Heshima sana wanajamvi.
Lissu alinshinda Mbowe kwa asilimia ndogo sana.
Liverpool FC akishinda 1 dhidi ya
0 Real Madrid FC, kwenye UCL bila shaka ni ushindi mwembamba, au siyo? Lakini ni
ushindi wa goli 1 na Point 3 zote kwa Liverpool FC
Kwa hiyo, hoja ya ushindi mdogo au mkubwa is not a point of discussion..
Lissu na team yake baada ya kukabidhiwa chama hawakutambua kundi la Mbowe bado lilikuwa na ushawishi mkubwa sana.
Usiseme kundi la Mbowe. Sema baadhi wachache waliomuunga Mbowe.
Hao hawana ushawishi wowote bali wanasumbuliwa na mambo matatu makubwa;
1. Hawaamini kuwa TL alimshinda "mungu wao" Freeman Mbowe pamoja na uwekezaji wa mabilioni ya fedha toka CCM
2. Fursa na michongo waliyoingia na CCM kuwa jeopardized na uongozi mpya ambao una sera ya HAKI ,ukweli na uwazi na unaopiga vita rushwa na ufisadi ndani na nje ya chama
3. Ubinafsi. Wanataka kukilazimisha chama kifuate matakwa nje kabisa ya utaratibu wa kikatiba!
Matendo ya Lissu na kundi lake la wajinga hawakuona
Wewe ila hujui kutazama na kuelewa.
Hivi unaweza kudiriki kweli kusema kuwa kundi ni la Tundu Lissu ni la wajinga kuliko kundi la Freeman Mbowe? Hawa jamaa were completely stupid and they're still openly displaying their stupidity. Waone na wasikilize wanayosema huko waliko. Angalia matendo yao huko waliko...
Walitaka kuiangusha CHADEMA wakiwa ndani. Waliposhitukiwa, sasa shetani anawatumia vilivyo huko nje waliko kujaribu kukamikisha kazi yao...
Neverthelessly, they are failing spectacularly. Na hawa wanatumika tu kama toilet papers ya chooni tu huko, shetani akikamilisha kazi yake ambayo ni ya kushindwa, thn they will be irrelevant by being thrown away..!
By the way, hakuna mtu mstaarabu, muungwana, mkweli na muwazi kama Tundu Lissu. Tundu Lissu wakati wa kampeni alishambuliwa na kudhalilishwa sana si tu na kundi lake, bali mara nyingi na yeye mwenyewe Mbowe mwenyewe personally. Mara TL akijibu uongo wao kwa kuweka ukweli wazi, wanamuona kama mtu asiyeweza kutunza siri...
Yaani walitegemea awatunzie siri zao za kishenzi na kidhalimu huku wao wakimbagaza. That was a stupidity of highest level, right...?
Freeman Mbowe alifikia hatua ya kumuita mwenzake masikini asiye na shukrani. Na wafuasi wake kina
Yericko Nyerere wakafika mbali kiasi cha kusema eti jamaa ni masikini hawezi kukiendesha na kukiongoza chama...
Walidiriki kumpa mwezi mmoja toka January 21 hadi February 21, kwamba tungeona chama kikimfia mikononi mwake. Lakini Leo ni mwezi wa 6 ndoto ya mchana imeendelea kuwa ndoto tu...
Chama kilichokuwa kimeuliwa na Freeman Mbowe ndo tu kimepata uhai mpya, kimerudi mikononi mwa wanachama, kimerudisha matumaini ya wananchi waliokuwa wamekikatia tamaa na kuona hawana mtetezi tena...
Leo nchi nzima inaimba wimbo mmoja wa NO REFORMS NO ELECTION kiasi cha CCM kuwakabidhi Polisi, DPP, Msajili wa vyama vya siasa, TISS a.k.a "wasiojulikana" na mahakama kuishughulikia CHADEMA....
Lakini haina shaka yoyote kuwa, pamoja na mikakati yao yote, mbinu zao zote kwa hakika kabisa nakuhalikishia jambo moja tu kuwa HAWATAWEZA asilani maana mkono wenye nguvu wa kuume wa Mungu Yehova umeishikilia na kuiwezesha CHADEMA kusonga mbele kupigania HAKI ya Watanganyika ya kuirudisha nchi na taifa lao mikononi mwao toka mikononi mwa hayawani CCM...
sababu za kuunganisha makundi ya walioshinda na walioshindwa.
Huwezi kujiunganisha na mtu ambaye hataki muungane naye..
Huwezi kuunganishwa na mtu anayelazimisha muungane naye in his/her own terms only..
The best way is to go in a separate ways. You go left, I go to the right hand side...
Teuzi za Lissu Wajumbe wa Kamati kuu ni uthibitisho wa mwingine wa namna Lissu alivyoshindwa kupiga na kuchagiza karata zake vizuri.
Hakuna kilichokiukwa. Utaratibu ulifuatwa perfectly. Na hilo litathibitika kwa wakati wake bila shaka to prove you wrong. Si kesi inakwenda mahakamani? Subiri, tutafika tu...
Huwezi kuteua Wajumbe wa kamati wa upande wako tu.Ulitakiwa kuchanganya na wajumbe wa team iliyoshindwa ili kuleta mshikamano zaidi.
Kumbe ulitaka hilo? Ulitaka CHADEMA ijifunge kitanzi cha agano la kufanya kazi watu ambao wana zero respect kwa uongozi mpya? Watu selfish, wasiotii viongozi na mamlaka za juu cha chama?, Watu wasiopenda kufuata utaratibu? Watu wezi na mla rushwa?
Mr
Ngongo hata wewe ungekuwa ndiye M/Kiti wa CHADEMA usingefanya kosa hilo abadani!!
For this you're completely wrong. CHADEMA is in the right track...!
Tundu Lissu is the right 👍 👍 CHADEMA chairperson of this time. You know it, CCM knows it, and they all know. That's why they hate him. They don't like a truthful person..
Pole sana!!