Lissu alimwambia Abdul endapo angefanikisha kumsaidia kupata pesa angekuwa rafiki yake. Hajafanikiwa, anachafua kila mtu

Lissu alimwambia Abdul endapo angefanikisha kumsaidia kupata pesa angekuwa rafiki yake. Hajafanikiwa, anachafua kila mtu

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066

Haya ni maneno ya Tundu Lissu

“nilimwambia Abdul anisaidie kupata malipo yangu na nikampa documents,angefanikiwa angekuwa rafiki yangu”

Huyu ndio wafuasi wake wanasema ni mkweli kanyooka anachukia utawala wa CCM.

Mtu aliyenyooka na anaejua utaratibu anaalika mtoto wa rais nyumbani kwake wafanye discussion ya kulipwa pesa kwa mgongo wa nyuma.

Mropokaji huyu na mfitinishi lazima afunzwe adabu na Mbowe ili iwe funzo kwa wasaliti wengine.
 
Lissu muongo sana sanaaaa, baada ya kuitazama kwa makini sana video hii ya Mh. Wenje tokea juzi, nimegeuza akili kabisa, bora mara 1000 Mh. Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti wa Chadema, Lissu mtu wa uongo na anachafua watu sana, kumbe sio mkweli hata kidogo aisee..!!
 
Lissu ana tabia za ufitini na uchonganishi ni mla rushwa mkubwa. Hajanyooka.
 
621EDD14-C357-4278-8619-8557B18B1844.jpeg

CHADEMA kwa sasa
 
Lissu aliamua kukata mzizi wa fitina baada ya kuambiwa na Abdul kuwa Mama yake anasema hana document za matibabu kwahiyo akaaamua ampe.

Lakini tukumbuke aliktaa hongo ili akae kimya kama wenzake.
Anakata mzizi wa fitna kwa kupeleka madai yake halali kwa Abdul?

Lissu shughuli za kiserikali anazifanya usiku tena nyumbani kwake?

Huyu mtu ni hatari anatakiwa kuogopwa na yoyote asiye emotional.
 
Back
Top Bottom