Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Hakuna video ya mahojiano yao hadi sasa kwahiyo hizo ni bla blaa tu mbele ya kamera za vyombo vya habari.Hao wamezidiana ujanja kwenye pesa sasa Lissu hasira zake anakuja kuchafua wenzie. Wote hao wamelamba asali.
Machoko wamevamia Mpira Sasa wamevamia na siasa what's next? Mbona walipo uvamia mziki tuliwaachia wawe na amani lakini hawatosheki?View attachment 3182157
Haya ni maneno ya Tundu Lissu
“nilimwambia Abdul anisaidie kupata malipo yangu na nikampa documents,angefanikiwa angekuwa rafiki yangu”
Huyu ndio wafuasi wake wanasema ni mkweli kanyooka anachukia utawala wa CCM.
Mtu aliyenyooka na anaejua utaratibu anaalika mtoto wa rais nyumbani kwake wafanye discussion ya kulipwa pesa kwa mgongo wa nyuma.
Mropokaji huyu na mfitinishi lazima afunzwe adabu na Mbowe ili iwe funzo kwa wasaliti wengine.
Katika watu wapumbavu hii dunia ni Abdul na mama yake. Unamtua mtu na makapu ya fedha kama amebeba karanga kwenda kwa mtu kama Lissu eti kumnyamazisha? Ndiyo maana hata mikataba inayoingiwa ni ya kuuza nchi. Mama alitakiwa kuimba taarabu yule.View attachment 3182157
Haya ni maneno ya Tundu Lissu
“nilimwambia Abdul anisaidie kupata malipo yangu na nikampa documents,angefanikiwa angekuwa rafiki yangu”
Huyu ndio wafuasi wake wanasema ni mkweli kanyooka anachukia utawala wa CCM.
Mtu aliyenyooka na anaejua utaratibu anaalika mtoto wa rais nyumbani kwake wafanye discussion ya kulipwa pesa kwa mgongo wa nyuma.
Mropokaji huyu na mfitinishi lazima afunzwe adabu na Mbowe ili iwe funzo kwa wasaliti wengine.
Wote ni dini ile! Hawanaga akiliKatika watu wapumbavu hii dunia ni Abdul na mama yake. Unamtua mtu na makapu ya fedha kama amebeba karanga kwenda kwa mtu kama Lissu eti kumnyamazisha? Ndiyo maana hata mikataba inayoingiwa ni ya kuuza nchi. Mama alitakiwa kuimba taarabu yule.
You are somehow right. Wala sidhani kama ni dini bali utamaduni wa kiarabu. Waarabu ndiyo wana culture za aina hii. Mi-kanzu muda wote. Hata kwenye hiyo sherehe wanasema lilikuwa limevaa li-kanzu. Toto pumbavu kabisa lile na mama hivyo hivyo.Wote ni dini ile! Hawanaga akili
Nyerere wa kulaumiwa!You are somehow right. Wala sidhani kama ni dini bali utamaduni wa kiarabu. Waarabu ndiyo wana culture za aina hii. Mi-kanzu muda wote. Hata kwenye hiyo sherehe wanasema lilikuwa limevaa li-kanzu. Toto pumbavu kabisa lile na mama hivyo hivyo.
Kuuanika uovu ndiyo usaliti wenyewe au kipi haswa?View attachment 3182157
Haya ni maneno ya Tundu Lissu
“nilimwambia Abdul anisaidie kupata malipo yangu na nikampa documents,angefanikiwa angekuwa rafiki yangu”
Huyu ndio wafuasi wake wanasema ni mkweli kanyooka anachukia utawala wa CCM.
Mtu aliyenyooka na anaejua utaratibu anaalika mtoto wa rais nyumbani kwake wafanye discussion ya kulipwa pesa kwa mgongo wa nyuma.
Mropokaji huyu na mfitinishi lazima afunzwe adabu na Mbowe ili iwe funzo kwa wasaliti wengine.
Wote ni dini ile! Hawanaga akili
Acheni kushambulia dini na mavazi (kanzu) ya watu.You are somehow right. Wala sidhani kama ni dini bali utamaduni wa kiarabu. Waarabu ndiyo wana culture za aina hii. Mi-kanzu muda wote. Hata kwenye hiyo sherehe wanasema lilikuwa limevaa li-kanzu. Toto pumbavu kabisa lile na mama hivyo hivyo.
Hadi mama anamaliza urais shekh Abdul atakuwa bilionea $ dollars 🤣🤣🤣🤣You are somehow right. Wala sidhani kama ni dini bali utamaduni wa kiarabu. Waarabu ndiyo wana culture za aina hii. Mi-kanzu muda wote. Hata kwenye hiyo sherehe wanasema lilikuwa limevaa li-kanzu. Toto pumbavu kabisa lile na mama hivyo hivyo.
Chanzo cha tatizo ni hicho ulichokitajaAcheni kushambulia dini na mavazi (kanzu) ya watu.
Shambulia hoja za mtu.
Tatizo NyerereHadi mama anamaliza urais shekh Abdul atakuwa bilionea $ dollars 🤣🤣🤣🤣
Bongo tambarare from kizmkazi kuja kumiliki uchumi wa Tanganyika
Mshenzi wwView attachment 3182157
Haya ni maneno ya Tundu Lissu
“nilimwambia Abdul anisaidie kupata malipo yangu na nikampa documents,angefanikiwa angekuwa rafiki yangu”
Huyu ndio wafuasi wake wanasema ni mkweli kanyooka anachukia utawala wa CCM.
Mtu aliyenyooka na anaejua utaratibu anaalika mtoto wa rais nyumbani kwake wafanye discussion ya kulipwa pesa kwa mgongo wa nyuma.
Mropokaji huyu na mfitinishi lazima afunzwe adabu na Mbowe ili iwe funzo kwa wasaliti wengine.
Mkuu Nyerere kafariki siku nyingi mno. Kama yeye ndiye chanzo muda wa kujirekebisha tuliopata ni mkubwa mno. Kna watu kama wayahudi wamepitia mambo mazito lakini sasa hivi wako juu. Tabia ya kutoa lawama kwa ''yaliyopita'' inafanya mtu usikumbuke kujirekebisha. Wameshaingia marais wengi baada ya Nyerere na wamefanya mabaya kuliko Nyerere.Nyerere wa kulaumiwa!
IshamshindaLissu kwa utaratibu huu, hata kesi ya Tigo itakushinda !
Wewe ni zaidi ya mjingaChanzo cha tatizo ni hicho ulichokitaja