Lissu alimshinda Mbowe kwa asilimia ndogo sana

Sasa hivi kweli wewe WENJE ungelikuwa wewe ni team LISSU halafu akashinda Mbowe hivi hata km angelikuteua hivi kuna mwananchi angelikutenga mbali na UTEKAJI,UNYANYASAJI NA UUAJI kweli?
 
Chadema iwahi mahakama ya uhalifu wa kimataifa The Hague iwafungulie kesi ibirisi wa ccm angalau Dunia yote wajue ushetani wa ccm
 
Mbowe pia alihonga sana Wajumbe chini ya ufadhili wa CCM.
Mbowe ni mwizi aliiba pesa zote za chadema walikuta Account haina kitu na pia kataimu Lisu yupo Jela akawauza G55 kwa Amos makala ni mtu katilirkk
 
Tumia akili ...kumshinda aliye kitini kwa kura ndogo kuna maana kubwa ....maana yake umemshinda kwa kura nyingi ....siku zate aliye kitini upata kura za kinafiki na za kichawa nyingi sana ila akiondolewa kitini kura zake zinapotea kabisa ...kama leo mbowe akigombea dhidi ya lissu basi mbowe awezi kupata kura hata asilimia 12%....mfano ccm ikiondolewa madarakani kisha kuingia uchaguzini haiwezi kupata kura hata asilimia 4%
 
Uongozi ni karama. Lissu Hana karama ya uongozi.

Hana tofauti na wanahamasa kwa kikundi Cha kidedea Simba. Ana sapoti ya Wana mkumbo na sio waelewa wa mambo.
Wewe uliyena karama hukujitokeza ukachaguliwa. Kila kitu hisia za kiccm.
 
Mbowe ni mwizi aliiba pesa zote za chadema walikuta Account haina kitu na pia kataimu Lisu yupo Jela akawauza G55 kwa Amos makala ni mtu katilirkk
Huyo Bwana aliifanya CHADEMA kuwa mali yake binafsi.
Ndo maana serkali ilikuwa I apambane saba jamaa ashinde.
No reform No election ilikwa na lengo la kupiga hela.
Maana kama angekuwa yeye ndo Mwenyekiti tayari mpaka sasa angekuwa anafanya mikutano Ikuli ili kutuzuga.
 
Lissu alikuwa mbele ya muda. Mbowe ni mjanja lkn Hana akili nyingi, lissu anaweza asiwe mjanja kama mbowe lkn ana akili nyingi kumshinda mbowe.

Nampongeza sana lissu kuusoma mchezo mapema na kuwatupa wahuni wote wa mbowe angejichanganya kuwaingiza kwenye mfumo hakika wangemfurahisha. Hii project ya Chauma ni mipango ya kitambo sana ( plan B ya mbowe ikitokea ameagushwa kwenye uchaguzi)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…