Lissu alimshinda Mbowe kwa asilimia ndogo sana

Kwa yanayoendelea Lissu na team yake hawataweza!! Niliongea sana na Lissu kipindi kile cha kampeni na baada ya ushindi kuwa abadilike Ila alikua akinijibu utoto sana sikuwahi fikiri Lissu huwa na mentality Za kitoto kiasi kile Ndo maana wengi tumekaa kimya wajuaji wapambane!!

Lissu asipobadilika kwa hao wahuni aliokumbatia hatotoboa ng’o

Madalali mtamaliza butcher zote. Hii nchi haitakombolewa na madalali wala Kwa huruma za CCM!
 
Uchaguzi ulifanyika kwa wazi kabisa na Mbowe alishindwa.

Sasa sijui mlitaka CHADEMA wafanye uchaguzi wa hadaa kama wa CCM na tume yake ya makada?

Sasa kama wafuasi wake hamkuwahi kuwa kuishi chini ya uongozi mpya hilo ni tatizo lenu binafsi.

Sasa mnafurahi na kuungana na CCM kupitia project ya Abdul na Mchengerwa ya CHAUMMA .

Ila bado watu wamewapuuza kwa sasa watanzania wameamka na watawashangaza tena.

Bahati nzuri kuna watu bado wana uchungu na rasilimali za nchi zinavyotapanywa ndio wanakuwa wanatoa taarifa zenu.

Mfano taarifa ya kina Kigaila kujiunga CHAUMMA ilijulikana mwezi mmoja kabla.

Taarifa na mkakati wa kutaka kutoutambua uongozi wa CHADEMA ilijulikana wiki 2 kabla.

Na taarifa ya kuanza kurecruit mamluki kufanya fujo katika mikutano ya CHADEMA ilijulikana wiki 1 kabla.

Zote hizo ni hila za CCM kujeorpadize kampeni waliyoshindwa ya kuaminisha watu kuna tume huru badala yake sasa wanatumia kila walichonacho kwenye dola kuwanusuru.

Nawakumbusha tena hapa hatuko 1970 hadi October mtajionea maajabu mengi ambayo hamkuwahi kufikiria kabla.
 
Heshima sana wanajamvi.

Lissu alinshinda Mbowe kwa asilimia ndogo sana.

Lissu na team yake baada ya kukabidhiwa chama hawakutambua kundi la Mbowe bado lilikuwa na ushawishi mkubwa sana.

Matendo ya Lissu na kundi lake la wajinga hawakuona sababu za kuunganisha makundi ya walioshinda na walioshindwa.

Teuzi za Lissu Wajumbe wa Kamati kuu ni uthibitisho wa mwingine wa namna Lissu alivyoshindwa kupiga na kuchagiza karata zake vizuri.

Huwezi kuteua Wajumbe wa kamati wa upande wako tu.Ulitakiwa kuchanganya na wajumbe wa team iliyoshindwa ili kuleta mshikamano zaidi.

Ngongo kwasasa Arusha kwa Mromboo 🐐
Poleni wafiwa!
 
Kampeni imefika pabaya 😁
Wakuu wa Mikoa na wilaya wamepiga mikwala wapi, polisi wamemkamata Lissu wapi, wamepiga, vunja, tupa maporini na baharini wapi, Msajili wa vyama kaja juu wapi, G55 ikahamia Chauma watu ndo kwaanza wanachanja mbuga sasa kubwa lao Mahakama ikaona wacha iingie ulingoni daah Chadema si mchezo kama jini vile.
 
Uongozi ni karama. Lissu Hana karama ya uongozi.

Hana tofauti na wanahamasa kwa kikundi Cha kidedea Simba. Ana sapoti ya Wana mkumbo na sio waelewa wa mambo.

Kama ni karama madalali hawakuwa nayo. Tungekuwa na Lissu mwenyekiti sehemu ndogo ya muda wa mwambq, zamani mno katiba mpya tungeshapata na CCM tayari kingekuwa ni chama cha upinzani!
 
Heshima sana wanajamvi.

Lissu alinshinda Mbowe kwa asilimia ndogo sana.

Lissu na team yake baada ya kukabidhiwa chama hawakutambua kundi la Mbowe bado lilikuwa na ushawishi mkubwa sana.

Matendo ya Lissu na kundi lake la wajinga hawakuona sababu za kuunganisha makundi ya walioshinda na walioshindwa.

Teuzi za Lissu Wajumbe wa Kamati kuu ni uthibitisho wa mwingine wa namna Lissu alivyoshindwa kupiga na kuchagiza karata zake vizuri.

Huwezi kuteua Wajumbe wa kamati wa upande wako tu.Ulitakiwa kuchanganya na wajumbe wa team iliyoshindwa ili kuleta mshikamano zaidi.

Ngongo kwasasa Arusha kwa Mromboo 🐐
Ushindi ukohivyoo sehemzote
 
Wewe uliachwa nyuma na G55?
Kwa nini usiwahi wakati ubwabwa ukiendelea kupashwa joto.

Mkuu 'Ngongo', hivi kweli Tanzania hii ilivyo sasa huoni sababu kabisa ya kuifikiria yenyewe, badala ya kuifikiria CHADEMA ulivyokuwa ukiijenga wewe kichwani mwako?
 
Heshima sana wanajamvi.

Lissu alinshinda Mbowe kwa asilimia ndogo sana.

Lissu na team yake baada ya kukabidhiwa chama hawakutambua kundi la Mbowe bado lilikuwa na ushawishi mkubwa sana.

Matendo ya Lissu na kundi lake la wajinga hawakuona sababu za kuunganisha makundi ya walioshinda na walioshindwa.

Teuzi za Lissu Wajumbe wa Kamati kuu ni uthibitisho wa mwingine wa namna Lissu alivyoshindwa kupiga na kuchagiza karata zake vizuri.

Huwezi kuteua Wajumbe wa kamati wa upande wako tu.Ulitakiwa kuchanganya na wajumbe wa team iliyoshindwa ili kuleta mshikamano zaidi.

Ngongo kwasasa Arusha kwa Mromboo 🐐
Lissu hana karama ya uongozi
 
Lissu hana karama ya uongozi

GFfUGgLWkAAh9uE.jpeg
 
Heshima sana wanajamvi.

Lissu alinshinda Mbowe kwa asilimia ndogo sana.

Lissu na team yake baada ya kukabidhiwa chama hawakutambua kundi la Mbowe bado lilikuwa na ushawishi mkubwa sana.

Matendo ya Lissu na kundi lake la wajinga hawakuona sababu za kuunganisha makundi ya walioshinda na walioshindwa.

Teuzi za Lissu Wajumbe wa Kamati kuu ni uthibitisho wa mwingine wa namna Lissu alivyoshindwa kupiga na kuchagiza karata zake vizuri.

Huwezi kuteua Wajumbe wa kamati wa upande wako tu.Ulitakiwa kuchanganya na wajumbe wa team iliyoshindwa ili kuleta mshikamano zaidi.

Ngongo kwasasa Arusha kwa Mromboo 🐐
Mkuu, angewateua vipi timu Mbowe wakati baada tu ya uchaguzi wakaanza kujitenga na kuanzisha kampeni za kupinga chama?

Kuna tetesi hao timu mbowe, labda ukiwemo na wewe, walikula pesa za CCM ili kuzuia Lissu asiwe mwenyekiti..

Kwa hiyo, ni dhahiri bin shahiri Mbowe na timu yake walikuwa compromised, walitaka au walishaigeuza CDM kuwa vyama geresha tu kama CHAUMMA.

Hivyo, mwanaCDM anaemlaumu Lissu, huyo wazi ni mwanamaslahi, anaangalia maslahi aliyokuwa anayapata kipindi cha uenyekiti wa Mbowe na anadhani hatayapata kwa Lissu.

Huyo hana tofauti na CCM, wanaong'ang'ania kubaki madarakani kwa njia yeyote kwa sababu wanajua chama kingine kikiingia watakosa maslahi binafsi,

Hawajali nchi wala wananchi.

Ngongo, huna tofauti na ma CCM, kaungane nao kumpiga vita mwana upinzani wa ukweli, Tundu Antipas Lissu Mughwai.
 
Uchaguzi leo hii urudiwe FAM na TAL basi hakika Mwamba hata akipata 10% itakua bahati kubwa sana kwake
 
Mkuu, angewateua vipi timu Mbowe wakati baada tu ya uchaguzi wakaanza kujitenga na kuanzisha kampeni za kupinga chama?

Kuna tetesi hao timu mbowe, labda ukiwemo na wewe, walikula pesa za CCM ili kuzuia Lissu asiwe mwenyekiti..

Kwa hiyo, ni dhahiri bin shahiri Mbowe na timu yake walikuwa compromised, walitaka au walishaigeuza CDM kuwa vyama geresha tu kama CHAUMMA.

Hivyo, mwanaCDM anaemlaumu Lissu, huyo wazi ni mwanamaslahi, anaangalia maslahi aliyokuwa anayapata kipindi cha uenyekiti wa Mbowe na anadhani hatayapata kwa Lissu.

Huyo hana tofauti na CCM, wanaong'ang'ania kubaki madarakani kwa njia yeyote kwa sababu wanajua chama kingine kikiingia watakosa maslahi binafsi,

Hawajali nchi wala wananchi.

Ngongo, huna tofauti na ma CCM, kaungane nao kumpiga vita mwana upinzani wa ukweli, Tundu Antipas Lissu Mughwai.

Aina hii ya nyoka wakiwa wangali bado wanapumua tufahamishane mkuu.
 
Heshima sana wanajamvi.

Lissu alinshinda Mbowe kwa asilimia ndogo sana.

Lissu na team yake baada ya kukabidhiwa chama hawakutambua kundi la Mbowe bado lilikuwa na ushawishi mkubwa sana.

Matendo ya Lissu na kundi lake la wajinga hawakuona sababu za kuunganisha makundi ya walioshinda na walioshindwa.

Teuzi za Lissu Wajumbe wa Kamati kuu ni uthibitisho wa mwingine wa namna Lissu alivyoshindwa kupiga na kuchagiza karata zake vizuri.

Huwezi kuteua Wajumbe wa kamati wa upande wako tu.Ulitakiwa kuchanganya na wajumbe wa team iliyoshindwa ili kuleta mshikamano zaidi.

Ngongo kwasasa Arusha kwa Mromboo 🐐
Uko vyombo mbaya. Pole sana
 
Back
Top Bottom