Lissu alimshinda Mbowe kwa asilimia ndogo sana

Nyamaza kulia kwanza ndo useme sawa?

GFfUGgLWkAAh9uE.jpeg
 
Heshima sana wanajamvi.

Lissu alinshinda Mbowe kwa asilimia ndogo sana.

Lissu na team yake baada ya kukabidhiwa chama hawakutambua kundi la Mbowe bado lilikuwa na ushawishi mkubwa sana.

Matendo ya Lissu na kundi lake la wajinga hawakuona sababu za kuunganisha makundi ya walioshinda na walioshindwa.

Teuzi za Lissu Wajumbe wa Kamati kuu ni uthibitisho wa mwingine wa namna Lissu alivyoshindwa kupiga na kuchagiza karata zake vizuri.

Huwezi kuteua Wajumbe wa kamati wa upande wako tu.Ulitakiwa kuchanganya na wajumbe wa team iliyoshindwa ili kuleta mshikamano zaidi.

Ngongo kwasasa Arusha kwa Mromboo 🐐
Wenzako wamehamia Chauma, wanakula ubwabwa! Wewe unasubiri nini? Kwani lazima ateue watu mnaowataka nyinyi? Kwani hao walioteuliwa siyo wanachama wa CHADEMA?
 
Heshima sana wanajamvi.

Lissu alinshinda Mbowe kwa asilimia ndogo sana.

Lissu na team yake baada ya kukabidhiwa chama hawakutambua kundi la Mbowe bado lilikuwa na ushawishi mkubwa sana.

Matendo ya Lissu na kundi lake la wajinga hawakuona sababu za kuunganisha makundi ya walioshinda na walioshindwa.

Teuzi za Lissu Wajumbe wa Kamati kuu ni uthibitisho wa mwingine wa namna Lissu alivyoshindwa kupiga na kuchagiza karata zake vizuri.

Huwezi kuteua Wajumbe wa kamati wa upande wako tu.Ulitakiwa kuchanganya na wajumbe wa team iliyoshindwa ili kuleta mshikamano zaidi.

Ngongo kwasasa Arusha kwa Mromboo 🐐
Hujitambui wewe, kura chache za wajumbe tu ila wanachama wangepiga kura huyo Mbowe asingefika hata 30%. Hata yeye alikiri lissu ana wafuasi wengi ila sio wapiga kura wa mkutano mkuu!!

Chama ni wanachama sio viongozi, hao waliokimbilia CHAUMMA wana ushawishi gani? Hivi nani pale amewahi shiriki uchaguzi akashinda wa ngazi yoyote? Wote wale ni waajiriwa tu hakuna politician pale.
 
Heshima sana wanajamvi.

Lissu alinshinda Mbowe kwa asilimia ndogo sana.

Lissu na team yake baada ya kukabidhiwa chama hawakutambua kundi la Mbowe bado lilikuwa na ushawishi mkubwa sana.

Matendo ya Lissu na kundi lake la wajinga hawakuona sababu za kuunganisha makundi ya walioshinda na walioshindwa.

Teuzi za Lissu Wajumbe wa Kamati kuu ni uthibitisho wa mwingine wa namna Lissu alivyoshindwa kupiga na kuchagiza karata zake vizuri.

Huwezi kuteua Wajumbe wa kamati wa upande wako tu.Ulitakiwa kuchanganya na wajumbe wa team iliyoshindwa ili kuleta mshikamano zaidi.

Ngongo kwasasa Arusha kwa Mromboo 🐐
mbowe bado alihitajika chadema, alifanya kazi kubwa sana wakina lema na lissu wakarudi nchini
 
Heshima sana wanajamvi.

Lissu alinshinda Mbowe kwa asilimia ndogo sana.

Lissu na team yake baada ya kukabidhiwa chama hawakutambua kundi la Mbowe bado lilikuwa na ushawishi mkubwa sana.

Matendo ya Lissu na kundi lake la wajinga hawakuona sababu za kuunganisha makundi ya walioshinda na walioshindwa.

Teuzi za Lissu Wajumbe wa Kamati kuu ni uthibitisho wa mwingine wa namna Lissu alivyoshindwa kupiga na kuchagiza karata zake vizuri.

Huwezi kuteua Wajumbe wa kamati wa upande wako tu.Ulitakiwa kuchanganya na wajumbe wa team iliyoshindwa ili kuleta mshikamano zaidi.

Ngongo kwasasa Arusha kwa Mromboo 🐐
Na hiyo ndogo ni pamoja na rushwa kubwa sana kutembea na vibahasha vya kutisha,
 
Wakuu wa Mikoa na wilaya wamepiga mikwala wapi, polisi wamemkamata Lissu wapi, wamepiga, vunja, tupa maporini na baharini wapi, Msajili wa vyama kaja juu wapi, G55 ikahamia Chauma watu ndo kwaanza wanachanja mbuga sasa kubwa lao Mahakama ikaona wacha iingie ulingoni daah Chadema si mchezo kama jini vile.
Mahakama ndiyo hivyo tena imeizika chadema kabisa. NoreNoe nayo chaliii. CCM kuiondoa madarakani labda muwaombe msaada al shabab
 
Heshima sana wanajamvi.

Lissu alinshinda Mbowe kwa asilimia ndogo sana.

Lissu na team yake baada ya kukabidhiwa chama hawakutambua kundi la Mbowe bado lilikuwa na ushawishi mkubwa sana.

Matendo ya Lissu na kundi lake la wajinga hawakuona sababu za kuunganisha makundi ya walioshinda na walioshindwa.

Teuzi za Lissu Wajumbe wa Kamati kuu ni uthibitisho wa mwingine wa namna Lissu alivyoshindwa kupiga na kuchagiza karata zake vizuri.

Huwezi kuteua Wajumbe wa kamati wa upande wako tu.Ulitakiwa kuchanganya na wajumbe wa team iliyoshindwa ili kuleta mshikamano zaidi.

Ngongo kwasasa Arusha kwa Mromboo 🐐

..tayari Kamati Kuu ilikuwa na wajumbe wengi zaidi wanaomuunga mkono Mbowe.

..kilichokuwa kinahitajika ktk kamati kuu ni kuteua wajumbe wanaomuunga mkono TL ili kuweka uwiano.

..TL pia alimteua Catherine Ruga, ambaye alimuunga mkono Mbowe, kuwa mjumbe wa sekretariat pamoja na kwamba alishindwa katika kura.

..Tatizo sio style ya uongozi ya TL, tatizo ni baadhi ya waliokuwa wanachama kutokuamini na kuunga mkono NRNE.
 
Ni ngumu kumridhisha kila mtu. Huu mtifuano tunaouona sasa hivi, sidhani Kama unatokana na hizo sababu ulizozianisha peke yake.

Baada ya uchaguzi, kambi zote zilikutanishwa Bagamoyo ili kufanya reconciliation. Ila pamoja na hayo yote, bado hawakuridhika. Nadhani huu mpasuko hautokani na Lissu kushindwa, bali unatokana na Mbowe kushindwa. Ni Kama vile palikuwa na plan fulani endapo Mbowe angeshinda, sasa kushindwa kwake ndio kunaibua haya yote.

Kwa namna kina Heche walivyokuwa wanapaza sauti pindi Mbowe Yuko gerezani, leo hii Mbowe ameshindwa hata kutoa tamko lolote hata mtandaoni kuhusu kukamatwa kwa Lissu?

Huu ukimya wa Mbowe unamsukumo fulani nyuma yake, only time will tell.
Hatutaki Mbowe aseme chochote kuhusu CHADEMA muda wake uliisha sasa atuachie chama
 
Mimi nikisoma maandishi kama yana hila hata ujifiche vipi nitajua. Kipindi Chadema wanamgeuka Dr Slaa nilijua siasa zetu ni zaidi ya tunavyofikiri. Hata yanayoendelea Chadema sishangai ila binafsi daima nasimama na ukweli.

Najua wengi wanapata tabu aina ya usaliti na wasaliti ila mimi nilijifunza 2015 na sishangai tena.
 
Back
Top Bottom