sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Haya ni maneno ya Tundu Lissu
“nilimwambia Abdul anisaidie kupata malipo yangu na nikampa documents,angefanikiwa angekuwa rafiki yangu”
Huyu ndio wafuasi wake wanasema ni mkweli kanyooka anachukia utawala wa CCM.
Mtu aliyenyooka na anaejua utaratibu anaalika mtoto wa rais nyumbani kwake wafanye discussion ya kulipwa pesa kwa mgongo wa nyuma.
Mropokaji huyu na mfitinishi lazima afunzwe adabu na Mbowe ili iwe funzo kwa wasaliti wengine.