Heshima sana wanajamvi.
Lissu alinshinda Mbowe kwa asilimia ndogo sana.
Lissu na team yake baada ya kukabidhiwa chama hawakutambua kundi la Mbowe bado lilikuwa na ushawishi mkubwa sana.
Matendo ya Lissu na kundi lake la wajinga hawakuona sababu za kuunganisha makundi ya walioshinda na walioshindwa.
Teuzi za Lissu Wajumbe wa Kamati kuu ni uthibitisho wa mwingine wa namna Lissu alivyoshindwa kupiga na kuchagiza karata zake vizuri.
Huwezi kuteua Wajumbe wa kamati wa upande wako tu.Ulitakiwa kuchanganya na wajumbe wa team iliyoshindwa ili kuleta mshikamano zaidi.
Ngongo kwasasa Arusha kwa Mromboo 🐐
Timu iliyoshindwa mmefufuka tena. CHAUMMA imewashinda mpaka ndugu yenu CCM anatumia mahakama kuwasaidia. Mlidhani CHADEMA itanyong'onyea kumbe ndiyo inazidi kupendwa. Nyambafu!Heshima sana wanajamvi.
Lissu alinshinda Mbowe kwa asilimia ndogo sana.
Lissu na team yake baada ya kukabidhiwa chama hawakutambua kundi la Mbowe bado lilikuwa na ushawishi mkubwa sana.
Matendo ya Lissu na kundi lake la wajinga hawakuona sababu za kuunganisha makundi ya walioshinda na walioshindwa.
Teuzi za Lissu Wajumbe wa Kamati kuu ni uthibitisho wa mwingine wa namna Lissu alivyoshindwa kupiga na kuchagiza karata zake vizuri.
Huwezi kuteua Wajumbe wa kamati wa upande wako tu.Ulitakiwa kuchanganya na wajumbe wa team iliyoshindwa ili kuleta mshikamano zaidi.
Ngongo kwasasa Arusha kwa Mromboo 🐐
Ulikuwa wapi baada ya matokeo?Heshima sana wanajamvi.

Kweli kabisa
Kampeni imefika pabaya 😁
Uongozi ni karama. Lissu Hana karama ya uongozi.Heshima sana wanajamvi.
Lissu alinshinda Mbowe kwa asilimia ndogo sana.
Lissu na team yake baada ya kukabidhiwa chama hawakutambua kundi la Mbowe bado lilikuwa na ushawishi mkubwa sana.
Matendo ya Lissu na kundi lake la wajinga hawakuona sababu za kuunganisha makundi ya walioshinda na walioshindwa.
Teuzi za Lissu Wajumbe wa Kamati kuu ni uthibitisho wa mwingine wa namna Lissu alivyoshindwa kupiga na kuchagiza karata zake vizuri.
Huwezi kuteua Wajumbe wa kamati wa upande wako tu.Ulitakiwa kuchanganya na wajumbe wa team iliyoshindwa ili kuleta mshikamano zaidi.
Ngongo kwasasa Arusha kwa Mromboo 🐐
Kwa yanayoendelea Lissu na team yake hawataweza!! Niliongea sana na Lissu kipindi kile cha kampeni na baada ya ushindi kuwa abadilike Ila alikua akinijibu utoto sana sikuwahi fikiri Lissu huwa na mentality Za kitoto kiasi kile Ndo maana wengi tumekaa kimya wajuaji wapambane!!Timu iliyoshindwa mmefufuka tena. CHAUMMA imewashinda mpaka ndugu yenu CCM anatumia mahakama kuwasaidia. Mlidhani CHADEMA itanyong'onyea kumbe ndiyo inazidi kupendwa. Nyambafu!
Haswa.Uongozi ni karama. Lissu Hana karama ya uongozi.
Hana tofauti na wanahamasa kwa kikundi Cha kidedea Simba. Ana sapoti ya Wana mkumbo na sio waelewa wa mambo.
Kwa yanayoendelea Lissu na team yake hawataweza!! Niliongea sana na Lissu kipindi kile cha kampeni na baada ya ushindi kuwa abadilike Ila alikua akinijibu utoto sana sikuwahi fikiri Lissu huwa na mentality Za kitoto kiasi kile Ndo maana wengi tumekaa kimya wajuaji wapambane!!
Lissu asipobadilika kwa hao wahuni aliokumbatia hatotoboa ng’o
Kundi la Mbowe halina ushawishi wowote zaidi ya kubebwa na CCM na vyombo vya dola ndiyo maana hata kwenye mikutano yao ya Chaumma wanaambulia kuzomewa. CCM imekuwa ikitumia Polisi,TISS na hata Magereza lakini vyombo vyote hivi vimeshindwa kuuzima moto wa Chadema,na leo hii wameamua kuitumia Mahakama kuzuia shughuli zote za Chadema.Heshima sana wanajamvi.