sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Lissu ana tabia za ufitini na uchonganishi ni mla rushwa mkubwa. Hajanyooka.Lissu muongo sana sanaaaa, baada ya kuitazama kwa makini sana video hii ya Mh. Wenje tokea juzi, nimegeuza akili kabisa, bora mara 1000 Mh. Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti wa Chadema, Lissu mtu wa uongo na anachafua watu sana, kumbe sio mkweli hata kidogo aisee..!!
Rushwa ipi kaikataa hapo wakati kapotezewa?Maadam amekataa rushwa, huyu ndio tunaemtaka.
Chadomoz wote waongo tuLissu muongo sana sanaaaa, baada ya kuitazama kwa makini sana video hii ya Mh. Wenje tokea juzi, nimegeuza akili kabisa, bora mara 1000 Mh. Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti wa Chadema, Lissu mtu wa uongo na anachafua watu sana, kumbe sio mkweli hata kidogo aisee..!!
Lissu is not corruptLissu ana tabia za ufitini na uchonganishi ni mla rushwa mkubwa. Hajanyooka.
Mama Abduli alidai hajazipata.Kama karatasi za madai alishakabidhi panapohusika, kwanini alimpa Abdul zingine tena?
Anakata mzizi wa fitna kwa kupeleka madai yake halali kwa Abdul?Lissu aliamua kukata mzizi wa fitina baada ya kuambiwa na Abdul kuwa Mama yake anasema hana document za matibabu kwahiyo akaaamua ampe.
Lakini tukumbuke aliktaa hongo ili akae kimya kama wenzake.
Kipanya sasa umepoteza mvuto!View attachment 3182166
CHADEMA kwa sasa
Basi angempatia kupitia kwa katibu wa rais kuliko kupitia kwa mtoto. Hiki ndicho kinacho mwangusha Lisu, maana anajua taratibu za malipo ya serikali.Mama Abduli alidai hajazipata.
Hao wamezidiana ujanja kwenye pesa sasa Lissu hasira zake anakuja kuchafua wenzie. Wote hao wamelamba asali.Abdul ni kiungo mchezeshaji, mtu huyu inaonekana anafanya mengi sana.