna Lissu alivyoshindwa kupiga na kuchagiza karata zake vizuri.

Huwezi kuteua Wajumbe wa kamati wa upande wako tu.Ulitakiwa kuchanganya na wajumbe wa team iliyoshindwa ili kuleta mshikamano zaidi.

Ngongo kwasasa Arusha kwa Mromboo 🐐
Ulikuwa wapi baada ya matokeo?
 
Bila kusahau timu yako ilikuwa imejipanga kumfukuza Lissu. Pia kuwa ilishindwa kwa kishindo, ndani ya figisu nyingi ilizokuwa imecheza kwa muda mrefu, ili kujimilikisha chama.
 
Heshima sana wanajamvi.

Lissu alinshinda Mbowe kwa asilimia ndogo sana.

Lissu na team yake baada ya kukabidhiwa chama hawakutambua kundi la Mbowe bado lilikuwa na ushawishi mkubwa sana.

Matendo ya Lissu na kundi lake la wajinga hawakuona sababu za kuunganisha makundi ya walioshinda na walioshindwa.

Teuzi za Lissu Wajumbe wa Kamati kuu ni uthibitisho wa mwingine wa namna Lissu alivyoshindwa kupiga na kuchagiza karata zake vizuri.

Huwezi kuteua Wajumbe wa kamati wa upande wako tu.Ulitakiwa kuchanganya na wajumbe wa team iliyoshindwa ili kuleta mshikamano zaidi.

Ngongo kwasasa Arusha kwa Mromboo 🐐
Uongozi ni karama. Lissu Hana karama ya uongozi.

Hana tofauti na wanahamasa kwa kikundi Cha kidedea Simba. Ana sapoti ya Wana mkumbo na sio waelewa wa mambo.
 
Nadhani kwasasa Mbowe anajilaumu kwanini alitumia pesa zote zile kununua makao makuu ya Chama.

Angejua Lissu anachukua chama kabilioni kamoja kangeingizwa kwenye biashara.
 
Timu iliyoshindwa mmefufuka tena. CHAUMMA imewashinda mpaka ndugu yenu CCM anatumia mahakama kuwasaidia. Mlidhani CHADEMA itanyong'onyea kumbe ndiyo inazidi kupendwa. Nyambafu!
Kwa yanayoendelea Lissu na team yake hawataweza!! Niliongea sana na Lissu kipindi kile cha kampeni na baada ya ushindi kuwa abadilike Ila alikua akinijibu utoto sana sikuwahi fikiri Lissu huwa na mentality Za kitoto kiasi kile Ndo maana wengi tumekaa kimya wajuaji wapambane!!

Lissu asipobadilika kwa hao wahuni aliokumbatia hatotoboa ng’o
 
Uongozi ni karama. Lissu Hana karama ya uongozi.

Hana tofauti na wanahamasa kwa kikundi Cha kidedea Simba. Ana sapoti ya Wana mkumbo na sio waelewa wa mambo.
Haswa.
Ndiyo maana kila kucha agenda zinabadilika.

Juzi Martha Karua, kesho Mwangi, leo Da Mange sijui kesho wataruka na nini.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Unapambana na mtu aliyeko mahabusu kwa makosa ya kupikwa, huu si ugonjwa wa kichwa kabisa?.
Kwa yanayoendelea Lissu na team yake hawataweza!! Niliongea sana na Lissu kipindi kile cha kampeni na baada ya ushindi kuwa abadilike Ila alikua akinijibu utoto sana sikuwahi fikiri Lissu huwa na mentality Za kitoto kiasi kile Ndo maana wengi tumekaa kimya wajuaji wapambane!!

Lissu asipobadilika kwa hao wahuni aliokumbatia hatotoboa ng’o
 
Heshima sana wanajamvi.

Lissu alinshinda Mbowe kwa asilimia ndogo sana.

Lissu na team yake baada ya kukabidhiwa chama hawakutambua kundi la Mbowe bado lilikuwa na ushawishi mkubwa sana.

Matendo ya Lissu na kundi lake la wajinga hawakuona sababu za kuunganisha makundi ya walioshinda na walioshindwa.

Teuzi za Lissu Wajumbe wa Kamati kuu ni uthibitisho wa mwingine wa namna Lissu alivyoshindwa kupiga na kuchagiza karata zake vizuri.

Huwezi kuteua Wajumbe wa kamati wa upande wako tu.Ulitakiwa kuchanganya na wajumbe wa team iliyoshindwa ili kuleta mshikamano zaidi.

Ngongo kwasasa Arusha kwa Mromboo 🐐
Kundi la Mbowe halina ushawishi wowote zaidi ya kubebwa na CCM na vyombo vya dola ndiyo maana hata kwenye mikutano yao ya Chaumma wanaambulia kuzomewa. CCM imekuwa ikitumia Polisi,TISS na hata Magereza lakini vyombo vyote hivi vimeshindwa kuuzima moto wa Chadema,na leo hii wameamua kuitumia Mahakama kuzuia shughuli zote za Chadema.
 
Back
Top Bottom